Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Screenshot_2017-03-11-16-29-33.png
 
Website yenu inaonyesha hamko makini hamja update website yenu kama kweli iko updated basi hamko makini kwenye forum yenu ya Q&A Kuna mtu kauliza swali toka mwaka jana hamjamjibu mpaka leo.

Na miradi mlioifanya iko michache kiasi kumuaminisha mtu awaone nyie kama ndio wakombozi.
 
Basi waache ndugu..nadhani sio lazima kufanya nao kazi.
 
Kwa anaehitaji nyumba Maeneo ya Luchelele Mwanza Tafadhali tuwasiliane kwa 0763772636 ipo maeneo mazuri na ina hati kabisa
 
Pia tumefungua ofisi zetu mpya maeneo ya Namvua Plaza Arusha kwa wateja wetu wa Dodoma mjiandae we are on the way
 
Mimi niko arusha mnapatikanaje? Na vipi sehemu yene udongo wa mfinyanzi km kisongo? Mnafanyaje?
 
Mimi niko arusha mnapatikanaje? Na vipi sehemu yene udongo wa mfinyanzi km kisongo? Mnafanyaje?
Arusha ofisi zetu zipo Namvua Plaza Gorofa ya nne karibu kiongoz kuhusu matofali sisi tunatumia matofali kulingana na eneo husika nichek WhatsApp kwa 0763772636
 
Hii nzuri aises , ila sijui maeneo ambayo nyumba hizo zinajengwa ni wapi na ni rafiki kwakuishi au ndio kule ambapo hata umeme hakuna,
 
Hii nzuri aises , ila sijui maeneo ambayo nyumba hizo zinajengwa ni wapi na ni rafiki kwakuishi au ndio kule ambapo hata umeme hakuna,
Soma uelewe vizuri Tangazo mkuu Kiwanja ni chako sio chetu sisi yetu ni material na ufundi so suala la umeme kufika au kutokufika inategemea Kiwanja cha mteja kilipo
 
Soma uelewe vizuri Tangazo mkuu Kiwanja ni chako sio chetu sisi yetu ni material na ufundi so suala la umeme kufika au kutokufika inategemea Kiwanja cha mteja kilipo
Umeeleweka sasa
 
Karibuni kiwanja kipo Busweru kwa garama ndogo sana nichek kwa 0763772636
 
ONE 2 ONE FOCUS.CO LTD ni Kampuni ya Kizalendo ,iliyosajiliwa na BRELA kwa Hati Namba ya Usajili 127281 na TIN Namba :
131-202-040.

Kampuni inajishughulisha na:
1.Ujenzi wa Majengo Mbalimbali.
2.Upimaji wa Viwanja
3.Utengenezaji wa Ramani.
4.Uuzaji wa Viwanja.

Kwa Ujenzi wa Nyumba Tunakujengea na Kufanya Finishing Kuanzia Hatua ya Awali Mpaka Mwisho wa Ujenzi.

Pia Katika Ujenzi Huo Tunakuwekea:-
1.Uwiano Mzuri wa Cements
2.Nondo za mm 12 ,mm 16 na mm 24 za Chuma Kulingana na Aina ya Ujenzi.
3.Mbao imara i.e Mikaratus,Saiprus
4.Mabati imara Kutoka Nje ya Nchi
5.Tiles Daraja la Kwanza.
6.Tunaweka Gypsum
7.Tunaweka Fremu,Milango
8.Milango ya Mbele na Nyuma Kuwekewa Grill.
9.Tunaweka Fitting za Makabati,Mifumo ya Maji,Makabati ya Jioni.
10.Wiring ya Umeme.

Tupigie kwa:-
0763772636 WhatsApp
0789047874 call

Petty Marcel
SALES REP
ONE2ONE FOCUS
MAKUMBUSHO COMPLEX
DAR-ES-SALAAM

Pia Tuna Ofisi Jiji la Mwanza
BUZURUGA COMPLEX
MWANZA
 
Karibuni wateja wetu one2one tunazidi kusonga mbele sasa tumefungua tawi letu jijini Arusha Namvua Plaza Gorofa ya pili karibu ujenge nasi kwa garama nafuu kabisa kwa mawasiliano zaidi piga 0763772636 pia napatikana WhatsApp kwa no hiyo hiyo karibu tukujengee kwa garama nafuu kabisa
 
Karibuni tuzidi kuwajengea sasa Tunapatikana Arusha Namvua Plaza karibun sana
Nyumba yako Maisha yako
 
Karibuni wateja wetu one2one tunazidi kusonga mbele sasa tumefungua tawi letu jijini Arusha Namvua Plaza Gorofa ya pili karibu ujenge nasi kwa garama nafuu kabisa kwa mawasiliano zaidi piga 0763772636 pia napatikana WhatsApp kwa no hiyo hiyo karibu tukujengee kwa garama nafuu kabisa
Hivi mbona hampokei simu mnatia mashaka
 
Back
Top Bottom