Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Hapo Tatizo kwenye kutoa Cash 16,000,000/=

Mkuu tuwekee Mchanganuo wa mahesabu tofari za ujazo gani? Za aina gani na cement mfuko mmoja unatoa tofari ngapi? bei ya kokoto,Mchanga,Nondo ukubwa na idadi, na ni kiasi gani hutumika bei ya kuchimba shimo la vyoo n.k kenchi mbao ngapi na ngapi zitatumika... Bei ya wire, Mabomba ya Maji,Sink za kunawia,Kujisaidia na kuogea, Rangi gani unatumia kupendezesha nyumba, na uzio tofari ngapi na hizo hapo chini vigae visivyo tereza uwanjani, Vigae tereza vya ndani ya nyumba,Ceiling unatumia nini na kama pia kuna ceiling fan au full house ventilation system isiyotumia exhaust fan moja au mbili n.k Tujue kama bei inaendana au vipi maana makonctractor Mnamvyomfanyia Magufuli acha tu hadi uhakiki halisi wa bei ufanyike... pesa ngumu kupotea kirahisi
Kama wewe ni mjenz kweli njoo ofisin majibu ya maswal yako utayapata bila kuacha ata nukta
 
Kwa iyo Gharama, haiwezekani kujenga nyumba ya namna iyo ikakamilika. I'm talking from experience, because i'm an Architect by professional.

Labda wanajenga kwa matofali ya kuchemsha . Maana hata ya kuchoma hujengi mpaka kufikia hiyo finishing aliyotuonyesha .
 
Mleta mada yupo sahihi na hiyo nyumba kiwanja kama ni tambarare anapata faida
 
U see hata reponse zako ni childish.... toa reasons zenye justification kwamba 35m ukiwa nakiwanja huwez jenga nyumba.....
Unaweza kunilipa? Sina sababu ya kukupa justification. Kama unaweza kajenge banda lako. Sisi tunaojenga nyumba tuna uhakika huwezi kujenga nyumba kwa pesa hiyo. 32m hata kuezeka huwezi... labda kama utaezeka kwa nyasi.
 
Usichafue biashara yamwenzio bila kuweka justification
 
Unaweza kunilipa? Sina sababu ya kukupa justification. Kama unaweza kajenge banda lako. Sisi tunaojenga nyumba tuna uhakika huwezi kujenga nyumba kwa pesa hiyo. 32m hata kuezeka huwezi... labda kama utaezeka kwa nyasi.
Acha dharau ndugu kama hujui kitu bora uombe kuelekezwa kukariri ni kubaya lete hizo 32m tukujengee nyumba bora na material bora zio nyasi zako tutakupa na ramani buree kama nyongeza
 
Sichafui biashara ya watu. Ila nawa-alert watu wasije kujengewa mabanda wakadhani wamejengewa nyumba!!
Kaka unadharau ndugu ila nimegundua sio kosa lako ni hali ya maisha tu sisi hatujaanza kujenga Jana wala Leo baba kampuni ipo zaidi ya miaka 8 sasa na hizo za mil 32 awali tulikuwa tunajenga kwa mil 28 tu kipindi hiki ndo zimepanda coz ya Dola so hatuko hapa kufanya majaribu tuko hapa kufanya tunachokijua zaidi ya yote Raman tutakuchorea bure kabisa karibu usiwe kama Tomaso
 
Habari wakuu one2onefocus limited ni kampuni inayojihusisha na maswala ya kujengea wateja nyumba kwa bei rafiki kabisa zaidi ya yote unaweza kufanya malipo kidogo kidogo bila riba yeyote

Mfano nyumba ya Vyumba viwili vikubwa na self, sebule, jiko, store,jiko, dining room na choo cha public ni shiling milion 32 sasa wewe unaweza kutulipa asilimia 50% ya bei husika yaani mil 16 halafu sisi tutajenga nyumba yako yote baada ya hapo tunakuita kuja kuhakiki ukiridhika utamalizia hizo mil 16 zilizobakia taratibu bila riba yoyote ukimaliza kulipia tutakukabidhi nyumba yako na itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa miaka mitatu chochote kitakachoharibika kitafanyiwa marekebisho bure na kampuni kwa Maelezo zaidi na sample za kazi zetu tembelea [URL='One2One Focus Company Limited pia waweza kunipigia kwa namba 0763772636 au 0789047874 au waweza kunichek WhatsApp kwa 0763772636 karibuni sana milki Nyumba yako sasa
Pia tunahusika na upimaji wa viwanja kama una kiwanja chako ambacho hakijapimwa karibu tukupimie kwa bei rafiki kabisa nichek kwa 0763772636/0789047874

View attachment 472851View attachment 472852View attachment 472853View attachment 472854
www.one2onefocus.com whatsap 0763772636 au piga 0789047874/0763772636
Hiyo Nyumba Ya Mwisho Kali sanaaa aiseee.. Naipata Kwa Mil 32 kweli??... Complete
 
Acha dharau ndugu kama hujui kitu bora uombe kuelekezwa kukariri ni kubaya lete hizo 32m tukujengee nyumba bora na material bora zio nyasi zako tutakupa na ramani buree kama nyongeza
Ningekuwa nahitaji kujengewa banda ningekupa. Ila siwezi kukupa 32m eti unijengee nyumba. Hapana asee...
 
Kaka unadharau ndugu ila nimegundua sio kosa lako ni hali ya maisha tu sisi hatujaanza kujenga Jana wala Leo baba kampuni ipo zaidi ya miaka 8 sasa na hizo za mil 32 awali tulikuwa tunajenga kwa mil 28 tu kipindi hiki ndo zimepanda coz ya Dola so hatuko hapa kufanya majaribu tuko hapa kufanya tunachokijua zaidi ya yote Raman tutakuchorea bure kabisa karibu usiwe kama Tomaso
Kila la kheri kiongozi.

Samahani kama nimekukwaza.
 
Back
Top Bottom