Kiogwe~kanunua wapi, tusaidieni wenye wanazo # za hao wazeeNilinunua radi kimzahamzaha aaaahh INA masharti sana kuitunza niliirudisha unaihifadhi sehemu ya majimaji
Kiogwe~kanunua wapi, tusaidieni wenye wanazo # za hao wazeeNilinunua radi kimzahamzaha aaaahh INA masharti sana kuitunza niliirudisha unaihifadhi sehemu ya majimaji
Jina lake na #~Erick KalemelaKuna jamaa pale Shinyanga anatengeneza Radi sijaonana nae miaka kama 7 Sijui kama yupo ile anasema nimaalum kwa Wazinzi
Mkuu mbona sikuelewi au ndo vyuma vimebanaJina lake na #~Erick Kalemela
Mkuu mbona sikuelewi au ndo vyuma vimebana[/QUIT
Mkubwa mie naomba nambari zao na majina tafadhali~Erick kalemela
Hatari na½Tanzania ina maajabu yake japo hayajaweza kuandikwa, pengine kama nchi hii ingekuwa bara la wazungu basi nchi hii ingeandikwa katika kitabu cha maajabu kwa baadhi ya Mambo.
Sanjari na kuenea kwa dini ya kikatoliki katika mikoa Miwili hii, ambapo inakadiriwa kuwa zaidi ya 70 asilimia ni Wakatoliki ukweli ni kwamba mambo yaliyomo ndani ya jamii hii ni ya kushangaza na kuacha maswali mengi.
Kuishi katika Mikoa hiyo miwili ni changamoto kubwa hasa kwa watu wenye tabia ya ubabe, uzinzi,kujionyesha onyesha, ulafi, uongo n.k ingawa unaweza pia kuonewa bila kuwa na tabia hizo.
Wenyeji wa Mikoa hiyo ni wafipa na wabende, ama kweli mchuano wao ni mkali,si ajabu bei ya radi imeshuka kufikia shilingi 2000/=
Tanzania ina mengi,watanzania ni wataalam
TESTIMONY
Sumbawanga. Sumbawanga, kama ilivyo maeneo mengine ya mikoa ya pwani-- Tanga na Pwani (Bagamoyo) na ile ya Kanda ya Ziwa, imekuwa ikisifika sana kwa vitendo vya kishirikina.
Maeneo hayo yababeba sifa ya uchawi, ambazo huenda zikizidiana eneo kutoka eneo moja hadi jingine, huku Sumbawanga ikitajwa kuwa ndiyo ‘iko vizuri’ zaidi kwa uchawi, hasa wa ‘teknolojia’ ya asili ya radi.
Kijiji cha Chipu ndio eneo maarufu kwa sifa ya uchawi wa radi mkoani Rukwa. Chipu ni kijiji kilicho nje kidogo ya Manispaa ya Sumbawanga, umbali wa takriban kilometa 30 kutoka Sumbawanga mjini.
Radi za asili zinazodaiwa kutengenezwa katika eneo hilo la ufipa, hudaiwa kutumika kama silaha kwa watovu wa nidhamu.
Mkazi wa Kitongoji cha Katandala mjini hapa, Chela Mwanakatwe ambaye ni mtaalamu wa tiba za asili, anaeleza kuwa zipo aina nyingi za radi kulingana na utengenezaji wake.
Anasema yapo makundi matatu tu ya radi ambayo ni radi ya kuonya ambayo huwa haimdhuru mtu lakini inatokea eneo ambalo yupo mlengwa ili kujenga hisia kwa mtu aliyefanya uasi. Pindi inapotokea baadhi ya watu waliopo eneo hilo, hujiuliza “nani amefanya kosa aende kutubu”.
“Kwa mfano watu wamekaa kwenye nyumba, radi huweza kufika na kufanya uharibifu wa nyumba bila kumdhuru mtu yeyote. Au mpo chini ya mti, radi inafika na kupasua mti pasipo kudhuru mtu,” anasema Mwanakatwe.
Anasema aina ya pili ni radi inayojeruhi ambayo hutumika kumjeruhi yule aliyafanya uasi ili aende kuomba msamaha kutokana na kosa alilofanya. Alisema mara nyingi radi hiyo hutumiwa kwa wale ambao wametenda kosa bila dhamira zao kuwatuma, kushawishiwa na kudanganya.
Anasema aina ya tatu ni radi inayokusudia kuua ambayo mara nyingi mhusika anakuwa amethibitika kutenda kosa na kupewa nafasi ya kuomba radhi, lakini ameshindwa kufanya hivyo. Alisema radi ya aina hiyo haina huruma.
Habari zaidi soma Gazeti la Mwananchi/ www.epaper.mcl.co.tz
Ohoooo! Usiombe Rafiki Yangu. Watu wanaweza hadi kutengeneza nyoka (kobra) na kuituma hadi ulipo....Acha mchezo wewe.Hapana lakini mimi najaribu kuwaza hivi kweli uchawi una nguvu kiasi hicho.mr naona kama ni stori tu
Kuna jamaa pale Shinyanga anatengeneza Radi sijaonana nae miaka kama 7 Sijui kama yupo ile anasema nimaalum kwa Wazinzi[/QUOTE
Lyamber pm namba na jina ya mwenye kuuza~AsantaNyamnyusi, Kasulu radi inauzwa shs 500, pia nyarugusu refugee camp, Kasulu radi inauzwa pia
Mimi Nina mfahamu mzee mmoja yupo kipili,Ni fundi mwandamizi wa hizo mambo,na mwingine yupo Nkomanchindo yaani ni ile paaaa...ila vigezo na masharti kuzingatiwa.Nenda vijiji vya mwambao ziwa Tanganyika. Mfano Kabwe, Kasanga, Kilando, Wampembe etc huko ndo watalamu wapo mkuu.
Mimi Nina mfahamu mzee mmoja yupo kipili,Ni fundi mwandamizi wa hizo mambo,na mwingine yupo Nkomanchindo yaani ni ile paaaa...ila vigezo na masharti kuzingatiwa.
Halafu wazee wa hivyo na simu wapi na wapi,wakokaa hata toyo haifiki sembuse network,Ss mgbu yenyu wote ni...kuna mzee/mmoja sehemu fulani lkn hamna majina zao wazee na watu ama hata namba zao...mbona hivyo lkn tusaidiane hapa...wengine wetu twaomba majina ya hao wazee/watu wakutengeneza Radi na pia namba zao..mie ...nadhoofika..Pm namba zao tafadhali. ..
Hizi elimu zingeleta matokeo ya jamii iliyo bora zingekuwa na faida nyingi sana
Haoo wanaokwenda huko sayarini ndo wachawi wakubwa kaka hivyo pole kwa uelewa wakoWatz bwana, hizi ndoto za kuwa kwenye nchi ya kipato cha kati kufikia 2025 mtazisikia tu redioni. Wenzetu wanakwenda sayari nyingine kwa teknolojia sisi tunafikiria kununua radi!!!! Wakati hata ubunifu kwenye kilimo bado tunatumia jembe la mkono!!!
Hear say ni kwamba Cardinal mwenyewe ile nafasi aliipata kwa nguvu za ki-Fipa alipokuwa anachuana na mpinzani wake.
Upo sawa kabisa Mshana ukizingatia haina hata gharama hio radi inavotengenezwa..unapeleka mbegu za maboga tu...wakati zinakaangwa kwenye kikaangio bila mafuta wewe unazikoroga tu hizo mbegu kwa mwiko huku ukimnuia mbaya wako kimyaa kimyaa.[emoji1321]