Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Hapo ni lazima tuelewane QS material ninazotaka mimi au ni wewe uniletee zile fekeroo za China? Kama ni cheap building material ni lazima bei iwe cheap sana. Kwa mil 32 nikitumia normal material ni nyumba ya kawaida ya rooms tatu. Sasa ukweli tangazo lako haliko sawa kwa kuwa pia ujenzi na gharama unategemea mambo mengi mno.
 
Umesema mteja analipa mil16 kisha mnamjengea akiridhika atamalizia, vipi kama mteja hataridhika mtamrudishia pesa yake au mnautaratibu gani..?
Halafu ingekuwa vyema ukaweka picha za nyumba ambazo tayari mmekwishajengea wateja...
 
Usipende ku kremisha bosi material kama mabati sisi kama kampuni tuna kiwanda kidogo cha kuproduce pia matofali tuna mashine tuna shamba la miti ya mbao so usihukumu moja kwa moja come to the ofisi
Nimtizamo nasubiri ushuhuda...
 
Hapo ni lazima tuelewane QS material ninazotaka mimi au ni wewe uniletee zile fekeroo za China? Kama ni cheap building material ni lazima bei iwe cheap sana. Kwa mil 32 nikitumia normal material ni nyumba ya kawaida ya rooms tatu. Sasa ukweli tangazo lako haliko sawa kwa kuwa pia ujenzi na gharama unategemea mambo mengi mno.
Karibu ofisini kwetu makumbusho complex au Buzuruga Plaza kwa Mwanza utapata maelezo yote ya maswali yako
IMG-20170221-WA0070.jpg
IMG-20170221-WA0068.jpg
021f7665ea3098243ee51b0e5d380f2d.jpg
IMG-20170221-WA0035.jpg
IMG-20170221-WA0034.jpg
IMG-20170221-WA0031.jpg
IMG-20170221-WA0030.jpg
hizo ni sample za baadhi ya project zetu tunazofanya pia hayo ni mabati ya msauz ndo tunaezekea karibu bosi
 
Umesema mteja analipa mil16 kisha mnamjengea akiridhika atamalizia, vipi kama mteja hataridhika mtamrudishia pesa yake au mnautaratibu gani..?
Halafu ingekuwa vyema ukaweka picha za nyumba ambazo tayari mmekwishajengea wateja...
Asante mkuu kwa swali lako zuri kutokana na uzoefu wa kazi yetu kwa zaidi ya miaka 8 sasa tuna Engineer wazur na wenye uzoefu na kazi tunajiamini na kazi zetu ndio maana tunakuambia lipia nusu najua baada ya kumalizia utaipenda tu maana sisi hatufanyi kazi kwa kubahatisha karibu ofisini mkuu wangu picha za project zetu hizi
IMG-20170221-WA0038.jpg
IMG-20170221-WA0036.jpg
IMG-20170221-WA0037.jpg
 
Mleta uzi ameonesha ofisi zao na ametoa website ya ofisi yake
Asante kwa Maelezo yako mazuri kaka unajua tunatofautiana kwenye uelewa so tuwavumilie maana wanadhan kila kitu ni utapel
 
Back
Top Bottom