Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

suburi hapo hapo mkuu mambo bado kidogo

poa wacha niendelee kusikilizia, isipokua ntamind sana, nilikua mbali sana, na nlikua napiga hisabati za kuangalizia mpira hukohuko, nilichochungualia JF na kuona hili bandiko basi fasta nikaeuka home, for this reason my wife loves JF
 
Tulisha wazoea na mkwara yao ya kilodilofa, muulize slaa amesahau siku ile alivyowadanganya Wana Arusha wakeshe kushikiza Lema Atolewe Jela najua anakumbuka yaliyomkuta baada ya kuchezea kichapo kikali pamoja na kujificha chini ya Meza huku Kamanda wake Mbowe akikimbilia Hai na Lema wao kueendelea kusoteshwa Jela kubeba Mtondoo kwa wiki nzima; Chezea Dola wewe jaribuni muone
Hata Gadaffi alikuwa anasema hivyo hivyo kuwa panya hawawezi matokeo yake yeye ndiye akatolewa kwenye mtaro wa maji ya chooni.

images
 
Nassari amesamaliza kuhutubia na mkutano unahamia Tengeru.
Naona Watu wameanza kupanda kwenye Costa I hope mnahama nao hao hao tena, Chadema bwana hamuoni mnapoteza resource na nguvu zenu bure kwani hao watu cwamesikia hoja na sera zenu kwenye mkutano wenu hapo iweje tena mhame nao?
 
IQ yako ni below 20. Because you are a blockhead let me ignore you completely.
 
Naona Watu wameanza kupanda kwenye Costa I hope mnahama nao hao hao tena, Chadema bwana hamuoni mnapoteza resource na nguvu zenu bure kwani hao watu cwamesikia hoja na sera zenu kwenye mkutano wenu hapo iweje tena mhame nao?
umati ulioko hapa tengeru ni mafuriko, wewe kama ni magamba njoo hapa ushuhudie, ccm kwisa habari yake
 
Naona Watu wameanza kupanda kwenye Costa I hope mnahama nao hao hao tena, Chadema bwana hamuoni mnapoteza resource na nguvu zenu bure kwani hao watu cwamesikia hoja na sera zenu kwenye mkutano wenu hapo iweje tena mhame nao?

You are a mere Prostititute,how can you be in two places at one time?
 
Mkakati wetu ni ushindi wa kishindo na methology zetu za ushindi hazizuiliki hivyo kesho mapemaa 4 usiku Sioi anatangazwa mshindi na tarehe 10/4/12 anaapishwa rasmi
Kweli mngeshinda kama yale masanduku yangefanikiwa kuingia.
 
Bucho,
Mi naomba tu unikumbushe: Bangi ikiota inakuwa na rangi ganiiiiiiiiiiiiiiii???????????

kwakweli mimi siijui bangi ina rangi gani kwasababu mi simtumiaji . embu niambie wewe maana inaelekea unatumia ndio maana unaijua. naona paka avatar yako inaonyesha wewe nimtumiaji mzuri sana.
avatar43471_3.gif
 
You are a mere Prostititute,how can you be in two places at one time?
Mkuu kaanzisha thread toka saa 11 asubuhi anasema eti tayari watu 10,000 wameshajaa King'ori kumsubiri Sioi kaona members wamempuuza anakuja kufanya fujo huku.
 
Aisee haijawahi kutokea watu ni wengi sana hapa Tengeru yaani kweli kifo cha CCM kifo chake kimefika haaaaah.
 
Back
Top Bottom