Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

ukifanya tafiti ndogo tu hapa inchini kuelekea general election 2015
harakati za kisiasa na mwamko kwa wanainchi wake kudai mabadiliko mikoa ifuatayo kuiongoza tanzania kwenda kubadili system nzima ya ccm escrow.
Makamanda hawajasinzia kama mikoa mingine, wamewahi kutuonyesha huko nyuma kwamba hawaogopi mapambano ya kisiasa kudai mabadiliko, wamewahi kuchukua mamlaka saa nyingine kwa mapambano makali na wakashinda, hawaishiwi umoja na mshikamano katika kudai haki.
Mikoa hii imekuwa chachu kubwa hata kwa vyama vya upinzani kueneza siasa yake hadi vijijini.
Sasa naitaja
1.arusha
2.mwanza
3.shinyanga
4.mara
5.kigoma
6.rukwa
7.mbeya
8.kilimanjaro
9.kagera
dar es salaam bado wanakula kwanza miguu ya kuku na kahawa plus simba na yanga.
Karibu wadau kwa maoni, mapendekezo na marekebisho.
Pia ushauri wapi ukawa waongeze nguvu kukaribisha ushindi mapema 2015.
mtwara ni tossed region hivyo ukawa waende huko...uko sahihi kabisa
 
Dar itawashangaza sana kwa upinzani kupata kura nyingi sana
Ukifanya tafiti ndogo tu hapa inchini kuelekea General election 2015
Harakati za kisiasa na mwamko kwa wanainchi wake kudai mabadiliko mikoa ifuatayo kuiongoza Tanzania kwenda kubadili system nzima ya CCM escrow.
Makamanda hawajasinzia kama mikoa mingine, wamewahi kutuonyesha huko nyuma kwamba hawaogopi mapambano ya kisiasa kudai mabadiliko, wamewahi kuchukua mamlaka saa nyingine kwa mapambano makali na wakashinda, hawaishiwi umoja na mshikamano katika kudai haki.
Mikoa hii imekuwa chachu kubwa hata kwa vyama vya upinzani kueneza siasa yake hadi vijijini.
Sasa naitaja
1.Arusha
2.Mwanza
3.Shinyanga
4.Mara
5.kigoma
6.Rukwa
7.Mbeya
8.Kilimanjaro
9.Kagera
DAR ES SALAAM bado wanakula kwanza miguu ya kuku na kahawa plus simba na yanga.
Karibu wadau kwa maoni, mapendekezo na marekebisho.
Pia ushauri wapi UKAWA waongeze nguvu kukaribisha ushindi mapema 2015.
MTWARA NI TOSSED REGION HIVYO UKAWA WAENDE HUKO...UKO SAHIHI KABISA
 
Kwanza watu wanaokaa miji mikibwa wanaelewa hali halisi ya maisha na mzunguko mzima wa unyang'au unaofanywa na Ccm ...

CHADEMA ina wafuasi wengi kwenye hiyo miji SABABU target market yao ni

1.Watu wa Kilimanjaro na familia zao walioko miji hiyo ndio maana si ajabu kukuta mchaga mbunge kwenye miji ambako si kilimanjaro.Sehemu hiyo inakuwa na wachaga wafanyabiashara wengi na familia zao
2.Kidini supporters wao wengi ni walutheri na wapentecoste
3.Wahamiaji haramu pia wako wengi wenye uraia wa mashaka ambao hupenda kujichimbia CHADEMA

Ukitaka kujua mji gani utakuwa na CHADEMA wengi angalia hizo factor Tatu kila mji.Ndio maana ukienda mfano Zanzibar au mikoa ya kusini kama mtwara n.k hizo factor tatu hazipo na hivyo kuifanya CHADEMA iwe hoi bin taaban eneo husika.
 
Ukifanya tafiti ndogo tu hapa inchini kuelekea General election 2015
Harakati za kisiasa na mwamko kwa wanainchi wake kudai mabadiliko mikoa ifuatayo kuiongoza Tanzania kwenda kubadili system nzima ya CCM escrow.
Makamanda hawajasinzia kama mikoa mingine, wamewahi kutuonyesha huko nyuma kwamba hawaogopi mapambano ya kisiasa kudai mabadiliko, wamewahi kuchukua mamlaka saa nyingine kwa mapambano makali na wakashinda, hawaishiwi umoja na mshikamano katika kudai haki.
Mikoa hii imekuwa chachu kubwa hata kwa vyama vya upinzani kueneza siasa yake hadi vijijini.
Sasa naitaja
1.Arusha
2.Mwanza
3.Shinyanga
4.Mara
5.kigoma
6.Rukwa
7.Mbeya
8.Kilimanjaro
9.Kagera
DAR ES SALAAM bado wanakula kwanza miguu ya kuku na kahawa plus simba na yanga.
Karibu wadau kwa maoni, mapendekezo na marekebisho.
Pia ushauri wapi UKAWA waongeze nguvu kukaribisha ushindi mapema 2015.

Mhonzuyadilu= unyevunyevu wa asubuhi...hahaaaa. Utafiti wako umetumia sampuli IPI? Kwa vigezo VP?
 
Hiyo mikoa uliyotaja ni ya mipakani TANZANIA inakopakana na nchi zingine imejaa wahamiaji haramu wengi wanaojitia kujiingiza na kupenyeza itikadi zao za kimaruhuni kisiasa kupitia upinzani hasa CHADEMA.Yaani CHADEMA ni kisemeo cha wahamiaji wa nje na mataifa maruhuni ya nje.
Inaeleweka ni kwa nini CHADEMA inapendwa na kufadhiliwa hasa na Baadhi ya watu wanaokaa kwenye hiyo mkoa ya mipakani.

Na ndio maana Hata SLAA kiongozi wa CHADEMA alipinga sana Tanzania isiende kuwachapa M23 na isiwavurumishe wahamiaji haramu.
Freeman Mbowe alishawahi tamka kuwa nchi haitatawalika akijivunia hao wahamiaji haramu wakaao katika hiyo mikoa uliyotaja.Kipigo kwa M23 kilimfanya aufyate na aanze angalau kufikiria kutumia siasa za kistaarabu yeye na babu yake SLAA.Pigo kwa M23 lilikuwa pigo direct kwa CHADEMA na sera zao za kusema nchi haitatawalika.Pamoja na mbinu zingine ambazo CHADEMA imejaribu nchi isitawalike za kisiasa na kimaruhuni lakini TAI WA TANZANIA HAWALALI KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA SALAMA NA INATAWALIKA NA WANANCHI WANAISHI KWA AMANI NA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA

Hiyo mikoa mingine uliyoitaja kuwa imelala kisiasa kwa kutounga mkono upinzani kwenye kura ikiwemo DAR ES SALAAM ni mikoa ya watanzania halisi wazawa wenyewe ambao Hakuna mhamiaji haramu aweza wanunua wala kuwalisha itikadi zao za kipuuzi .
CHADEMA ni chama mwakilishi wa maslahi ya wageni wakiwemo waliotutawala wajerumani na waingereza kama kilivyo chama cha MDC cha Morgan Tsivangirai cha kule Zimbabwe.

wahamiaji wapo hata usalama wa Taifa ,Kanali Sorumba aliyekimbia Jeshini,unashangaa wapiga kura wahamiaji,Hongera kwa kuchagua ujinga mkuu!
 
Huyo naye mwehu alienda kujiweka katikati ya mamba.Ona sasa kaishia kukimbia na maisha yake yote atakuwa anaishi kwa kukimbia kama ndugu zake M23 aliojitia kuwa mzalendo wao. Hata chakula atakuwa anapelekewa chooni! Usiku atakuwa anaweweseka Watanzania hao wanakuja!

Mhamiaji haramu akiwa jeshini au Usalama wa Taifa si tishio kwa Jeshi wala Usalama wa Taifa ila ninachoweza kusema huyo muhamiaji haramu anakuwa kajiweka katikati ya mamba na maisha yake kayaweka rehani bila dhamana yoyote (With no collateral)
 
Mhonzuyadilu sio mikoa bali ni miji tisa . sasa hiyo miji tisa ambako mnao washabiki tu na sio wapiga kura unategemea ati mtatung'oa madarakani....nenda wilayani katika mikoa hiyohiyo utaona wilaya nyingine tumechukua mitaa bila kupingwa na kwingine mko dhaifu... Huko kwenye hiyo miji tisa nakuhakikishia aidha tunazoa viti vyote au tunagawana viti

Yero laiser.. tawala wawa lai. Tuungane kutokomeza hawa wezi bhana.
 
CHADEMA ina wafuasi wengi kwenye hiyo miji SABABU target market yao ni

1.Watu wa Kilimanjaro na familia zao walioko miji hiyo ndio maana si ajabu kukuta mchaga mbunge kwenye miji ambako si kilimanjaro.Sehemu hiyo inakuwa na wachaga wafanyabiashara wengi na familia zao
2.Kidini supporters wao wengi ni walutheri na wapentecoste
3.Wahamiaji haramu pia wako wengi wenye uraia wa mashaka ambao hupenda kujichimbia CHADEMA

Ukitaka kujua mji gani utakuwa na CHADEMA wengi angalia hizo factor Tatu kila mji.Ndio maana ukienda mfano Zanzibar au mikoa ya kusini kama mtwara n.k hizo factor tatu hazipo na hivyo kuifanya CHADEMA iwe hoi bin taaban eneo husika.

Hakikisha anamkatikia kiuno hadi afikishe goli tano! Hamu ikuishe kabisa
 
Ukifanya tafiti ndogo tu hapa inchini kuelekea General election 2015
Harakati za kisiasa na mwamko kwa wanainchi wake kudai mabadiliko mikoa ifuatayo kuiongoza Tanzania kwenda kubadili system nzima ya CCM escrow.
Makamanda hawajasinzia kama mikoa mingine, wamewahi kutuonyesha huko nyuma kwamba hawaogopi mapambano ya kisiasa kudai mabadiliko, wamewahi kuchukua mamlaka saa nyingine kwa mapambano makali na wakashinda, hawaishiwi umoja na mshikamano katika kudai haki.
Mikoa hii imekuwa chachu kubwa hata kwa vyama vya upinzani kueneza siasa yake hadi vijijini.
Sasa naitaja
1.Arusha
2.Mwanza
3.Shinyanga
4.Mara
5.kigoma
6.Rukwa
7.Mbeya
8.Kilimanjaro
9.Kagera
DAR ES SALAAM bado wanakula kwanza miguu ya kuku na kahawa plus simba na yanga.
Karibu wadau kwa maoni, mapendekezo na marekebisho.
Pia ushauri wapi UKAWA waongeze nguvu kukaribisha ushindi mapema 2015.

Mikoa ta Rukwa na Kagera inazingiziwa tu.

Vv
 
Mnajipa matumaini hewa halafu mwisho wa siku, mnakuja na porojo za kuibiwa kura!
Leo tunaadhimisha siku ya walemavu duniani - Kushabikia hicho chama ulichonacho nayo ni moja ya ulemavu na tiba yake moja kuu ni UKAWA! cc copy to FoxFaiza!
 
CHADEMA ina wafuasi wengi kwenye hiyo miji SABABU target market yao ni

1.Watu wa Kilimanjaro na familia zao walioko miji hiyo ndio maana si ajabu kukuta mchaga mbunge kwenye miji ambako si kilimanjaro.Sehemu hiyo inakuwa na wachaga wafanyabiashara wengi na familia zao
2.Kidini supporters wao wengi ni walutheri na wapentecoste
3.Wahamiaji haramu pia wako wengi wenye uraia wa mashaka ambao hupenda kujichimbia CHADEMA

Ukitaka kujua mji gani utakuwa na CHADEMA wengi angalia hizo factor Tatu kila mji.Ndio maana ukienda mfano Zanzibar au mikoa ya kusini kama mtwara n.k hizo factor tatu hazipo na hivyo kuifanya CHADEMA iwe hoi bin taaban eneo husika.

Du lazima Utakuwa mbunge wa viti maalum kupitia ccm
 
Hivi MKUU lile kundi la wakimbizi kule Tanga waliopewa uraia wa mafungu lilipewa na CHADEMA na pia wale wakimbizi waliopewa Uraia kule Kigoma nao kumbe ni watu wa Kaskazini!? . Nadhani 2014 siyo mbali sana LETS NOT COUNTS THE CHICKS BEFORE THEY HATCH ..... .

Mtu yeyote akitaka kujua nguvu ya wanamageuzi basi atake kujua nguvu ya ukweli akisha ijua nguvu na asili ya Ukweli ...ataelewa ni kwanini wale wacheza ndombolo wa Bungeni walinywea kabisa na hatukuwaona wakikata mauno baada ya Maazimio ya Bunge .

Na atatambua ni kwanini wale "wabwabwajaji " wameonekana kituko kwa jamii.Kimsingi Dar es Salaam imesinzia kwasababu wengi siyo wote waliopo hapo ni opportunist na hawana jeuri ya kuzungumza kile wanacho kiamini ,kimsingi wengi wanaongozwa na tumbo katika kutafakari na kuamua mambo " VICHWA VYAO VIKO LIKIZO NA VINATUMIKA KAMA SOCKET YA KUSHIKIZIA MACHO,MDOMO,MASIKIO NA PUA.

Changamoto zinazotoka Dar es Salaam kimsingi hazishabahiani na lundo la wasomi waliopo hapo,vyombo vya habari,idadi ya wafanya biashara inashindwa na mikoa kama Kigoma ambako hata maagazeti hayafiki.Kwa maoni yangu ni vigumu sana kwa Dar es Salaam kuwa na muamko hasa kulingana na mfumo wa maisha ambao watu wake wameuweka kwasasa "SELFISHNESS" na ujuaji mwingi kwa kila jambo.

Kimsingi nadhani bado wana mfadhaiko na mhamaniko wa kile kilicho watokea mwaka 1995 ambapo kimsingi walikuwa wameigaragaza kabisa ccm ikabidi zipigwe tiktak na mabo ya mkono wa Mungu kuirudisha CCM Dar es Salaam .Nadhani wapiga kura wengi wa Dar es Salaam wanasumbuliwa na "LYATONGAMONIA" kiasi kwamba hawajiamini tena kama wanaweza kujiletea mabadiliko kupitia sanduku la Kura kwa kuchagua Viongozi kutoka vyama Tofauti.

Jambo Lingine nadhani wanadar es Salaam wanaathiriwa na vitendo vya wale mashujaa wao kugeuka geuka kama kinyonga na kutokuwa na misimamo thabiti mfano Mtikila,Hiza Tambwe,Masumbuko Lamwai,Frank Magoba,Kitwana Kondo, Hiza Tambwe na Kapten wao Augustino lyatonga Mrema hawa kwa kiasi fulani waliifanya Dar ikazizima .Kwasasa tunaona nyota Njema tena Ikiibuka kama akina J.Mnyika,Halima Mdee.

Vilevile kwa maoni yangu ni kwamba kuibuka kwa dhana ya ukabila kumesababisha wapambanaji wengi kutimka Dar es Salaam kurudi kwenye maeneo yao ya Asili ili kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kupitia vyama vya siasa.Hivyo kwa lugha nyingine ni kwamba Dar es Salaam kwa sasa imekuwa Chemichemi ya Maji kwa hiyo hii Bahari ya Mageuzi tunayo iona kwenye sehemu kubwa ya Tanzania ,chanzo chake ni Dar es Salaam...Zitto Kabwe,Freeman Mbowe,Tundu Lisu,Luhaga Mpina,David Kafulila,Hamis Kigwangala kuwataja baadhi tu hawa wengi wako Dar es Salaam .

Kwahiyo watu wa Dar es salaam wanaweza kujitetea kwamba kwa sasa wao ni incubator ya kuzalisha na kuchochea wapambanaji wanao weza kuhimili Tanuri na changamoto za Mageuzi.Hivyo wakati tukiikosoa Dar es Salaam kwa msingi huu ni vema tuipongeze kwa msingi wa pili kama kisima cha Mageuzi.Hata Tanzania tulijitutumua kusaidia nchi mbalimbali kupigania uhuru lakini kwa sasa nchi hizo zimetuacha mbali sana kimaendeleo na kiuwajibika.TUIKOSEA DAR ES SALAAM bila kusahau kuipongeza kwa mazuri yake kwani hata Wabunge wengi wanapochaguliwa hawakai huko bali wanarudi Dar es Salaam.

Ukiwa mfugaji wa Kienyeji wa Kuku na Ukiona Kila asubuhi Kuku wako wakitoka wanakimbilia kwa jirani basi jua siyo kwamba kukuwako ni wastaarabu hawataki kuchafua mazingira yako jua ni kwasababu kule kwa jirani yako kuna uhakika wa chakula.Dar es salaam nina wasiwasi wamejiwekea ka utaratibu wa Demokrasia ya kiuchumi hawa zingatii mageuzi ya kisiasa pekee kwa hili wakazi wa Dar wamepiga bao la Kisigino .

Umenena vyema mkuu na pia nafikiri tunahitaji kutenga muda zaidi kulizungumza swala hili.
 
CCM haiwezi kuondoka madarakani kwa mikoa tisa tu peke yake inabidi nchi nzima mikoa yote ikibwage CCM maana hiyo mikoa tisa chama kingine kikishinda inabidi CCM isipate hata kura moja ya urais.
 
Hiyo mikoa uliyotaja ni ya mipakani TANZANIA inakopakana na nchi zingine imejaa wahamiaji haramu wengi wanaojitia kujiingiza na kupenyeza itikadi zao za kimaruhuni kisiasa kupitia upinzani hasa CHADEMA.Yaani CHADEMA ni kisemeo cha wahamiaji wa nje na mataifa maruhuni ya nje.
Inaeleweka ni kwa nini CHADEMA inapendwa na kufadhiliwa hasa na Baadhi ya watu wanaokaa kwenye hiyo mkoa ya mipakani.

Na ndio maana Hata SLAA kiongozi wa CHADEMA alipinga sana Tanzania isiende kuwachapa M23 na isiwavurumishe wahamiaji haramu.
Freeman Mbowe alishawahi tamka kuwa nchi haitatawalika akijivunia hao wahamiaji haramu wakaao katika hiyo mikoa uliyotaja.Kipigo kwa M23 kilimfanya aufyate na aanze angalau kufikiria kutumia siasa za kistaarabu yeye na babu yake SLAA.Pigo kwa M23 lilikuwa pigo direct kwa CHADEMA na sera zao za kusema nchi haitatawalika.Pamoja na mbinu zingine ambazo CHADEMA imejaribu nchi isitawalike za kisiasa na kimaruhuni lakini TAI WA TANZANIA HAWALALI KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA SALAMA NA INATAWALIKA NA WANANCHI WANAISHI KWA AMANI NA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA

Hiyo mikoa mingine uliyoitaja kuwa imelala kisiasa kwa kutounga mkono upinzani kwenye kura ikiwemo DAR ES SALAAM ni mikoa ya watanzania halisi wazawa wenyewe ambao Hakuna mhamiaji haramu aweza wanunua wala kuwalisha itikadi zao za kipuuzi .
CHADEMA ni chama mwakilishi wa maslahi ya wageni wakiwemo waliotutawala wajerumani na waingereza kama kilivyo chama cha MDC cha Morgan Tsivangirai cha kule Zimbabwe.

Kwa sababu umetumia neno 'kipuuzi' nataka nami niseme huu ni upunguani! Maeneo yanayotajwa na kwa uahalisia wake ni maeneo ambayo kijiographia ni maeneo yenye wakazi wengi, maeneo yenye ardhi yenye rutuba, maeneo yenye watu wenye elimu zaidi na uchumi ulioimarika. Si ajabu hili kwani Tanzania imezungukwa na maziwa na milima kama vile Kilimanjaro, Meru na Ukanda wa Usambara na Nyanda za Juu kusini. Ni maeneo haya yamekuwa na vuguvugu kubwa la siasa, kwa sababu ni maeneo zalishi wa uchumi wetu.

Kudhani kwamba maeneo haya ni maruhubi ya wahamiaji ni tusi kwa watu hawa. Maeneo katikati ya nchi aghalabu ni makavu ukiacha eneo la Morogoro na Iringa, na watu wake wamekuwa maskini na wepesi mno wa kuhongwa na vitu vidogo vidogo tofauti na haya maeneo mengine. Hawa wanahitaji misaada wa kuelimishwa ili nao wapate nuru. Singida wameshaonyesha upevu mkubwa na matamanio ya kusonga mbele. Tabora bado lakin iko siku nao wataachana na Sit. Tutakuwa nao pamoja. Wewe utabaki na umwewe wako na ukilaaniwa siku zote.
 
Ila kiukweli mtoa mada unafurahisha kweli........mikoa 9 kati ya 30? Mwaweza itoa ccm madarakani? Kalaga bao......! Sie wengine wenye sili ya moro, dar, pwani..... Na mikoa usiyo itaja...tupo, yetu macho. Kumbe nyie tu mwaweza iangusha ccm....?!!!!!!!!.
 
Subirini uchaguzi wa serikali za mitaa ndio mtaona Kama UKAWA wanakubalika au wanafutika katika ramani!

Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa litakuwa fundisho lililo dhahiri kabisa kwenu napo ndipo mtaelewa CCM ni zaidi ya chama
 
We Kinambeu tulia kabisa maana mbunge wako Mwigulu kakupumbaza...!!
 
Back
Top Bottom