Mikocheni Hakuna umeme. Giza tororo

Mikocheni Hakuna umeme. Giza tororo

Jana nimeota njagu watu wametamka kunukamata.
Ndiyo nimeota, njagu ( askari mgambo) wanataka kunukamata halafu wakaniacha.
Wanaambizana: "Yule mtoto wa Nyerere." "Yule mtoto wa Mkapa."

Ndio jambo ambalo halinipendezi.
Kwa sababu mtu kama mimi sipaswi kusumvuliwa na njagu, especially kama sijafanya kosa.
Lakini hawa walinzi wangu ,too busy enjoying themselves with their Rolls Royces.
 
1000125791.jpg
 
Ile post uliweka hapa kutoka kule facebook mbona wamefuta
 
Je huko sehemu zingine za Dar vipi?
Umeme wa Tanesco upo?

Nauliza kwa sababu isije ikawa Ile post niliyoandika sasa hivi kuhusu yule jamaa inaleta balaa
Habari, Ndugu Mteja,

Hapana. Tangazo au taarifa kuhusu kukatika kwa huduma ilitolewa kupitia mitandao yetu ya kijamii, ikiwemo makundi yetu ya WhatsApp.

Iwapo umekumbana na kukatika kwa huduma bila kuwepo kwa taarifa husika, tafadhali piga simu kupitia 180 (bure) ili kuwasiliana na Huduma kwa Wateja na kupata msaada zaidi.

Asante. ^GK
 
Back
Top Bottom