Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Umejuaje mkuu kama ametoa mtandaoni??
Hizi sijatoa mtandaoni mkuu tumetengeneza wenyewe ofisin kama nimedownload mahali na anauhakika mwambie alete reference haphapa hizi zote ni kazi za ofisi
70787c93957ab30dc7a7ded934200605.jpg
d8bbc5a08333c352ca801f70661dfeb1.jpg
9631254bcf4fdc222fa79e3d8b674221.jpg

Hapo tukiendelea na ujenzi wa mmoja wa wateja wetu wa humu humu JF yuko kongowe ujenzi unaendelea na tukimaliza tutamkabidhi nyumba na itakuwa chini ya kampuni kwa zaidi ya miaka 4 kwa tatizo lolote litakalojitokeza tunafanya marekebisho kwa garama zetu wenyewe mteja hatolipia chochote
 
OK hebu tuanzie hapa:

Nyumba ya rooms 3 za kulala (moja ikiwa master), sebule, dinning, jiko, stoo na baraza mbili...

Tufanye ni nyumba ya kawaida kabisa ya sqmts 120

1. Inachukua tofali ngapi... (na bei yake ni shingapi uiweke pembeni)
2. Cement mifuko mingapi?
3. Mchanga kiasi gani?
4. kokoto kiasi gani?
5. Nondo kiasi gani?
6. Maji kiasi gani?
7. Labour charge mpk kuanzia msingi mpaka utayari wa kuezeka ni shingapi??

Tuendelee kwenye kupaua
1. Mbao za thamani ya shingapi?
2. Mabati (tusiweke vigae maana tutaaibishana) mangapi ya geji ipi na thamani yake...
3. Misumari
4. Gharama za usafirishaji
5. Labour charge

Turudi kwenye security
1. Grills za madirisha (tufanye madirisha 14)
2. Frames za milango ( tufanye 9)
3. Milango yenyewe... tufanye milango 6 tu, ikiwa na vitasa vyake)
4. labour charge

Tuende kwenye plumbing...
1. Mashimo ya vyoo na kuyajengea
2. Kutandaza mabomba ya maji safi na maji taka
3. labour charge

Haya Umeme
1. Nyaya zote na fittings
2.labour charge

Twende kwenye finishing
1. Plasta nyumba nzima... nje na ndani
2. Floor
3. Skimming
5. Blandering na ceiling boards
6. Rangi
7. Tiles (kama inalazimu)
8. Labor charge

Najua nimesahau vingi... lakini mpaka hapo ukipiga hesabu ya haraka... 32M ilishaishia kwenye kupaua.

No strings attached!!
Labda kwa kukujibu ni kuwa nyumba ya mil 32 ni nyumba ya Vyumba viwili sio vitatu Nyumba ya Vyumba vitatu yaan Masta bed moja Vyumba viwil sebule choo nk ni mil 50
f5a43bf141426c75b2497ccd64696aa4.jpg
hii ni sample ya nyumba ya Vyumba vitatu view kwenye hiyo picha utaona tumekokotoa bati kiasi gan tofal ukubwa wa eneo nk
 
Unajua mpaka michepuko yangu kina Sakayo, Shunie, emmyta na wengine kumi na saba... kwa bei yako watanishangaa kwanini mpaka leo sijawanunulia vitz kama nyumba ni rahisi namna hii kwa gharama zako....
Wewe unashangaa mil32 wakati mwaka juzi tulikuwa tunajenga kwa mil 28? Sisi huu ni mwaka wetu wa nane sasa Asprin hatujaanza Jana bro
 
Labda kwa kukujibu ni kuwa nyumba ya mil 32 ni nyumba ya Vyumba viwili sio vitatu Nyumba ya Vyumba vitatu yaan Masta bed moja Vyumba viwil sebule choo nk ni mil 50
f5a43bf141426c75b2497ccd64696aa4.jpg
hii ni sample ya nyumba ya Vyumba vitatu view kwenye hiyo picha utaona tumekokotoa bati kiasi gan tofal ukubwa wa eneo nk

Nashukuru kwa ufafanuzi...
Vyumba viwili 32M
Vyumba vitatu 50M

Hii inamaanisha nyongeza ya chumba kimoja imecost 18M. Hii sasa nadhani utakuwa umenielewa sasa. Ujenzi is not a joke. Huwezi kusema tu 32M unaweza kujenga nyumba ya rooms 3 bila kuangalia mazingira na hali halisi...
 
Wewe unashangaa mil32 wakati mwaka juzi tulikuwa tunajenga kwa mil 28? Sisi huu ni mwaka wetu wa nane sasa Asprin hatujaanza Jana bro
Serious bro... ukiniwekea picha ya nyumba uliyoijenga wewe kama wewe... achana na hizi unazotuwekea hapa... kwa bei hiyo unayosema. nakuahidi kuwa mteja wako niliyetukuka. Hebu tuwekee myumba uliyoijenga wewe kama wewe... achana na hizi unazogoogle.
 
It sounds good but its not real!
It's hard to believe ila wakati wako wa kujenga ukifika usijengee vichochoron tafuta kampuni yoyote si lazima yetu tel them with such budget can't u have a good house? Fanya tafiti katika kampuni mbali mbali then utapata majibu au njoo ofisin tukuonyeshe nyumba tulizojenga kwa buget hii tena less than coz kabla Magu ajaingia vitu havikuwa juu
 
Nashukuru kwa ufafanuzi...
Vyumba viwili 32M
Vyumba vitatu 50M

Hii inamaanisha nyongeza ya chumba kimoja imecost 18M. Hii sasa nadhani utakuwa umenielewa sasa. Ujenzi is not a joke. Huwezi kusema tu 32M unaweza kujenga nyumba ya rooms 3 bila kuangalia mazingira na hali halisi...
Yes na ya Vyumba vinne ni mil 70 material ni hizohizo tofauti ukubwa wa Eneo
 
You see? Boy...unahitaji PR kubwa sana kuwaelekeza walaji. Mi nimekuchangamsha kidogo tu ukapoteza dira... you know?
Nilipoteza dira kiivipi eboo swala ni kwamba mil 32 inajenga nyumba na nimetoa mchanganuao wa nyumba ya mil 32 so kama hutaki kuamini sikulazimishi
 
Nyumba hii ni ya Vyumba vitatu ujenz unaendelea garama yake ni mil 54 tu material ufundi kila kitu juu yetu na bado itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa zaidi ya miaka 5 kwa chochote kitakachoharibika tutarekebisha kwa garama zetu
1e44b16d23ab6ffcc099486bb77bb85d.jpg
ujenzi bado unaendelea
 
Gaden, ukuta na sakafu ya nje haipo kwenye majumuisho ya mil 54 it's exclusive
 
Nyumba hii ni ya Vyumba vitatu ujenz unaendelea garama yake ni mil 54 tu material ufundi kila kitu juu yetu na bado itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa zaidi ya miaka 5 kwa chochote kitakachoharibika tutarekebisha kwa garama zetu
1e44b16d23ab6ffcc099486bb77bb85d.jpg
ujenzi bado unaendelea
Kama sio za mtandaoni, hii nyumba umejenga wapi? Tunaomba elevations kama tatu hivi..

Just clear our doubts..
 
Kama sio za mtandaoni, hii nyumba umejenga wapi? Tunaomba elevations kama tatu hivi..

Just clear our doubts..
Hahaha wana JF wengine bana kazi kwel kwel yaan hii picha ni ya mtandaoni pole sana kijana endelea na wivu wako sisi acha tufanye kaz
 
Karibuni pia kwa Huduma ya upimaji viwanja kwa garama Rafiki kabisa
 
Back
Top Bottom