Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Kujiuliza na kutafakari ni kipande cha sehemu ya ukamilifu kiakili.We uwe unaenda kichwakichwa kila siku utakuja jibamiza mbele ya treni.If the man is genuine that is perfect. Wengine tulishaambiwa na babu zetu kitambo "for any sweet deal watch out with four eyes".
Karibu ofisini kaka selekwa tukujengee
 
Hapo Tatizo kwenye kutoa Cash 16,000,000/=

Mkuu tuwekee Mchanganuo wa mahesabu tofari za ujazo gani? Za aina gani na cement mfuko mmoja unatoa tofari ngapi? bei ya kokoto,Mchanga,Nondo ukubwa na idadi, na ni kiasi gani hutumika bei ya kuchimba shimo la vyoo n.k kenchi mbao ngapi na ngapi zitatumika... Bei ya wire, Mabomba ya Maji,Sink za kunawia,Kujisaidia na kuogea, Rangi gani unatumia kupendezesha nyumba, na uzio tofari ngapi na hizo hapo chini vigae visivyo tereza uwanjani, Vigae tereza vya ndani ya nyumba,Ceiling unatumia nini na kama pia kuna ceiling fan au full house ventilation system isiyotumia exhaust fan moja au mbili n.k Tujue kama bei inaendana au vipi maana makonctractor Mnamvyomfanyia Magufuli acha tu hadi uhakiki halisi wa bei ufanyike... pesa ngumu kupotea kirahisi
 
Kuna baadhi ya kujibu baadhi sio ya kujibu
 
Mkuu ..km nataka ku custom nyumba iwe na room 4 zote self..vbalaza 2 meaning cha mbele na jikon..plus kuwe na underground room 1..itakuaje price ??
 
Kuna baadhi ya kujibu baadhi sio ya kujibu
Kwahiyo ndio umeshajibu? Magufuli katustua mkuu Uhakiki kama zile Hostel kutoka 46 billion hadi 10Billion hata kama sie tusio enda Shule tumeshaelewa kuwa Makandarasi ni zaidi ya Mafisadi
 
Hapo Tatizo kwenye kutoa Cash 16,000,000/=

Mkuu tuwekee Mchanganuo wa mahesabu tofari za ujazo gani? Za aina gani na cement mfuko mmoja unatoa tofari ngapi? bei ya kokoto,Mchanga,Nondo ukubwa na idadi, na ni kiasi gani hutumika bei ya kuchimba shimo la vyoo n.k kenchi mbao ngapi na ngapi zitatumika... Bei ya wire, Mabomba ya Maji,Sink za kunawia,Kujisaidia na kuogea, Rangi gani unatumia kupendezesha nyumba, na uzio tofari ngapi na hizo hapo chini vigae visivyo tereza uwanjani, Vigae tereza vya ndani ya nyumba,Ceiling unatumia nini na kama pia kuna ceiling fan au full house ventilation system isiyotumia exhaust fan moja au mbili n.k Tujue kama bei inaendana au vipi maana makonctractor Mnamvyomfanyia Magufuli acha tu hadi uhakiki halisi wa bei ufanyike... pesa ngumu kupotea kirahisi
Mmmmmmh...!!
Mdau unahitaji kupewa gharama ili ukajenge mwenyewe au ili ijenge hiyo kampuni?
 
Mleta mada hii imekaaje mbona hakuja hii website
e8d7f7d4f3a9c3bdc24b9b6887f1d94d.jpg
 
Kwahiyo ndio umeshajibu? Magufuli katustua mkuu Uhakiki kama zile Hostel kutoka 46 billion hadi 10Billion hata kama sie tusio enda Shule tumeshaelewa kuwa Makandarasi ni zaidi ya Mafisadi
Unaniuliza mm? kwan mm ndio niliyo weka post?

Hicho unachotaka kukijua hapo huna sababu ya kuajiri kampun ikujengee nyumba, hawafanyi kazi ya kanisa, nenda kanunue vifaa jenga nyumba yako mwenyewe
 
Sasa umefanya nini sasa umesaidia kujibu and then hutaki kuulizwa!... msipende kuquote yasiyokuhusu
 
At some point kuna baadhi ya ujinga mwingine inabidi mtu uingie kati uu crash tu, walau mtu anaweza pata akili.. ndio nilicho kufanyia
 
Kuhusu maji umeme ni inclusive ukija ofisini utachagua ramani na aina sisi tunakujengea na tunajenga popote Tanzania kiwanja ni chakwako mkuu
Asante mkuu kwa ufafanuzi,ila nadhani ni vyema kichwa cha habari kikabadilika
endapo kwenye malipo hayo hayahusishi kiwanja.
badala ya "miliki nyumba...." ni vema ukatumia " Jengewa nyumba...."
kwa sababu huwezi kumiliki nyumba kama hujamiliki kiwanja
labda ya kununua ambayo huuzwa pamoja na uwanja wake.

Tangazo la "miliki nyumba" linatolewa na wale wanaojenga kwenye viwanja vyao
na kuwauzia wanunuzi nyumba na kiwanja kwa bei wanayoitaja.

Nikupongeze tena kwa ubunifu huu
wa kutengeneza ajira kwa njia sahihi
tutawasiliana mkuu.
 
Asante kiongozi wangu kwa ushauri wako nitakufanyia kaz na Mungu akubariki
 
Hapo Tatizo kwenye kutoa Cash 16,000,000/=

Mkuu tuwekee Mchanganuo wa mahesabu tofari za ujazo gani? Za aina gani na cement mfuko mmoja unatoa tofari ngapi? bei ya kokoto,Mchanga,Nondo ukubwa na idadi, na ni kiasi gani hutumika bei ya kuchimba shimo la vyoo n.k kenchi mbao ngapi na ngapi zitatumika... Bei ya wire, Mabomba ya Maji,Sink za kunawia,Kujisaidia na kuogea, Rangi gani unatumia kupendezesha nyumba, na uzio tofari ngapi na hizo hapo chini vigae visivyo tereza uwanjani, Vigae tereza vya ndani ya nyumba,Ceiling unatumia nini na kama pia kuna ceiling fan au full house ventilation system isiyotumia exhaust fan moja au mbili n.k Tujue kama bei inaendana au vipi maana makonctractor Mnamvyomfanyia Magufuli acha tu hadi uhakiki halisi wa bei ufanyike... pesa ngumu kupotea kirahisi
Hii naona ni nzuri zaidi ukiongea nao kiofisi.l think it needs a lot of clarification na pia huenda mteja akawa pia na specification zake if you put them on the table mataongea vizuri zaidi.Nafikiri hivo.
 
Hizo nyumba mnajenga kwenye viwanja vyenu au vya wateja wenj?
Kwa garama za hapo juu kiwanja ni cha mteja na ukitaka tukujengee kwenye kiwanja chetu ni sawa ila garama zitaongezeka kulingana na eneo la kiwanja na aina ya kiwanja na ukubwa karibu sana tukujengee mkuu
 
Hiyo mil.16 ambayo ni 50% inatosha kabisa kujengea nyumba ya ukubwa huo.. Kwa hiyo 50% ya pili ni ya usimamizi wa ujenzi tu... Teteteteeeh.. Hatariii.
 
Back
Top Bottom