Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Wateja wetu wa Dodoma na Moshi tupo njiani kufungua tawi jipya huko www.one2onefocus Nyumba yako Maisha yako tupigie au tu WhatsApp kwa 0763772636/0789047874
 
Niko arushaa,,,,hiyo nyumba ni kw garama kiasi gan???nicheki kea namba 0655184593 au0767051931
 
Mm naufahamu nyumb s nyumb ya mil hzo alaf n mwands pia so hyo kwa hyo pesa haya kaka
 
Hongera kwa vile ni mwandisi waweza kujijengea ata gorofa kwa garama upendayo

Nunua tu kiwanja ujenge mkuu hii ni kwa watu wenye kujua Nyumba na time management
Mkuu, this is poor customer care! When marketing something, majibu yako yasiwe na chembechembe za jaziba hata kama maswali yanaudhi!
 
Kwanza niwapongeze kwa kuja na wazo bora lenye nia ya kusaidia wananchi wa kawaida. Kwa uzoefu wangu, ujenzi unagharama sana, achilia mbali vifaa, kuna muda na vilevile kukosa maelekezo au ushauri mzuri wa kitaalam kuanzia kwenye ramani na mahitaji sahihi.

Hii gharama 32M ni nafuu sana, tukumbuke hapa mnasainishana mkataba wakati ujenzi unaanza, kitu ambacho hauwezi kukipata kwa mafundi wetu wa mtaani. Faida nyingine ni hiyo ya nyumba kuwa kwenye uangalizi kwa miaka mitatu, binafsi naona mko sawa.

Msikatishwe tamaa na wachache, kwenye biashara na maisha binafsi ni vitu vya kawaida kukumbana na watu wenye mtazamo tofauti.

Ningeshauri muongeze kundi jingine lawateja, wale ambao wameishia njiani hawajakamilisha aidha kwa kugundua walianza vibaya au mafundi wameharibu kazi na kuishia njiani, mngeweza kuwatembelea mkawatoza gharama za kufanya upembuzi na mapendekezo, kisha mkashauri kuifanya kazi ya kumalizia kwa gharama mtakazoona zinafaa kulingana na hatua ya nyumba husika.
 
Karibuni kwa huduma bora kabisa za ujenzi kwa mawasiliano zaidi nichek WhatsApp 0763772636 nyumba yako maisha yako
 
Kwa wale ambao wangependa kutembelea miradi yetu iliyopo tayari na ambayo imeshajengwa tafadhali unakaribishwa ili kuweza kuona ubora wa kazi zetu
 
Karibuni sana ujenzi bora na kwa garama rafiki kabisa waweza kutuchek WhatsApp kwa namba 0763772636 karibuni sana
Nyumba yako Maisha yako
 
Karibuni sana wateja wetu was sehemu mbalimbali huduma ya ujenzi inaendelea kwa garama rafiki kabisa tunajenga popote Tanzania
 
Back
Top Bottom