one wisow
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,327
- 1,917
90% ya dunia....napata wasiwasi na hizi data...walitawala eneo kubwa lkn hawakufikia asilimia 90...kipindi chao palikua na mataifa makubwa pia ambayo yalikua yanascramble kujitanua zaidi....wafaransa, wajerumani, spanish,russia empire etc.....ni kweli yeye ndo aliibuka kinara lkn sio kwa asilimia zote hizo
Nilihisi mashaka nayapata peke angu kumbe wengi90% ya dunia....napata wasiwasi na hizi data...walitawala eneo kubwa lkn hawakufikia asilimia 90...kipindi chao palikua na mataifa makubwa pia ambayo yalikua yanascramble kujitanua zaidi....wafaransa, wajerumani, spanish,russia empire etc.....ni kweli yeye ndo aliibuka kinara lkn sio kwa asilimia zote hizo


Ukweli Mchungu...HII INADHIHIRISHA KUWA DUNIA LAZMA IWE NA MBABE ILI ITULIE. HISTORIA INAONYESHA DUNIA HAIJAWAHI KUKAA BILA SUPER POWER NATION. ZIMETAWAKA DUNIA: BABYLON, RUMI, UK NK. SASA NI ZAMU YA US, JAPO WATU HUMU HAWAKUBALI HILO. KAMA US ITAANGUKA LITAIBUKA TAIFA LINGINE NA LINAWEZA KUWA TISHIO ZAIDI.
ulishawahi sikia WORKSHOP OF THE WORLD?..umesikia nchi ngapi duniani zikiitwa hivyo?..Iyo UK ilikua na nguvu gani mpaka itawale 90% ya Dunia kwa kipi kwa jeshi gani kwa man power ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyewahi kutawala hata 70% ya dunia ndugu.huyo UK mwaka gani ? katawala 90%ulishawahi sikia WORKSHOP OF THE WORLD?..umesikia nchi ngapi duniani zikiitwa hivyo?..
Me nitakutajia nchi moja tu UNITED KINGDOM (UK)!.
Haya nitajie nyingine unayoijua wewe!. Thats how powerful once UK was mate!..
hivi unajua kabla ya hii internet kila kitu kilikuwa kinafanyikia kwenye Meli!?, kafuatirie nguvu ya UK kwenye Marine affairs!..
Hakuna aliyewahi kutawala hata 70% ya dunia ndugu.huyo UK mwaka gani ? katawala 90%
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Hii ndiyo nini ndugu maana hapo naona alitawala asilimia 25 ya eneo na jumla ya asilimia 23 ya watu wote duniani.au wewe unaona wanasema katawala hata nusu ya dunia ?Why we ruled the world | Niall Ferguson | Journalism
Niall Ferguson, MA, D.Phil., is Laurence A. Tisch Professor of History at Harvard University. He is also a Senior Fellow at the Hoover Institution, Stanford University, and a Senior Research Fellow at Jesus College, Oxford.www.niallferguson.com
![]()
How big was the British Empire and why did it collapse?
The largest in history at its height, there is little left of the British Empire todaywww.theweek.co.uk
Hata nusu ya dunia hakuweza kutawala we mleta mada unasema asilimia 90.kweli bangi sio nzuriView attachment 1305935
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Acha uongo wewe hamna aliewahi kutawala Ata 70% ya Dunia. Itakua HIO UK?hio raman umeleta ni ya 1920's (kuanzia 1920)!.........
inawezekana uingereza hakutawala nchi zote hizo kwa wakat mmoja ila kinachosemwa ni kwamba amewahi kutawala 90% ya nchi zote duniani.......
mfano, nchi nyingi za ulaya miaka ya 1880-1950 zilikua na makoloni afrika, lkn na zenyewe hapo zilikua zimetoka kupata uhuru toka kwa mwingereza!......
ukichunguza hio raman yako haioneshi kama US amewahi tawaliwa na UK wkt amewahi..... actually raman yako inaonesha nchi za commonwealth
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kosa lako, na inawezekana hujaelewa hata nilichoandika!Acha uongo wewe hamna aliewahi kutawala Ata 70% ya Dunia. Itakua HIO UK?
Sent using Jamii Forums mobile app