Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

ubungo na Kawe ziko wapi?

sasa ndo mnajivunia na hayo majimbo ya huyo msagaji na yule kilaza wa ubungo!!!! Kulikojaa mamangi wanaolala vibarazani mwa watu, wengi wa inhabitants wa huko ni wanywa ngebe waliotoka kuleee! Waliokuja kuharibu ustaarabu wa watu wa pwani,kajaribuni mziki kinondoni,ilala,temeke,na kigamboni muone!
 
Una maaana serikali iliyopo madarakan imeshindwa kudhibiti uhamiaji haramu?...bas tuitoe madarakan haifai kabisa kwa point zako hizo

Haijashindwa nenda kaulize wale wahamiaji haramu waliokimbizwa mbele kwa mbele.Wengine hadi leo wakisikia afisa uhamiaji anapiga mluzi wanaenda kujificha vichakani va vyooni.

Nilichoongelea ni wahamiaji haramu wanavyojaribu kujipenyeza Kuvitumia na kupenyeza mambo yao ndani ya vyama vya kisiasa kama CHADEMA . Unakuta hata baadhi ya maaskofu toka mikoa hiyo yenye wahamiaji haramu wengi kama akina Askofu KAKOBE ambaye ni mtu wa Kigoma na Askofu Niwemugizi wa Rulenge Kagera (WASEMAJI WA SIASA ZA WAHAMIAJI HARAMU KUPITIA KANISANI) ndio vinara wa kuongelea yale ambayo mdomo wao CHADEMA ndio hupenda kuyaongelea.
 
Ukifanya tafiti ndogo tu hapa inchini kuelekea General election 2015
Harakati za kisiasa na mwamko kwa wanainchi wake kudai mabadiliko mikoa ifuatayo kuiongoza Tanzania kwenda kubadili system nzima ya CCM escrow.
Makamanda hawajasinzia kama mikoa mingine, wamewahi kutuonyesha huko nyuma kwamba hawaogopi mapambano ya kisiasa kudai mabadiliko, wamewahi kuchukua mamlaka saa nyingine kwa mapambano makali na wakashinda, hawaishiwi umoja na mshikamano katika kudai haki.
Mikoa hii imekuwa chachu kubwa hata kwa vyama vya upinzani kueneza siasa yake hadi vijijini.
Sasa naitaja
1.Arusha
2.Mwanza
3.Shinyanga
4.Mara
5.kigoma
6.Rukwa
7.Mbeya
8.Kilimanjaro
9.Kagera
DAR ES SALAAM bado wanakula kwanza miguu ya kuku na kahawa plus simba na yanga.
Karibu wadau kwa maoni, mapendekezo na marekebisho.
Pia ushauri wapi UKAWA waongeze nguvu kukaribisha ushindi mapema 2015.

Chadema ingekuwa imejiimarisha Vijijini ningeunga mkono hoja yako. Tatizo Chadema vijijini haipo. Halafu wagombea wengi wa Chadema ni njaa kali.wakipewa laki mbili tu wanauza mechi
 
Halafu wagombea wengi wa Chadema ni njaa kali.wakipewa laki mbili tu wanauza mechi

Jamani sasa mlitaka wakale wapi WAKATI mabilioni ya ruzuku yanaliwa makao makuu CHADEMA hayasambai mikoani wala wilayani wala vijijini.

Makao makuu wanapewa na kula mabilioni wakati mikoani,wilayani na vijijini wagombea wanaambiwa wawe wazalendo wajitolee chama hakina hela.Hivi watakula uzalendo na kulipia pango za ofisi uzalendo?
 
chadema ina wabunge, madiwani na wenyeviti hapa dar, ondoa povu

sasa hivyo vilaza vyenu viwili vilivyopo maeneo ya wanywa ngebe vyawatia jeur sana,ngoja sasa 2015 km na makao makuu hamjahamishia Arusha maana mpk leo hamjajenga makao makuu pesa zote anakula babu na mke wa mtu na mbowe na hawara yake joyce,hao madiwani wangp?si ulete takwimu tulinganishe na waccm!
 
Hadi police na jeshi wakiellimishwa nakuekewa maana ya drmikrasia hapo sawa

Polisi wenyewe mishahara mbuzi maisha magumu na bado wanaitetea hii serikali dhalimu.
 
Hiyo mikoa uliyotaja ni ya mipakani TANZANIA inakopakana na nchi zingine imejaa wahamiaji haramu wengi wanaojitia kujiingiza na kupenyeza itikadi zao za kimaruhuni kisiasa kupitia upinzani hasa CHADEMA.Yaani CHADEMA ni kisemeo cha wahamiaji wa nje na mataifa maruhuni ya nje.
Inaeleweka ni kwa nini CHADEMA inapendwa na kufadhiliwa hasa na Baadhi ya watu wanaokaa kwenye hiyo mkoa ya mipakani.

Na ndio maana Hata SLAA kiongozi wa CHADEMA alipinga sana Tanzania isiende kuwachapa M23 na isiwavurumishe wahamiaji haramu.
Freeman Mbowe alishawahi tamka kuwa nchi haitatawalika akijivunia hao wahamiaji haramu wakaao katika hiyo mikoa uliyotaja.Kipigo kwa M23 kilimfanya aufyate na aanze angalau kufikiria kutumia siasa za kistaarabu yeye na babu yake SLAA.Pigo kwa M23 lilikuwa pigo direct kwa CHADEMA na sera zao za kusema nchi haitatawalika.Pamoja na mbinu zingine ambazo CHADEMA imejaribu nchi isitawalike za kisiasa na kimaruhuni lakini TAI WA TANZANIA HAWALALI KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA SALAMA NA INATAWALIKA NA WANANCHI WANAISHI KWA AMANI NA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA

Hiyo mikoa mingine uliyoitaja kuwa imelala kisiasa kwa kutounga mkono upinzani kwenye kura ikiwemo DAR ES SALAAM ni mikoa ya watanzania halisi wazawa wenyewe ambao Hakuna mhamiaji haramu aweza wanunua wala kuwalisha itikadi zao za kipuuzi .
CHADEMA ni chama mwakilishi wa maslahi ya wageni wakiwemo waliotutawala wajerumani na waingereza kama kilivyo chama cha MDC cha Morgan Tsivangirai cha kule Zimbabwe.

Nonsense..
 
Hi mikoa ya ukanda wa pwani ndio kabisa watu wamelala Kama Dar pana vilaza kibao
 
Mhonzuyadilu sio mikoa bali ni miji tisa . sasa hiyo miji tisa ambako mnao washabiki tu na sio wapiga kura unategemea ati mtatung'oa madarakani....nenda wilayani katika mikoa hiyohiyo utaona wilaya nyingine tumechukua mitaa bila kupingwa na kwingine mko dhaifu... Huko kwenye hiyo miji tisa nakuhakikishia aidha tunazoa viti vyote au tunagawana viti
kaka unafanya makosa kuwaamsha wajinga. hilo unalowaambia wanatakiwa wasilijue ili wabaki na ndoto ambazo wataendelea kuota hadi uzeeni na mpaka wakati wa vifo vyao.
mimi ndio maana hawa wajinga nawadharaaaaaaauuuuuuuu
 
Nimefanya utafiti, nimegungua, uchaguzi wa serikali za mitaa, ccm itashinda, kwa sababu wengi wanachama wa Chadema, hawajajiandikisha, ila wamebaki ni waongeaji tu, sasa wakipata viti vingi kwenye uchaguzi huu hawa ccm, huo ndiyo utakuwa ushindi wa general election 2015.tuwe makini!!
 
Mwanza kuna wahamiaji haramu kibao Kuanzia wanyarwanda,Wakenya,waganda Kama hujui mwanza inapakana na nchi gani basi nikuache nIkusamehe
Loh........huyu mkuu ana akili sana. Mwanza inapakana na nchi za nje !!? Naomba msibishane nae huyu bwana ni msomi aliekubuhu.
 
Hi mikoa ya ukanda wa pwani ndio kabisa watu wamelala Kama Dar pana vilaza kibao

vilaza walioweka vilaza wenzao ubungo na kawe huko kwengine wanajielewa,tena hayo majimbo mawili yamejaa wahamiaji wanywa mbege
 
Ni Nchi gani zinapakana na Mkoa wa Mwanza? Sie tunaoishi Mwanza hatujui,hebu tusaidie.

Kwenye ziwa victoria bandari ya Port bell ya nchi ya Uganda inapakana na bandari ya Mwanza.Na pia kuna bandari za kenya zinapakana na bandari ya mwanza.
 
Hiyo mikoa uliyotaja ni ya mipakani TANZANIA inakopakana na nchi zingine imejaa wahamiaji haramu wengi wanaojitia kujiingiza na kupenyeza itikadi zao za kimaruhuni kisiasa kupitia upinzani hasa CHADEMA.Yaani CHADEMA ni kisemeo cha wahamiaji wa nje na mataifa maruhuni ya nje.
Inaeleweka ni kwa nini CHADEMA inapendwa na kufadhiliwa hasa na Baadhi ya watu wanaokaa kwenye hiyo mkoa ya mipakani.

Na ndio maana Hata SLAA kiongozi wa CHADEMA alipinga sana Tanzania isiende kuwachapa M23 na isiwavurumishe wahamiaji haramu.
Freeman Mbowe alishawahi tamka kuwa nchi haitatawalika akijivunia hao wahamiaji haramu wakaao katika hiyo mikoa uliyotaja.Kipigo kwa M23 kilimfanya aufyate na aanze angalau kufikiria kutumia siasa za kistaarabu yeye na babu yake SLAA.Pigo kwa M23 lilikuwa pigo direct kwa CHADEMA na sera zao za kusema nchi haitatawalika.Pamoja na mbinu zingine ambazo CHADEMA imejaribu nchi isitawalike za kisiasa na kimaruhuni lakini TAI WA TANZANIA HAWALALI KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA SALAMA NA INATAWALIKA NA WANANCHI WANAISHI KWA AMANI NA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA

Hiyo mikoa mingine uliyoitaja kuwa imelala kisiasa kwa kutounga mkono upinzani kwenye kura ikiwemo DAR ES SALAAM ni mikoa ya watanzania halisi wazawa wenyewe ambao Hakuna mhamiaji haramu aweza wanunua wala kuwalisha itikadi zao za kipuuzi .
CHADEMA ni chama mwakilishi wa maslahi ya wageni wakiwemo waliotutawala wajerumani na waingereza kama kilivyo chama cha MDC cha Morgan Tsivangirai cha kule Zimbabwe.

Ebu rudia tena kusoma mwenyewe ulichokiandika kama kinaendana na alichokisema mtoa hoja...

Hii nchi Mungu tu ainusuru kwa akili kama hizi....huelewi hata hoja ni nini unaleta upuuzi tu hapa na kujaza server za JF kwa ujinga
 
Tatizo kubwa hamjaliona hakuna wapiga kura ukubwa wa makalio hauwezi kujaza choo wengi ni washabiki maandazi wanajaa kwny mikutano lakn hawapigi kura wapiga kura wako vijijini mjini ni wanaendekeza kulewa viroba ganja na mademu muda wa kupiga kura wataupat wapi chama hakina ofisi kwny vijiji nani atakichagua vyama msimu kama wa mvua nani atavichagua si kila mtu mjinga
 
Hiyo mikoa uliyotaja ni ya mipakani TANZANIA inakopakana na nchi zingine imejaa wahamiaji haramu wengi wanaojitia kujiingiza na kupenyeza itikadi zao za kimaruhuni kisiasa kupitia upinzani hasa CHADEMA.Yaani CHADEMA ni kisemeo cha wahamiaji wa nje na mataifa maruhuni ya nje.
Inaeleweka ni kwa nini CHADEMA inapendwa na kufadhiliwa hasa na Baadhi ya watu wanaokaa kwenye hiyo mkoa ya mipakani.

Na ndio maana Hata SLAA kiongozi wa CHADEMA alipinga sana Tanzania isiende kuwachapa M23 na isiwavurumishe wahamiaji haramu.
Freeman Mbowe alishawahi tamka kuwa nchi haitatawalika akijivunia hao wahamiaji haramu wakaao katika hiyo mikoa uliyotaja.Kipigo kwa M23 kilimfanya aufyate na aanze angalau kufikiria kutumia siasa za kistaarabu yeye na babu yake SLAA.Pigo kwa M23 lilikuwa pigo direct kwa CHADEMA na sera zao za kusema nchi haitatawalika.Pamoja na mbinu zingine ambazo CHADEMA imejaribu nchi isitawalike za kisiasa na kimaruhuni lakini TAI WA TANZANIA HAWALALI KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA SALAMA NA INATAWALIKA NA WANANCHI WANAISHI KWA AMANI NA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA

Hiyo mikoa mingine uliyoitaja kuwa imelala kisiasa kwa kutounga mkono upinzani kwenye kura ikiwemo DAR ES SALAAM ni mikoa ya watanzania halisi wazawa wenyewe ambao Hakuna mhamiaji haramu aweza wanunua wala kuwalisha itikadi zao za kipuuzi .
CHADEMA ni chama mwakilishi wa maslahi ya wageni wakiwemo waliotutawala wajerumani na waingereza kama kilivyo chama cha MDC cha Morgan Tsivangirai cha kule Zimbabwe.

Mpuuzi mwingine huyu hapa!
 
Back
Top Bottom