Nyunyu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2009
- 4,354
- 1,013
ni kweli kabisa swahiba, ila nina shida moja kubwa... watu wa Dar tuna furaha gani?? mbona tunashindwa kabisa kuwasaidia masikini wenye shida wanaokosa madawa, elimu, maabara nk??
Mageuzi ya kweli ni lazima yawe na ikulu yake dar
ukawa wanahitaji kuwa na special Dar strategy ya kuwafanya watu wa dar kuelewa upinzani ni nini
Mkuu Janjaweed tatizo la Dar watu hawapigi kura kabisaaaa....
Jana niliamua kufuatilia hili, watu wengi tu wapikuwa busy kutafuta mechi za EPL kuliko kupiga kura. Mwingine nilimuuliza akasema, haimsaidii kitu...tatizo la uelewa ni shida, tena inasikitisha ni wasomi...
Last edited by a moderator: