Mikopo ya kausha damu ipo mtaani, tuwe makini

Hata kwenye simu kausha damu ipo.
Simu yenye Ram 1G na storage 8Gb ambayo kwa cash haifiki hata laki moja na nusu lkn kwa mkopo unainunua laki 3 na 50 mpk laki 4.
hahaaaaaaaaaaaa nasemaje u ll rcv double double u entering n nxty level..mke wangu alipokea haya maombi usiku mmoja gafla nxtywk akaja na samsung kadai kakopa goti hahaa amelipa 70 kkwanza analipa 30k kila mwezi...kha kwenda kuulizia bei ya simu mkuu aiseee ..kumwonyesha bei niliscreenshort hivi sasa anajuata namtaniaga rcv double double ila usilete kausha damu tu
 
Inabidi uendelee kumuomba Mungu maisha yako yawe hivyo hivyo.

Maisha huwa yanabadilika na huwa yanachapa viboko na kuunguza km moto. Usiombe yakukute
Kweli naomba Mungu yaendelee kuwa hivi na zaidi ya hivi.
Na kama ikitokea nikahitaji mkopo basi sitahitaji mikopo ya aina hiyo ya kausha damu. Nitachukua ya aina nyingine inayoeleweka.
 
Unapewa mkopo leo na marejesho ya kila siku yanaanza kesho yake lakini mtu anakopa kwa ujasiri ili akawatunze mafriji wapwa wake. Unategemea nini kitatokea na mtu hana dhamana zaidi ya vitu vyakt vya ndani
 
Ni hatari sana. Siku moja atembelee wodi za wagonjwa wa Ukimwi ndiyo atajua kuwa kulinda afya ni muhimu sana
sana mpendwa mi zaman nilikuwa sana mfwasiwa cndm kwa sasa hata hao nanii sitakikuwasikia namtaniagamke umenitengeneza kweli .....yaan naogopa kama kibena
 
Nilikopa, siku niliyolipa nililipa deni na riba ya asilimia 40, si wakaanza kupiga simu wanadai riba iliyobaki.....nikawaambia mshukuru nimewalipa....nikawablock.

Ila Wana mikwara.
 
Wadada wa uswahilini ndo waathirika wakubwa wa hizi kausha damu. Unakuta mdada anakopa ili akamtunze shoga yake kwenye kitchen party yake, wakati huo hana biashara wala chanzo chochote cha kiuchumi unakuta anategemea hela atakazopata kwa mabwana zake ambazo sio uhakika. Kinachoponza hawa waathirika wa hii mikopo ni tamaa na kutokuwa na elimu toshelezi.
 
kuna mmoja nimeona fb juzi unalipwa masaa 24 hahuitaji dhamana nkawacheki he wanataka nitume 25k ya kujiunga si unikate huko...akagoma.... nkawaza waleeee wanataka kurudisha hela zaooo..nkazima simu nkatoa betri kama masaa mawili nkarudisha nkasema ahsante mola nimekoma nao sirudi tena
Umaskini unakusumbua..pole sana
 
Back
Top Bottom