Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

kwahiyoooo milioni sitini au sabini napata kaghorofa kazuri sio? Nijibu
 
Ebwana pettymarcel wewe piga kazi (kwa sauti ya Magufuli) achana na doubters. Walio serious watakutafuta. Mimi nitakuja ofisini kwenu tufanye biashara.
 
Ebwana pettymarcel wewe piga kazi (kwa sauti ya Magufuli) achana na doubters. Walio serious watakutafuta. Mimi nitakuja ofisini kwenu tufanye biashara.
Hakuna tabu mkuu kazi kazi ndo habari ya sasa
 
IMG-20171121-WA0040.jpg
 
Karibuni sana kwa ujenzi wa kisasa kabisa na wa kuaminika
 
Karibuni kwa ujenzi bora na was kisasa zaidi ndani ya miezi mitatu tunakukabidhi nyumba yako
 
Watanzania kwa kukatishana tamaa hamfai. Kama milioni 32 pesa ndogo, tuoneshe nyumba zenu za 200m! Hovyooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani wabongo tena waongeaji wengi wanaishi maisha ya kupanga kama mimi .
 
Anza mwaka mpya ukiwa kwako jenga nasi kwa garama rafiki na ubora wa hali ya juu sana ujenzi wetu ni wa viwango na tunakabidhi nyumba kwa wakati
 
Kwanza kabisa nawapa pongezi mkuu Petty!

Nyumba nnayohitaji ni ya viumba 3 tu.

Umesema ya vyumba viwili ni mil 32. Kikiongezeka chumba kimoja je? Na gharama inazidi?
 
Kwanza kabisa nawapa pongezi mkuu Petty!

Nyumba nnayohitaji ni ya viumba 3 tu.

Umesema ya vyumba viwili ni mil 32. Kikiongezeka chumba kimoja je? Na gharama inazidi?
Ndio garama inazidi kiongozi
 
Vip
Habari wakuu karibuni www.one2onefocus.com kwa ujenzi bora na wa garama nafuu kabisa
Kwa shiling mil 32 tutakujengea nyumba ya Vyumba viwili, masta bedroom moja ukubwa 5.5*5 cha kawaida kimoja but self 4*3.5...sebule, Dining, store, jiko la kisasa na bafu na public toilet

Faida utakazozipata ukijenga na One 2 one focus Limited
1. Kama mteja huna Ramani tutakuandalia bure bila garama ya ziada
2. Unaweza kulipa asilimia 50% ya garama na asilimia nyingine 50% ukalipa kidogo kidogo wakati sisi tukiendelea na ujenzi bila shida
3. Unaweza kulipa 50% ya garama husika na hiyo 50% ukaja kumalizia kwa riba ya 8% hapa ina maana kwamba sisi tutamaliza nyumba yako halafu wewe utalipa kiasi kilichobakia kwa riba ya 8% kwa muda tutakaokubaliana
4. Tunakuandalia BOQ bure kabisa
5. Baada ya kukukabidhi Nyumba yako
Bado nyumba yako itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa kipindi cha miaka 3
6. Tunaandikishiana mikataba ya project chini ya wanasheria wa pande zote mbili
Kutakuwa na mkataba wa kabla ya ujenzi na baada ya ujenzi
7. Tunafanya ujenzi popote Tanzania na visiwani

Kwa Maelezo zaidi
WhatsApp 0763772636
Call 0789047874
E-mail pettymichael92@gmail. com

Ofisi zetu zipo sehemu zifuatazo

Dar (Makao Makuu)
Makumbusho complex
Floor ya kwanza

Mwanza
Buzuruga Plaza
Floor ya pili

Arusha
Namvua Plaza
Floor ya Nne

Karibuni sana
One 2 one Nyumba yako Maisha yako
8823de697fdf56e2bbcb7b763bf6c928.jpg
0ec4bd145ccc0abfa931b8d952b20037.jpg
8d397a333ac1b8e12e5aa5159ea122bb.jpg
13c4adce25176caa551c8f0dcfff8b5c.jpg
56a887d1d22d35e8c81fa1a68c4afa55.jpg
3b96b3e55d3223d76c3af691d2cdedea.jpg


Kwa mawasiliano
a5137d1ca9105f319ff4173f5f72b488.jpg

Vipi kuhusu Renovation au umaliziaji/finishing work kwa nyumba ambayo haijakamilika, mnafanya na shughuli hizo au ni ujenzi wa nyumba mpya tu !!??
 
Hahahahah bango structural engineer ndo huyo huyo contractor, angalieni msiliwe pesa zenu kwa utapeli mpya wa mjini
 
Back
Top Bottom