Kasi ya CCM kuchukua mali za Umma Mbeya Mjini inatia mashaka na kuleta taharuki kwa Wananchi

barnabas masoko

JF-Expert Member
Aug 8, 2016
1,298
656
Mbeya mjini kwa Sasa Kuna ligi kubwa Sana ya kutwaa maeneo ya umma kama masoko na viwanja vingi
Soko la mabatini lishachukuliwa kwamba ni Mali yao soko ambalo kimsingi mi eneo lililotolewa na WANANCHI kwa ajili ya maendeleo yao.

Soko la ikuti ccm imelichukua na kutamgaziwa kuwa ni Mali yao na kesi ilikuwepo mahakamani na Sasa wameshinda na wanakabiziwa soko.

Eneo lililokuwa maonyesho ya sabasaba mkoani mbeya pamoja na mhakama ya ardhi ccm wamechukua na kutangaza ni Mali yao.

KASI hii ya utwaaji wa maeneo ya umma imekuwa ya Kasi Sana kiasi inatia MASHAKA sana kwa Nini kesi hizi zilikuwa za Siri Siri muda wote na WANANCHI hawakuambiwa lolote mpka siku ya makabidhiano.

CCM imepola maeneo mengi Sana am ayo kimsingi wameshinda mpka kuyaendeleza mfano mzuri shule ya sekondari ya meta mpka sasa inachungulia kaburi.

Nini kilichopo nyuma kwenye uporaji huu unaofanywa na ccm
 
Back
Top Bottom