Guru Master
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 226
- 594
Huo ambao haujawa polished tsh 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox vidogo vidogo tsh 350,000Weka bei. Boss. Nipo morogoro
Sijui umeona wapi pameandikwa njoo inbox. Labda tuanzie hapo. Isije ikawa ulikuwa na neno hili muda mrefu ukawa unatafuta na wewe utalizungumzia wapi.Sijui kwanini watanzania tunapenda sana ficha hizi bei za bidhaa...imagine amazoni au alibaba wanakwambia ukiipenda hii Tv njoo inbox...ni moja ya tabia za kitapeli..samahan kuchafua wall yako
Hii bei ni pamoja na usafiri hadi Morogoro?Huo ambao haujawa polished tsh 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox vidogo vidogo tsh 350,000
Alichomaanisha unapotangaza weka bei. Sio mpaka uulizweSijui umeona wapi pameandikwa njoo inbox. Labda tuanzie hapo. Isije ikawa ulikuwa na neno hili muda mrefu ukawa unatafuta na wewe utalizungumzia wapi.
Mlango tu boss. Bei inazungumzika haina shida.Kianzia 6 bei inaongeleka kiongozi?
Na hiyo bei ni complete na top yake au mlango kama mlango tu?
Milango ipo mingi na bado mteja anaweza kuja na aina yake akauliza nikamjibu bei kulingana na hitaji. Mbona kuna ambao wameuliza na wamejibiwa?Alichomaanisha unapotangaza weka bei. Sio mpaka uulizwe
NDIYO. we unapokea mlango wako hapo Morogoro.Hii bei ni pamoja na usafiri hadi Morogoro?
Thread ni Hii hapa boss. Labda kwa kuwa mimi ni mkenya sijui tofauti ya 450k na 300kHuo ambao haujawa polished tsh 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox vidogo vidogo tsh 350,000
Aisee ..... Imekuwa tena 450k na 300k? 😁 Hebu refer hapo nlipoandika mbona ni rahisi sana. Ni QUOTE please ili nikuombe msamaha kwa kupotosha Umma.Thread ni Hii hapa boss. Labda kwa kuwa mimi ni mkenya sijui tofauti ya 450k na 300k
Kwa hiyo siyo wewe uliandika hiiHuo ambao haujawa polished tsh 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox vidogo vidogo tsh 350,000
Sasa mbona unachanganya mara useme nimeandika 450k na 300k mara useme nimesema uliopakwa rangi n.k nami sijaandkka hayo maneno popote pale. Najua kila nilichoandika.Kwa hiyo siyo wewe uliandika hii
Napokuletea maana yake kila kitu ni juu yangu.nakufikushia sehemu ambayo unaweza kuja ichukua. Na kama upo karibu na barabara kuu nakufikishia site.unapatikana mkoa gani, dodoma unaifikisha? kwa gharama yako (utanikata) usafiri wangu shida ni maliasili njiani.
Soma kwa utulivu nlichoandika. Halafu nambie kwa nini unachanganyikiwa. Tulia kwanza. Shusha pumzi. Kunywa juice,maziwa ,smoothie au maji. Soma hapa chini.Kwa hiyo siyo wewe uliandika hii
Yah angewawekea bei hadharani kurahisha mambo..Sijui kwanini watanzania tunapenda sana ficha hizi bei za bidhaa...imagine amazoni au alibaba wanakwambia ukiipenda hii Tv njoo inbox...ni moja ya tabia za kitapeli..samahan kuchafua wall yako