Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Karibu sana mpenz tena kama una kiwanja kikubwa nakushauri jenga hizi za mil 32 uwe na kijiji chako upangishe utakula hela hadi wakuone fisadi
Ahahahahaha...Maneno ya kutia moyo sana haya, Wacha tufanye Kazi...Mkuu nitakutafuta.
 
Ahahahahaha...Maneno ya kutia moyo sana haya, Wacha tufanye Kazi...Mkuu nitakutafuta.
Karibu tutakufundisha jinsi ya kumiliki MVUTESI VILLAGE kwa mpangilio na garama nafuu upige pesa hadi vitukuu vizikute kuna mambo watu hawayajui ndo maana hawaamin kama 32M inajenga nyumba jiulize Magufuli ni Engineer kwanini ukimwambia kujenga hiki ni mil 2 yeye anakuambia hapana garama zake halisi ni laki 8 think big huo ni Mfano tu
 
Mkuu usiyumbishwe na wanafiki. NHC walikuwa wanauza zile nyumba zao ndogo nafikiri ni 2-bedroom houses kwa 50m hivi. Watu povu liliwatoka kuwa ni bei kubwa sana. Sasa watu hawa hawa leo wanasema 32m kujenga nyumba ya vyumba viwili ni uongo!

32m+jumlisha na kiwanja+vat+faida yako =bei ya NHC.

Mimi hivi karibuni nimejenga 2-bedroom house mpaka sasa hivi imekula 30m bado vitu vidogo na fence ambayo nakadiria final price itakuwa 35m. Na nimejitahidi nimefanya high quality finishing otherwise ingekuwa around 25-27m.
 
Asante Mkuu kwa kuzidi kuwafumbua macho vipofu
 
Kuhusu maji umeme ni inclusive ukija ofisini utachagua ramani na aina sisi tunakujengea na tunajenga popote Tanzania kiwanja ni chakwako mkuu
kwa kweli nyie jamaa nimependa jinsi mnavyofanya kazi baada ya kutembelea website yenu nikiweka mambo yangu sawa nitafika ofisini kwenu
 
Mimi nikiingia kazini mara baada ya ajira ntawatafuta
 
Good idea..

Mkuu wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana.. Umeshindwa kiajiri architect afanye sample designs za Ku display? Maana unatuwekea mapicha picha ya mtandaoni ambayo yanatupa Mashaka kama kweli uko serious na kazi yako...

Pia, nyumba ya 32m regardless of location, soil conditions, plan size and the like ni uongo..

Me thinks.
Barios Serio

Huwa unawaza mbali !

Nadhani umempa wazo la kibiashara zaidi..
 
Hapo Tatizo kwenye kutoa Cash 16,000,000/=

Mkuu tuwekee Mchanganuo wa mahesabu tofari za ujazo gani? Za aina gani na cement mfuko mmoja unatoa tofari ngapi? bei ya kokoto,Mchanga,Nondo ukubwa na idadi, na ni kiasi gani hutumika bei ya kuchimba shimo la vyoo n.k kenchi mbao ngapi na ngapi zitatumika... Bei ya wire, Mabomba ya Maji,Sink za kunawia,Kujisaidia na kuogea, Rangi gani unatumia kupendezesha nyumba, na uzio tofari ngapi na hizo hapo chini vigae visivyo tereza uwanjani, Vigae tereza vya ndani ya nyumba,Ceiling unatumia nini na kama pia kuna ceiling fan au full house ventilation system isiyotumia exhaust fan moja au mbili n.k Tujue kama bei inaendana au vipi maana makonctractor Mnamvyomfanyia Magufuli acha tu hadi uhakiki halisi wa bei ufanyike... pesa ngumu kupotea kirahisi
Mkuu hii schedule of material kabisa...

Sasa ukishapewa hivi vitu vyote kuna haja ya kujenga nao tena...

Si bora tuu ukasimamie ujenzi wako mwenyewe..
 
Mkuu hii scedule of material kabisa...

Sasa ukishapewa hivi vitu vyote kuna haja ya kujenga nao tena...

Si bora tuu ukasimamie ujenzi wako mwenyewe..
Nimeuliza nielewe.... So nishajibiwa pia! huwezi fahamu watu wananafasi gani katika uchakarikaji wa maisha mnaoelewa hamuulizi ndio hivyo tu.
 
Karibu ofisini kwetu makumbusho complex au Buzuruga Plaza kwa Mwanza utapata maelezo yote ya maswali yakoView attachment 473036View attachment 473038
021f7665ea3098243ee51b0e5d380f2d.jpg
View attachment 473039View attachment 473040View attachment 473041View attachment 473043 hizo ni sample za baadhi ya project zetu tunazofanya pia hayo ni mabati ya msauz ndo tunaezekea karibu bosi
Hayo mabati ni ya South au ni ya mchina Sun Shire?
 
Back
Top Bottom