Mikoa ya kuanzia maisha

Mikoa ya kuanzia maisha

Bonge ya Point Mkuu
Seriously?..mhitimu?how can you ask this(no offense)!

Popote pale mtu anaweza kuanzia maisha, inategemeana na
-bidii katika shughuli/kazi yako,
-uchangamkiaji wa Fursa/nafasi mbalimbali(kutosubiri kuambiwa kuna nafasi fulani unaweza fanya kazi hii).

-Upatikanaji wa huduma za kijamii.

-n.k

Nasema hivi kwa sababu unaweza kwenda mikoa idhaniwayo kuwa gharama ya maisha iko chini mf. Mbeya, Singida, mikoa ya Kanda ya ziwa n.k lakini "kubweteka" na kutozingatia vitu kadhaa nilivyotaja juu(pamoja na mengine kukafanya usifanikiwe. na pia mikoa inayoogopwa kwa gharama za kimaisha mf. hapa Dar es salaam, Arusha n.k ukaiogopa lakini kwa kujua utaishie/kuchangamkia fursa zaidi kukaffanya upanue wigo wa kimaisha na kimaendeleo pia.

Swali la msingi ni unataka kujishughulisha na nini, kwa ushauri wangu bidii ya kazi(na hasa kazi zaidi ya moja) matters hapa.
 
habari wanajamii. Mimi ni mhitimu wa chuo kukuu ktk kitivo cha elimu, naomba mnipe ushauri kuhusu mikoa ya tanzania ambayo mtu anaweza kuanzia kufanya kazi na kufanikiwa kimaisha. Asanteni sana na mungu awabariki, naombeni ushauri wa kunijenga tafadharini sana ndugu zangu!
kigoma
 
Popote misha yapo mradi 2 kazi iwe na maslahi mazuri.
 
kukutajia tu mikoa sidhani kama itakussidia ila maisha ni popote ndgu we jipange tu kuyakabiri sehemu yoyote.
 
Mind u guy,maisha popote pale!kuna wa2 wapo interior lkn wanaingiza pesa ndefu kuliko hao w mjini!so income matterz than location!alaf rural areas ndo kuna investments opportunities nyng compared to urban areas!kuna wa2 wapo rukwa na katavi lkn kipato chao ucpime ungetaman uwe wew!
 
kama wewe ni mtu unaetaka maendeleo kwa kujituma, mikoa hii ni wewe kwenda, !. Rukwa, Katavi, Shinyanga na miko mipya iliyoanzishwa.
note, endapo hutoki katika moja ya mikoa hiyo.

Nashukuru kwa ujumbe mzuri kwa msomi huyo, mimi mwenyewe ni mzaliwa wa jiji la Dar, lakini ilifika hatua hapo Dar nilipaona pachungu, na wala sikutegemea maishani mwangu kama siku moja ningekuwa naishi mikoani hasa hapa nilipo mkoa wa Mara, wilwyani Tarime. lakini sasa hakuna wa kunieleza kuhusu kurudi tena bongo, kwani sasa nina uwezo wa kwenda bongo hata kwa ndege. kwa hiyo bwana nami nasisitiza kuwa maisha ni popote pale.
 
Habari wanajamii. Mimi ni mhitimu wa chuo kukuu ktk kitivo cha elimu, naomba mnipe ushauri kuhusu mikoa ya Tanzania ambayo mtu anaweza kuanzia kufanya kazi na kufanikiwa kimaisha. Asanteni sana na mungu awabariki, naombeni ushauri wa kunijenga tafadharini sana ndugu zangu!

Acha ubwege wewe..yaani bado una mawazo mgando kwa elimu yako au ulichakachua aahhhh..jokes:crazy:..Maisha unaweza ukaanzia popote ..Vitu common sense vya kuzingatia kwa kukusaidia ni..1-urahisi wa kupata huduma za kijamii kama hosptali, shule, sokoni, nyumba, roads, nyumba za ibada nk., 2-Mshahara wako unaendana na maisha halisi ya pale ulipopangiwa Mfano ukiwa unapata M1 Mpwapwa,Doms unaweza kutengeneza laki 8 kwa mwezi ukiwa alone as you compared to DSM and Atown kwasababu Mpwapwa vyakula bei chini, hosptali zko nyingi, shule zko nyingi, vyuo kibao, vyanzo vya maji vya kumwaga sio kama kimara maji ya chumvi na nyumba ni sawa na bure pango..matofali ya kuchoma 500shilingi, viwanja bei chee n.k so fanya survey kwanza ya eneo husika kwa kuzingatia hayo juu..Cheers
 
mbeya(tukuyu), iringa(wilaya ya kilolo), njombe, morogoro(kilombero) km unapenda kilimo utatoka.
 
Maisha ni kokote mdogo wangu,mimi nilianzia ajira dar nikaenda Mtwara na sasa nipo Kagera.
Ushauri wangu ukipata ajira kokote nenda alimradi mkono uende kinywani.
 
kwa ushuri wangu anzia wilaya mpya ya katavi wewe ndio utaonekana mjanja kule maana sehemu nyingine watu wana degree tatu tatu wewe utakuwa kama makamu wa rais maana rais kule ni pinda.

Ha ha ha hah
 
Habari wanajamii. Mimi ni mhitimu wa chuo kukuu ktk kitivo cha elimu, naomba mnipe ushauri kuhusu mikoa ya Tanzania ambayo mtu anaweza kuanzia kufanya kazi na kufanikiwa kimaisha. Asanteni sana na mungu awabariki, naombeni ushauri wa kunijenga tafadharini sana ndugu zangu!

Ondoa uoga wa maisha, kwa mtindo huu hutafanikiwa popote utakapoishi. Ningekushauri uwe tayari kuishi popote. Jiamini hukuna haja ya kujijengea woga usio na maana.
 
Back
Top Bottom