Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

To be honest, Ukawa watasubiri sana, na issue siyo ukawa au ccm, issue ni yupi kiongozi bora anayefaa kuliongoza taifa letu? kwa mtazamo wangu nikiitazama ukawa sioni nani anaouwezo wa kuliongoza taifa hili?, ccm bado wapo ambao wanabusara kidogo. vijana tuliokatika vyama vya siasa tuwe na uzalendo wa kweli, wengi tunapenda maslahi yetu binafsi kuliko maslahi ya taifa, muda mwingine huwa najiuliza "Hayati Baba wa Taifa angefisadi mali zetu leo tungekuwa wapi?". kwa Ukawa namkubali mheshimiwa Zitto, kiukweli huyu ndo kiongozi wa mfano kwetu vijana tunaopenda siasa na hasa nchi yetu.
 
Subirini uchaguzi wa serikali za mitaa ndio mtaona Kama UKAWA wanakubalika au wanafutika katika ramani!

Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa litakuwa fundisho lililo dhahiri kabisa kwenu napo ndipo mtaelewa CCM ni zaidi ya chama

Subirini tuwanyoe magamba nyie
 
To be honest, Ukawa watasubiri sana, na issue siyo ukawa au ccm, issue ni yupi kiongozi bora anayefaa kuliongoza taifa letu? kwa mtazamo wangu nikiitazama ukawa sioni nani anaouwezo wa kuliongoza taifa hili?, ccm bado wapo ambao wanabusara kidogo. vijana tuliokatika vyama vya siasa tuwe na uzalendo wa kweli, wengi tunapenda maslahi yetu binafsi kuliko maslahi ya taifa, muda mwingine huwa najiuliza "Hayati Baba wa Taifa angefisadi mali zetu leo tungekuwa wapi?". kwa Ukawa namkubali mheshimiwa Zitto, kiukweli huyu ndo kiongozi wa mfano kwetu vijana tunaopenda siasa na hasa nchi yetu.

Huyo Zitto yupo ukawa ipi?
 
CHADEMA ina wafuasi wengi kwenye hiyo miji SABABU target market yao ni

1.Watu wa Kilimanjaro na familia zao walioko miji hiyo ndio maana si ajabu kukuta mchaga mbunge kwenye miji ambako si kilimanjaro.Sehemu hiyo inakuwa na wachaga wafanyabiashara wengi na familia zao
2.Kidini supporters wao wengi ni walutheri na wapentecoste
3.Wahamiaji haramu pia wako wengi wenye uraia wa mashaka ambao hupenda kujichimbia CHADEMA

Ukitaka kujua mji gani utakuwa na CHADEMA wengi angalia hizo factor Tatu kila mji.Ndio maana ukienda mfano Zanzibar au mikoa ya kusini kama mtwara n.k hizo factor tatu hazipo na hivyo kuifanya CHADEMA iwe hoi bin taaban eneo husika.
Usidhihirishe umbumbumbu wako mbele ya hadhira..
 
Ningekuwa kiongozi wa Ukawa, ningejizamisha katika mikoa uliyotaja tu, labda pamoja na miji mikubwa kama Dar. Tuna umaskini sana wa akili huko vijijini kiasi kuwa kuna watu hawajui kuwa CCM ni janga kwao. Wanaishi maisha ya mapangoni na wanaaminishwa kuwa ndiyo maisha wanayostahili. Hatuna viongozi wanaoona uchungu watu wao wakitaabika.

Mikoa hbiyo ina mwamako wa kutosha ndiyto maan imekuwa inatoa wabunge wa upinzani miaka yote
kwa kiasi fulani
 
Back
Top Bottom