pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #221
Pia tunatoa na Huduma ya upimaji viwanja karibun
Gharama ya kupimiwa ni TSh. ngapi?Kama kiwanja chako hakijapimwa karibuni tunatoa na Huduma ya upimaji viwanja kwa garama Rafiki kabisa
Nichek WhatsApp au kwa sms kwa namba 0763772636 ili nikupe utaratibu na sifa za kiwanja nkGharama ya kupimiwa ni TSh. ngapi?
Kiwanja kipo Kigamboni - Somangir, Dar.
Tunajenga kwenye kiwanja cha mteja mkuuNyumba zipo maeneo gani hizi
Ataje hiyo nyumba ys 32m ina eneo la square metre ngapi? Unaweza kukutu ni kiberiti MKUU!Kwakweli hata mimi nimeshangaa... maana thamani ya kiwanja tu ni karibia robo ya gharama ya nyumba...
Hata kama una kiwanja chako, 32M kujenga nyumba mpaka iishe, nna mashaka na uimara wa hiyo nyumba.
Internet ya voda ilivyo
i ndio maana nilimuuliza , hapa anazungumzia nyumba au banda??? Akanikasirikia.Ataje hiyo nyumba ys 32m ina eneo la square metre ngapi? Unaweza kukutu ni kiberiti MKUU!
Toka nijiunge na halotel cjawahi ambiwa hivi
Sikukukasirikia pole nikukasirikie kwa kipi kakai ndio maana nilimuuliza , hapa anazungumzia nyumba au banda??? Akanikasirikia.
Usiishi kwa hisia njoo ofisini uhoji yote tutakujibu na material zetu utaziona pil sisi hatujengi kwenye kiwanja chetu tunajenga mwenye kiwanja cha mteja Vyumba vya masta kwa mil 32 kimoja ni ukubwa wa 4.5 kwa 4.5 na cha kawaida self 3.5 kwa 3*5 najua umeuliza ili swali kwa faida ya wengineAtaje hiyo nyumba ys 32m ina eneo la square metre ngapi? Unaweza kukutu ni kiberiti MKUU!
Kama ni mjenz karibu yote tutakupatia na material tunazotumia kukujengea ukija ofisin tutakujibu yote na utaruhusiwa kuhakiki wakati ujenz ukiendeleaMtoa mada tupe specifications za nyumba ya 32m! Eneo la jumla ni square metre ngapi? Tupe saizi ya sebule, jiko, na vyumba!
Hili swali ni la msingi mno.Mtoa mada tunaomba ulijibu hapa kwani sio kila mmoja ataweza kuja huko ofisini pasipo na kuridhika na majibu ya vitu muhimu kama hivi alivyouliza mkuu hapa.Mtoa mada tupe specifications za nyumba ya 32m! Eneo la jumla ni square metre ngapi? Tupe saizi ya sebule, jiko, na vyumba!
Na eneo la nyumba yote kwa ujumla ni kiasi gani?Usiishi kwa hisia njoo ofisini uhoji yote tutakujibu na material zetu utaziona pil sisi hatujengi kwenye kiwanja chetu tunajenga mwenye kiwanja cha mteja Vyumba vya masta kwa mil 32 kimoja ni ukubwa wa 4.5 kwa 4.5 na cha kawaida self 3.5 kwa 3*5 najua umeuliza ili swali kwa faida ya wengine
25*25Na eneo la nyumba yote kwa ujumla ni kiasi gani?
Kaka ebu rejea Tangazo langu vema acha mwendo kasi kaka mimi nimesema Vyumba viwil sebule dining store jiko na choo ch a public ndio mil 32 pia kama unataka kujenga na huna uzoefu njoo ata tukushauri bure tu kaka ivi ujiulizi kwanini Magu analetewa bajet ya kujenga bil kadhaa anakataa anasema ni bil hizi? Kuliko upingane na ninachokueleza bora ufanye utafiti wa kina kabisa usiongelee mafundi wa vichochoron wanaokuibia sment na vingine...Mchanganuo wa Kuwalipa mafundi bei za chini kwa hiyo nyumba ya vyumba 3 iliyokamilika
Fundi ujenzi 2000,000
Fundi bati 1000,000
Kumwaga zege ya floor 200,000
Kupiga plaster 1000,000
Umeme 600,000
Installation ya maji safi na maji taka 500,000
Kuchimba shimo la choo na kujenga 300,000
Kufanya bundering pamoja na kufunika gypsum board 800,000, Skimming pamoja na kupaka rangi 1000,000
Kuweka tiles 700,000
Ufundi tu inacost zaidi ya million 8...nyumba ya vyumba 3 kwa million 32 ni impossible labda yeye ana supply materials tu