Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Chama cha Magamba-Lowasa
Chama cha Makahaba-Malima
Chama Cha Matusi-Lusinde
Chama cha Mashoga-Sioi
Chama cha Mauaji-Songea ,Arusha na Mbeya

Endeleeni
 
mkuu photo plizi, hata kamoya yuu vile!! inakuaga byee sana!
 
yametimia-mazishi ya ccm yanafanyikia patandi.watu ni wengi ajabu!!
Wameru wameshuka kutoka milimani kumsikiliza 'mtoto wa mchungaji'
nguvu ya umma imenena.
 
jamani, hata wa uchaguzi wa madiwani mwanza wamewashinda, wanawekaga maphoto, na uchaguzi wa Ubunge uliosheni wazito hata kaphoto jamani.... da!! hawa CDM vipi jamani, tunapiga kelele kila uchao uuuwiiii!!! kiruuuuu!!
 
CDM katika kuhitimisha kampeni wanafanya mkutano tengeru........kwa kifupi uwanja wa patandi umetapika mbaya chopa imeondoka makamanda wameshaanza makamuzi.watu ni wengi na wanaendelea kumiminika kutokea pande mbali mbali.
Mytake.mkutano ukimalizika kutakuwa na foleni ya kufanya wanausalama inabidi wawemakini kuepusha maafaa.
Viva CDM.tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu
Picha za mkutano huu stay tune...
 
Chama cha Magamba-Lowasa
Chama cha Makahaba-Malima
Chama Cha Matusi-Lusinde
Chama cha Mashoga-Sioi
Chama cha Mauaji-Songea ,Arusha na Mbeya

Endeleeni



matumizi ya mihadarati hayaruhusiwi hapa . labda kama chama chenu kinaruhusu .
 
Back
Top Bottom