Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,682
Ningekuwa kiongozi wa Ukawa, ningejizamisha katika mikoa uliyotaja tu, labda pamoja na miji mikubwa kama Dar. Tuna umaskini sana wa akili huko vijijini kiasi kuwa kuna watu hawajui kuwa CCM ni janga kwao. Wanaishi maisha ya mapangoni na wanaaminishwa kuwa ndiyo maisha wanayostahili. Hatuna viongozi wanaoona uchungu watu wao wakitaabika.
Mikoa hbiyo ina mwamako wa kutosha ndiyto maan imekuwa inatoa wabunge wa upinzani miaka yote
kwa kiasi fulani
ni kweli kabisa swahiba, ila nina shida moja kubwa... watu wa Dar tuna furaha gani?? mbona tunashindwa kabisa kuwasaidia masikini wenye shida wanaokosa madawa, elimu, maabara nk??
Mageuzi ya kweli ni lazima yawe na ikulu yake dar
ukawa wanahitaji kuwa na special Dar strategy ya kuwafanya watu wa dar kuelewa upinzani ni nini