pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #381
Project yetu ya kibaha ikiwa katika hatua za kukabidhi
Karibu sana kiongozAhsante sana. Ntawatembelea ofisini. Kazi nzuri
Hii ngapi?![]()
Project Yetu maeneo ya bweni DSM hili no gorofa moja ina vyumba vinne kimoja juu vitatu chini sebule Dining, sebule store kitchen ya kisasa
Nimepitia Uzi huu, pamoja na mazuri unayofanya kuitangaza biashara yako kuna mapungufu kidogo kwenye lugha unayoitumia kuwajibu wateja wenye negative comments, deal nao professionally usiwe na jazba.Leo ni mwaka tangu niweke hili tangazo mkuu je umeshaona MTU kalalamika kuibiwa? Nimeona nikukumbushe tu kuwa sio kama wewe sio mwaminifu usidhani na wengine wako ivo
Sawa kiongoz asante kwa ushauriNimepitia Uzi huu, pamoja na mazuri unayofanya kuitangaza biashara yako kuna mapungufu kidogo kwenye lugha unayoitumia kuwajibu wateja wenye negative comments, deal nao professionally usiwe na jazba.
What is this boss?ALkalo8MAF₩!PA8O!KAlzmAlpM[emoji17] [emoji25] OplOaK!View attachment 686337(81
((?(View attachment 686338