pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #401
Kama huna ramani tunakuandalia ramani na BOQ kulingana na uhitaji wako jinsi unataka nyumba yako iwe na material za kutumia then ukishajiridhisha kwa kila kitu tutasainishana mikataba then utalipia 50% ya garama husika na sisi tutaanza kazi yako halafu awamu ya pili utalipia 30% awamu ya tatu 20% then within 3 to 4 months tutakukabidhi nyumba yako wakati wa ujenzi utakuwa ukishirikishwa hatua kwa hatua Swala zima LA ujenzi mpaka mwisho karibu sanaukitaka kujengewa utaratibu upo vipi..?