Mikutano ya CHADEMA Mbeya inatia moyo kwa harakati za ukombozi....

dah, aisee... pamoja na mvua lakini wapo tu. Kweli hilo tumaini la watu(Musa wa Tanzania)
 
Muda mwingi nafikiri ni sababu gani inafanya Chadema kuongezeka nguvu kwa kasi kiasai hiki? anyway siku moja nitapata jibu kamili lakini kwa mwendo huu ni hatari sana kwa CCM
 
Jamani tuhamasishane katiba mpya yenye maslahi ya wananchi ipatikane, vinginevyo watu wote hawa wanaikataa CCM lakini kwasababu hatuna Tume ya Taifa ya uchaguzi iliyo huru, wanaagizwa tuu wamtagaze nani wanayemtaka labda ifike mahala viongozi wa Tume waamue kusaliti maagizo watangazwe tofauti ya maagizo hata hivyo nani atakubali kufa???
 
Mkuu nilivyosoma hilo bango KARIBU RAIS WA WATU UJISIKIE UPO IKULU YA NYUMBANI limenigusa sana napenda sana huyu jamaa kama angekuwa rais wa hii nchi kwa sasa 2ngekuwa kwenye hali ya kuridhisha sana.
 
Hii si mchezo wana JF, nimeangalia hizo picha hao wananchi wana hamasa sana. Hakuna The Comedy hapo, wala bendi ya TOT, Viva Dr, Viva CDM. Mungu yupo nasi, jangwani, milimani na nchi kavu.
 
watu wa mbeya mmetutia moyo sanaa,,hongereni wakuu,
nilikuwa na mashaka kidogo hasa na watu wa mbalizi maana ndio ngome ya ccm

Mbalizi co ngome ya ccm. Ni cjui jina vizuri katambala ndie alinunuliwa na ccm bila kununuliwa hali ilikuwa tofauti katika ubunge wa mbeya vijijini. MBALIZI NI ngome ya chadema kama ilivyo mwanjelwa na mbeya town yote.
 
changes 2015 -- kanda zitakazohakikisha mabadiliko yanatokea katika historia ya nchi hii ni
1. Kanda ya Ziwa ( Mwanza, Bukoba,Shyinga - ongezea na kigoma)
2. Kanda ya Kaskazini (Moshi, Arusha na Hanang)
3. Kanda ya Kusini ( Mbeya, Iringa, Ruvuma)

Chadema sukumeni mlevi.....:lol:
 
jk,hizza tambwe na wasira akili zao zinafanana,hope mwalimu wao alikuwa mmoja!!!!, huwez ukamkubali jk kama rais wako kutoka moyon
 
Kwakweli watu wa Mbeya mnanitia moyo sana kwa ujasiri na uvumilivu. kilichonifurahisha kwenye mkutano kunamchanganyiko wa makundi yote nimeona wazee wengi na wakina mama. Viva Slaa Viva chadema.
 
Watu wa Dar na wa kwenye keyboard ni masharobaro hii kitu hawawezi

Dar es salaam itakuwa ya CCM MILELE:nerd:
Safi sana! ila mafuriko yakiwakumba CCM kwa vile inawapenda sana supporters wake inawapa milioni 4 tuu, na wale ambao supporters wake wako Mbeya zaidi na wana ruzuku ndogo sana wao wanawapa milioni 25.
Kweli CCM kiboko yao. Acha tuu Dsm iwe ya CCM milele, wenye macho wamezinduka!

 
Watu wa Mbeya nawakubali sana na mvua yote hiyo,hii nchi inaongozwa na JK lakini watu wanamtambua Dr. Slaa kama Rais,safi sana CHADEMA for life.
 
Mkuu nilivyosoma hilo bango KARIBU RAIS WA WATU UJISIKIE UPO IKULU YA NYUMBANI limenigusa sana napenda sana huyu jamaa kama angekuwa rais wa hii nchi kwa sasa 2ngekuwa kwenye hali ya kuridhisha sana.

Tungekuwa na afya nzuri sana,kwa sasa tumepauka kama vipande vya muhogo kwa sababu ya baba rizi,Dr Slaa ndio Rais wa mioyo yetu.
 
Hivi kwanini Jk. anajiita Rais wakati watu hawampendi? Siiku alipokuwa na M7 pale UDSM wanachuo walipompa ujumbe wake, hadi leo anahangaika kulipiza kisasi kwa kuwafukuza wanachuo. Utawafukuza wangapi baba? Hata sisi wengine huku uraiani hatukupendi, utatufanyaje? Jk kama watu hawakupendi kwanini unahangaika kukaa Ikulu? Mawaziri wako wanazomewa lakini wameng'ang'a tu kama vile hakuna maisha mengine bila kuwa katika CCM.
 
Ukipenda haina haja haja ya kupewa sukari,kanga,pilau...chadema naamin mmejipanga vizury mwaka huu
 
Hii safi sana Mbeya kwa kutuunga mkono. Baraka zote za Bwana ziwakalie milele. Amina!!!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom