Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

Jamani watu wa iringa tuondoleeni lukuvi.. Na watu wa Bunda tuondoleeni Wasira. Hawa watu wako tayari waue Watanzania wote ili kutetea uovu wa CCM na serikali yake.

Mwigulu naona yeye kajirekebisha kidogo.

Watu wa bariadi tuondoleeni chenge, siku tutakuja kuskia kaiuza ikulu.
 
East African Eagle

im so sorry for you, hivi ccm bila ubaguzi wa kikanda, kimipaka, kidini, kirangi nk hamuwezi shinda uchaguzi?
hii sumu mnayomwaga itakuja kuwatafuna wenyewe, lakini nina was was kama una akili kuzidi ya n.g. urwe.... ubaguzi is the best u could have commented in this post...just go on figure...
 
Last edited by a moderator:
Hiyo mikoa uliyotaja ni ya mipakani TANZANIA inakopakana na nchi zingine imejaa wahamiaji haramu wengi wanaojitia kujiingiza na kupenyeza itikadi zao za kimaruhuni kisiasa kupitia upinzani hasa CHADEMA.Yaani CHADEMA ni kisemeo cha wahamiaji wa nje na mataifa maruhuni ya nje.
Inaeleweka ni kwa nini CHADEMA inapendwa na kufadhiliwa hasa na Baadhi ya watu wanaokaa kwenye hiyo mkoa ya mipakani.

Na ndio maana Hata SLAA kiongozi wa CHADEMA alipinga sana Tanzania isiende kuwachapa M23 na isiwavurumishe wahamiaji haramu.
Freeman Mbowe alishawahi tamka kuwa nchi haitatawalika akijivunia hao wahamiaji haramu wakaao katika hiyo mikoa uliyotaja.Kipigo kwa M23 kilimfanya aufyate na aanze angalau kufikiria kutumia siasa za kistaarabu yeye na babu yake SLAA.Pigo kwa M23 lilikuwa pigo direct kwa CHADEMA na sera zao za kusema nchi haitatawalika.Pamoja na mbinu zingine ambazo CHADEMA imejaribu nchi isitawalike za kisiasa na kimaruhuni lakini TAI WA TANZANIA HAWALALI KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA SALAMA NA INATAWALIKA NA WANANCHI WANAISHI KWA AMANI NA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA

Hiyo mikoa mingine uliyoitaja kuwa imelala kisiasa kwa kutounga mkono upinzani kwenye kura ikiwemo DAR ES SALAAM ni mikoa ya watanzania halisi wazawa wenyewe ambao Hakuna mhamiaji haramu aweza wanunua wala kuwalisha itikadi zao za kipuuzi .
CHADEMA ni chama mwakilishi wa maslahi ya wageni wakiwemo waliotutawala wajerumani na waingereza kama kilivyo chama cha MDC cha Morgan Tsivangirai cha kule Zimbabwe.

Wahamiaji haramu wamejazana ndani ya ccm wakiongozwa na
1:Kinana 2:Rostam 3:Bashe 4:Rage 5:Abood 6:Nchambi 7:Jitu son 8:Kigwangala 9:Murji 10:Zungu
Kwa uchache hawa ndo wandamizi wa chama.
 
Wahamiaji haramu wamejazana ndani ya ccm wakiongozwa na
1:Kinana 2:Rostam 3:Bashe 4:Rage 5:Abood 6:Nchambi 7:Jitu son 8:Kigwangala 9:Murji 10:Zungu
Kwa uchache hawa ndo wandamizi wa chama.

Uliowataja ni wahamiaji halali nafikiri unachanganya huelewi tofauti ya halali na haramu
 
Miji yote mikubwa imeikataa CCM, MWANZA MOSHI,ARUSHA,MBEYA,MUSOMA,BUKOBA , SHINYANGA,DAR( MASAKI,OSTERBAY,KAWE,MBEZI BEACH,MAKONGO,MSASANI,MWENGE,UBUNGO)labda majimbo ya "wazawa", kwa nini CCM inakubalika vijijini ambako ndo kuna hali mbaya sana ya maisha au ujinga ndio mtaji wake? Tulittegemea watanzania namba moja waishio Masaki Ostrbay Mbezi beach, makongo nk ndi wangichagua CCM. lamini wameikataa na kuchagua CHADEMA ,tafakari hili
 
Ukifanya tafiti ndogo tu hapa inchini kuelekea General election 2015
Harakati za kisiasa na mwamko kwa wanainchi wake kudai mabadiliko mikoa ifuatayo kuiongoza Tanzania kwenda kubadili system nzima ya CCM escrow.
Makamanda hawajasinzia kama mikoa mingine, wamewahi kutuonyesha huko nyuma kwamba hawaogopi mapambano ya kisiasa kudai mabadiliko, wamewahi kuchukua mamlaka saa nyingine kwa mapambano makali na wakashinda, hawaishiwi umoja na mshikamano katika kudai haki.
Mikoa hii imekuwa chachu kubwa hata kwa vyama vya upinzani kueneza siasa yake hadi vijijini.
Sasa naitaja
1.Arusha
2.Mwanza
3.Shinyanga
4.Mara
5.kigoma
6.Rukwa
7.Mbeya
8.Kilimanjaro
9.Kagera
DAR ES SALAAM bado wanakula kwanza miguu ya kuku na kahawa plus simba na yanga.
Karibu wadau kwa maoni, mapendekezo na marekebisho.
Pia ushauri wapi UKAWA waongeze nguvu kukaribisha ushindi mapema 2015.

Kigoma siyo ya kuweka namba 5, anza nayo moja kwa kuwa ndio mkoa pekee nchini wenye wabunge wengi wa upinzani na vijana. Kuuweka namba tano ni kuukosea heshima.
 
Wahamiaji haramu wamejazana ndani ya ccm wakiongozwa na
1:Kinana 2:Rostam 3:Bashe 4:Rage 5:Abood 6:Nchambi 7:Jitu son 8:Kigwangala 9:Murji 10:Zungu
Kwa uchache hawa ndo wandamizi wa chama.

Wewe ni mwehu sasa, milembe ni sehemu ya makazi yako ya kudumu
 
kHE! Mwinyi anatoka mkoa wa pwani? na ilikuwaje awe Rais wa Zanzibar wakati si Mzanzibar na Mkoa wa Mtwara(Mkapa,) ni miongoni mwa mikoa ya pwani? Kweli waliosema tanzania ni mojawapo ya nchi ambazo wananchi wake wana IQ ndogo sasa naanza kuwaamini

acha upumbavu bavicha wewe iq yko ndogo mpk unashndwa kutofautisha pwani na mkoa wa pwani,mkoa wa pwani ni ule unaopakana na dar ila pwani ni sehemu yote ya pwani ya tanzania sasa usichoelewa nini?au neno pwani hulijui maana yake?kwa kukusaidia ni kwamba pwani ni sehemu yote iliyopakana na bahari sasa kwa tz ni mikoa yote ya znz,na mikoa ya tanga,pwani,dar,lindi na mtwara sasa unashangaaje mwinyi kuwa rais wa znz na ni mtu wa pwani sasa nashndwa kujua uelewa wako uko na udhaifu kiasi gani,ukute ww ndie mwenyekiti wa chadema mkoa,mwenyekiti taifa form six failure,wenyeviti wa mikoa ndo km ww hvyo then mnataka nchi thubutu!
 
Kwa mara yakwanza nimestaajabu ccm kukosa wawakilishi ktk ngazi ya wenyeviti sumbawanga mjini...chaguzi zijazo ukawa 16 wamepita bila kupingwa...kweli ccm kinaelekea kubaya...
 
The General Report on Population Distribution by Administrative Units is the first of a series of publications planned for the 2012 PHC. The main purpose of the report is to give aggregated totals of population by sex. The report also provide number of households, average household size, population densities, average annual inter-censal growth rates and sex ratios. Levels of aggregation are national, regional, district council and ward/shehia.

The 2012 PHC revealed that, the population of Tanzania has grown from 12,313,469 persons in the 1967 Census to 44,928,923 persons counted in 2012. Dar es Salaam accounts for 10 percent of the total Tanzania Mainland population
Click here to Download Population Distribution by Administrative Units report. (file size is 5.7MB)

So what? Does this refute the given analysis?
 
Jeshi linaundwa kulinda nchi dhidi ya maadui wa nchi, polisi kulinda raia na mali zao. Ukiona jeshi linapiga wananchi ujue adui wa serikali amegeuka kuwa mwananchi. Hali hiyo inaonesha kuwa karibia kabisa ukombozi maana jeshi likishindwa kupiga wananchi ambao ni ndugu zao, basi utawala dharimu huanguka pwaaaaa
 
Hongera Mkuu Kwa Kunikumbusha Kuwa Hata Ubungo Na Kawe Pia Ni Kilimanjaro/arusha,nilikuwa Sijui Kuwa Dar Hakuna Kabisa Upinzani/chadema,ila Kumbuka Kuwa Huko Kisarawe Uliko Bado Hapajawa Dar,huko Ni Vichakani Kabisa,fanya Tathmini Kidogo Na Utagundua Kuwa Mahali Popote Penye Watu Wenye Akili Timamu Na Elimu Ya Kutosha Upinzani Hushamiri,mfano Mkoa Wa Pwani Ambao Ni Wa Mwisho Kwa Kila Kitu Kuanzia Elimu Mpaka Uchumi Ndiyo Namba Moja Kuishabia Ccm Shtuka.

kawe na ubungo sio kaskazini ila mumejazana huko munauza mbege na kutuharibia ustaarabu wetu silka zetu na utamaduni wetu hata lugha yetu km watu wa pwani,then usifkirie ukija dar na ukifikia huko kisarawe unafikiri watu wote wanaishi huko,yaguju,mm naishi wilaya ya kinondoni jimbo la Azzan,nenda kauze mbege huko ubungo utumie pesa wazee kijijini kwenu au unamsubiri mnyika umsujudie?
 
wamakonde nao ni CDM maana wako mpakani .Mnapowachapa watu wa tunduma na mtwara mnachapa wahamiaji haramu au?
 
Hiyo mikoa uliyotaja ni ya mipakani TANZANIA inakopakana na nchi zingine imejaa wahamiaji haramu wengi wanaojitia kujiingiza na kupenyeza itikadi zao za kimaruhuni kisiasa kupitia upinzani hasa CHADEMA.Yaani CHADEMA ni kisemeo cha wahamiaji wa nje na mataifa maruhuni ya nje.
Inaeleweka ni kwa nini CHADEMA inapendwa na kufadhiliwa hasa na Baadhi ya watu wanaokaa kwenye hiyo mkoa ya mipakani.

Na ndio maana Hata SLAA kiongozi wa CHADEMA alipinga sana Tanzania isiende kuwachapa M23 na isiwavurumishe wahamiaji haramu.
Freeman Mbowe alishawahi tamka kuwa nchi haitatawalika akijivunia hao wahamiaji haramu wakaao katika hiyo mikoa uliyotaja.Kipigo kwa M23 kilimfanya aufyate na aanze angalau kufikiria kutumia siasa za kistaarabu yeye na babu yake SLAA.Pigo kwa M23 lilikuwa pigo direct kwa CHADEMA na sera zao za kusema nchi haitatawalika.Pamoja na mbinu zingine ambazo CHADEMA imejaribu nchi isitawalike za kisiasa na kimaruhuni lakini TAI WA TANZANIA HAWALALI KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA SALAMA NA INATAWALIKA NA WANANCHI WANAISHI KWA AMANI NA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA

Hiyo mikoa mingine uliyoitaja kuwa imelala kisiasa kwa kutounga mkono upinzani kwenye kura ikiwemo DAR ES SALAAM ni mikoa ya watanzania halisi wazawa wenyewe ambao Hakuna mhamiaji haramu aweza wanunua wala kuwalisha itikadi zao za kipuuzi .
CHADEMA ni chama mwakilishi wa maslahi ya wageni wakiwemo waliotutawala wajerumani na waingereza kama kilivyo chama cha MDC cha Morgan Tsivangirai cha kule Zimbabwe.

You must be sick ........................... with your poor propaganda. Nani alikwambia kuwa Msukuma, Muhaya au Mnyakyusa akienda Dar anabadilika!!??
 
Hivi hao wote wa mikoa hiyo wanajiandikisha...? Pia ujue mwamko mkubwa upo mijini lakini si vijijini kabisa....
 
You must be sick ........................... with your poor propaganda. Nani alikwambia kuwa Msukuma, Muhaya au Mnyakyusa akienda Dar anabadilika!!??

Wote wanabadilika
1.Lugha: Wakifika DAR wanaongea KIswahili zaidi kuliko kikwao
2.Mavazi: Nguo wanazovaa dar si zile za kule kwao
3.Nyumba: Wanajenga nyumba nzuri zaidi DAR kuliko kwao
4.POMBE: Wanakunywa zaidi za kizungu na za breweries kuliko za kule kwao
5.KUOGA: Dar wanaoga zaidi na wanakuwa wasafi zaidi kuliko wakiwa kwao
6.UJUAJI: Wakifika DAR ujuaji wao wote unaisha sababu wanakumbana na wajuaji waliowazidwa makabila mbali mbali.Kwa hiyo wakifika Dar wanakuwa wapole na wasikivu kuliko wakiwa kwao ila wanakuwa wajuaji tu kwa watu wa kwao na wasiowajua.

Hayo ni baadhi tu yako mengine kibao
 
That's why I said you must be sick ..............................!!
 
That's why I said you must be sick ..............................!!

Nilisahau pointi moja kuwa wakifika dar hayo makabila uliyoyataja huwa wanajifanya wamesau kilugha na kiswahili .Hivyo huwa wanapenda kuongea kiingereza hata uwaongeleshe kiswahili iwe mitaani au kwenye JAMIIFORUMS.
 
Miji yote mikubwa imeikataa CCM, MWANZA MOSHI,ARUSHA,MBEYA,MUSOMA,BUKOBA , SHINYANGA,DAR( MASAKI,OSTERBAY,KAWE,MBEZI BEACH,MAKONGO,MSASANI,MWENGE,UBUNGO)labda majimbo ya "wazawa", kwa nini CCM inakubalika vijijini ambako ndo kuna hali mbaya sana ya maisha au ujinga ndio mtaji wake? Tulittegemea watanzania namba moja waishio Masaki Ostrbay Mbezi beach, makongo nk ndi wangichagua CCM. lamini wameikataa na kuchagua CHADEMA ,tafakari hili

Kwanza watu wanaokaa miji mikibwa wanaelewa hali halisi ya maisha na mzunguko mzima wa unyang'au unaofanywa na Ccm ...
Ukiona mtu awae yoyote yule anaisapport Ccm kunavitu vifuatavyo...
Kwanza kabisa eidha wanauza madawa ya kulevya
Au walimdhulumu muhusika mkuu mwenye nyumba yake pale mjini na Kesi ikafanyiwa ujanja ujanja muhusika mkuu akapoteza haki zake..
Au kunamaslai flani wanayoyapata kwenye chama kwa mfano Mzazi wako kufanya kazi chamani..
Baaaasi apo utakiunga mkono chama pinzani ili ujifunike nacho kwa maslai yako tofauti na hapo uwezi kukisapport hichi chama kamweeee
 
Back
Top Bottom