Kaka hadi Dodoma tunafikaMkuu njoo Dodoma upate fursa... ni jambo ambalo linaniumiza kichwa sana kukaa nyumba za kupanga.
Sawa kiongozi.
Ukiwa na maana ya chumba kimoja masta halafu sebule, jiko, dining, store si ndo ivo au nimekuelewa tofauti? Kama ndo ivo nijibu kwa WhatsApp 0763772636 au tuma text ya kawaida nami nitakujibuMkuu nataka kumjengea mke mdogo, sebure jiko na na chumba master shs ngapi mkuu,
Ukiwa na maana ya chumba kimoja masta halafu sebule, jiko, dining, store si ndo ivo au nimekuelewa tofauti? Kama ndo ivo nijibu kwa WhatsApp 0763772636 au tuma text ya kawaida nami nitakujibu
Karibu tukujengee bosinyumba nzui ndo kama hizi
Tunafanya sisi mkuu, Nyumba hazijajengwa hapa unachotakiwa kufanya uwe na kiwanja chako material kila kitu juu yetu karibu sanaVipi kuhusu mioundo mbinu mingine kama vile
maji na umeme,ni inclusive kwenye hizo milioni 32?
Na je,nyumba hizo zimejengwa wapi,namaanisha location
au mteja anakuwa na kiwanja chake afu nyie mnaitwa
na kumjengea?
Nawapongeza kwa ubunifu wenu,nisadie maswali hayo
asante.
Pole ndugu yangu endelea kuibiwa sement na mafundi wa vichochoron wajenz wameshaanza kujenga sisi hatujaanza kazi Leo tuna miaka zaidi ya nane tuchek hapa www.one2onefocus.comUsanii wa kijinga tafuteni njia nyingine ya kupata hela hakuna mjinga wa kukubali kuwa hizo nyumba zinaweza kujengwa kwa amount hiyo
kuna point umesema mteja "akiridhika" ikiwa kama hajaridhika na ushajenga mtafanyaje?? je raman mnamruhusu mteja kuchagua anayoitaka? maana kuna raman ya vyumba hivyo hivyo ila n expensive balaa ujenzi wakeKiwanja not included kiwanja ni chako sisi ni ujenz karibu sana
Ramani utachagua kuhusu kuridhika huwezi kutokuridhika maana hatua zote za ujenz utashirikishwa from A- Z ndo maana tunajiamini na kazi zetu karibukuna point umesema mteja "akiridhika" ikiwa kama hajaridhika na ushajenga mtafanyaje?? je raman mnamruhusu mteja kuchagua anayoitaka? maana kuna raman ya vyumba hivyo hivyo ila n expensive balaa ujenzi wake
Kwa kuongezea pia RAMAN Ni bure kwa wateja wetu wanaotaka kujenga nasi karibuRamani utachagua kuhusu kuridhika huwezi kutokuridhika maana hatua zote za ujenz utashirikishwa from A- Z ndo maana tunajiamini na kazi zetu karibu
Kalipie kabisa hili tangazo JF, kwa nini unakwepa wajibu wako wa kuwa chanzo cha kodi kwa serikali?Pole ndugu yangu endelea kuibiwa sement na mafundi wa vichochoron wajenz wameshaanza kujenga sisi hatujaanza kazi Leo tuna miaka zaidi ya nane tuchek hapa www.one2onefocus.com
Una uhakika gani kwamba sijalipia au sijachangia any way asante kwa mtazamoKalipie kabisa hili tangazo JF, kwa nini unakwepa wajibu wako wa kuwa chanzo cha kodi kwa serikali?
Me nadhan mtu unapotoa criticism kuhusu bei ya kujenga nyumba nadhan mtoe na credential zenu je wewe na QS, engineer, valuer, architect, prop manager or una experience yoyote in the construction industry usije ukawa layman tu unaropoka coz watu humu JF mnatabia za kuropoka tu....Kwakweli hata mimi nimeshangaa... maana thamani ya kiwanja tu ni karibia robo ya gharama ya nyumba...
Hata kama una kiwanja chako, 32M kujenga nyumba mpaka iishe, nna mashaka na uimara wa hiyo nyumba.
Utakuwa mjenzi wewe[emoji106]Good idea..
Mkuu wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana.. Umeshindwa kiajiri architect afanye sample designs za Ku display? Maana unatuwekea mapicha picha ya mtandaoni ambayo yanatupa Mashaka kama kweli uko serious na kazi yako...
Pia, nyumba ya 32m regardless of location, soil conditions, plan size and the like ni uongo..
Me thinks.
Kwakuwa babu yako alikudanganya ili ujenge nyumba yako ni lazima uwe engineer, QS au valuer...Me nadhan mtu unapotoa criticism kuhusu bei ya kujenga nyumba nadhan mtoe na credential zenu je wewe na QS, engineer, valuer, architect, prop manager or una experience yoyote in the construction industry usije ukawa layman tu unaropoka coz watu humu JF mnatabia za kuropoka tu....
U see hata reponse zako ni childish.... toa reasons zenye justification kwamba 35m ukiwa nakiwanja huwez jenga nyumba.....Kwakuwa babu yako alikudanganya ili ujenge nyumba yako ni lazima uwe engineer, QS au valuer...
Unasahau naweza kuwaajiri wao wanijengee na hivyo nalazimika kuwahoji...
Dogo... unapohoji ishu yoyote ya kisheria si lazima uwe Tundu Lissu.
Think and grow up, grandson/daughter...
Tapeli huyo nyumba ya milioni 32?!!!!Kwakweli hata mimi nimeshangaa... maana thamani ya kiwanja tu ni karibia robo ya gharama ya nyumba...
Hata kama una kiwanja chako, 32M kujenga nyumba mpaka iishe, nna mashaka na uimara wa hiyo nyumba.