Naomba tujadili hii GovTech Maturity, tunaiona Tanzania ipo upande mmoja na mataifa ya magharibi wakati China haimo kwenye kundi hilo

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,328
8,243
GOVTECH MATURITY INDEX ni utafiti unaolenga kupima uwezo wa nchi mbalimbali kuendeleza na kutumia teknolojia kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma za umma na utawala bora.

Kwa mujibu wa GOVTECH MATURITY INDEX, kuna makundi manne ya nchi ambayo ni A, B, C na D.

Kundi A lina nchi ambazo zinafanya vizuri sana katika matumizi ya teknolojia katika utoaji wa huduma za umma na utawala bora.

Kundi B lina nchi ambazo zinafanya vizuri lakini si kama kundi A.

Kundi C lina nchi ambazo zina uwezo wa kufanya vizuri lakini bado hazijafikia kiwango hicho na

kundi D ni kwa nchi ambazo bado hazijafanya maendeleo yoyote kwenye matumizi ya teknolojia katika utoaji wa huduma za umma na utawala bora.

Tanzania imewekwa kundi A ambapo inashikiria nafasi ya 26 duniani huku ikishikiria nafasi ya 2 Afrika na ya kwanza Afrika mashariki.

Tanzania kuwekwa kwenye kundi A ni ishara kwamba nchi yetu inafanya vizuri katika matumizi ya teknolojia katika utoaji wa huduma za umma na utawala bora.

Lakini swali linakuja kwanini Tanzania tumzidi China ambaye amewekwa kundi B? Tujadili nini kimemfanya China kuzidiwa?


GroupGTMICountries or economies in groupEconomies %
A Very High GovTech leaders6934.8%
Albania; Argentina; Australia; Austria; Azerbaijan; Bahrain; Bangladesh; Belgium; Brazil; Cabo Verde; Canada; Chile; Colombia; Croatia; Czech Republic; Denmark; Dominican Republic; Ecuador; Egypt; El Salvador; Estonia; Finland; France; Germany; Greece; Hungary; Iceland; India; Indonesia; Italy; Japan; Jordan; Kazakhstan; Korea, Republic of; Latvia; Lithuania; Luxembourg; Malaysia; Malta; Mauritius; Mexico; Moldova; Mongolia; Netherlands; New Zealand; Norway; Oman; Panama; Peru; Portugal; Qatar; Russian Federation; Saudi Arabia; Serbia; Singapore; Slovenia; Spain; Sweden; Switzerland; Tanzania; Thailand; Türkiye; Uganda; Ukraine; United Arab Emirates; United Kingdom; United States of America; Uruguay; Uzbekistan
BHighSignificant focus on GovTech4623.2%
Algeria; Armenia; Benin; Bhutan; Bolivia; Brunei Darussalam; Bulgaria; Burkina Faso; Cambodia; China; Costa Rica; Cyprus; Ethiopia; Fiji; Georgia; Ghana; Guatemala; Hong Kong SAR, China; Iran; Ireland; Israel; Jamaica; Kenya; Kosovo; Kuwait; Kyrgyz Republic; Montenegro; Morocco; Nigeria; North Macedonia; Pakistan; Paraguay; Philippines; Poland; Romania; Rwanda; Slovak Republic; South Africa; Sri Lanka; St. Lucia; Taiwan, China; Togo; Trinidad and Tobago; Tunisia; Vietnam; Zambia
CMediumSome focus on GovTech5326.8%
Afghanistan; Andorra; Angola; Antigua and Barbuda; Bahamas; Barbados; Belarus; Belize; Bosnia and Herzegovina; Botswana; Burundi; Cameroon; Comoros; Congo, Democratic Republic of; Côte d’Ivoire; Cuba; Djibouti; Dominica; Eswatini; Grenada; Guyana; Honduras; Lao People’s Democratic Republic; Lebanon; Lesotho; Liechtenstein; Macao SAR, China; Madagascar; Malawi; Maldives; Mali; Monaco; Mozambique; Namibia; Nepal; Nicaragua; Papua New Guinea; Samoa; San Marino; Senegal; Seychelles; Sierra Leone; Solomon Islands; Somalia; St. Vincent and the Grenadines; Syrian Arab Republic; Tajikistan; Timor-Leste; Tonga; Vanuatu; Venezuela, República Bolivariana de; West Bank and Gaza; Zimbabwe
DLowMinimal focus on GovTech3015.2%
Central African Republic; Chad; Congo, Republic of; Equatorial Guinea; Eritrea; Gabon; Gambia; Guinea; GuineaBissau; Haiti; Iraq; Kiribati; Korea, Democratic People’s Republic of; Liberia; Libya; Marshall Islands; Mauritania; Micronesia, Federated States of; Myanmar; Nauru; Niger; Palau; São Tomé and Principe; South Sudan; St. Kitts and Nevis; Sudan; Suriname; Turkmenistan; Tuvalu; Yemen
 
Back
Top Bottom