Mikoa miwili ambayo radi huuzwa

Mikoa miwili ambayo radi huuzwa

Kama Kuna mtu anaweza kunipatia hiyo kitu nitamuona wa maana sana, ili nimuadhibu mtu mmoja ambaye alinivunjia biashara yangu halali kwa kujivunia cheo chake. Amepelekea maisha yangu kuwa magumu nilikuwa na mkopo benki nimeshindwa kulipa hadi ninauziwa nyumba. Watoto hawaendi shule, napata pesa ya kutunza familia kwa taabu sana, nimerudi kwenye maisha ya kupanga nyumba Wakati nilikuwa na kwangu. Nimelalamika sehemu zinazohusika sijasikilizwa nimepuuzwa.
Njia pekee iliyobakia ni kama hii. Mwenye taarifa za kina zaidi jinsi ya kuipata hii kitu anisaidie jamani.
 
Ikumbukwe

Uchawi ni mkataba Kati ya Jini na binadamu. Jini atakupa mashart yake na wewe binadamu utasema mambo Yako unayohtaji usaidiwe na kadr unavyozidi zifanya kaz za jini, jini anazidi kukupandisha darja . Mganga au wale Wachawi wanakuwa km middleman. Na Ndio maana Hakuna dini inayoukubali shirki, shirki ni mbaya.

Mtu mpk unaenda nunua radi usidhani kirahisi rahis 2000. Hapo kuna madude Kibao ya kufru mtu kachafanya washaenda makubirin, wameogeshana Maji ya mait Mwisho unatoa 2000 uliyemkusudia anakufa.

Ingekuwa 2000 kavu tu mbaya Wangu anaondoka nadhani Hakuna ambaye angesalia. Uchaw unatisha na sio rahisi km watu wadhaniavyo ingekuwa hivyo dini zisingeupinga kwa nguvu.
Matereal ya radi wala hainaga hizo mambo zote, ni sindano, uzi na moto tu ndo maana haina gharama kama albdir
 
Matereal ya radi wala hainaga hizo mambo zote, ni sindano, uzi na moto tu ndo maana haina gharama kama albdir
Ingekuwa hivyo kila mtu angefanya km ni sindano, uzi na moto.

Unajua huyo mganga mpaka anachukua sindano, uzi na moto inatokea radi ametoa sadaka gani kwa Majini ?? Km damu za watu?? Kwahyo uko radhi ununue radi ambayo imetokana na sadaka ya damu ya mtu na wewe mnunuaji laana itakutafuna popote utakapokuwepo. Ikimbie shirki.
 
Hao wataalam wa kutufikisha kwenye uchumi wa kati tunawaazima nchi gani? wataalam wa kilimo waliopo wamesaidia nini mpaka sekunde hii katika nchi..unaweza kuungana nami kwamba hata hawa waliopo humu ni wataalam wa fani mbalimbali?tuache kujadili tamaduni tusubiri uchumi wa kati?
Go ahead dude!!
 
Hakuna ukweli wowote.come on jamani amkeni.Ni mungu pekee mwenye kucontrol nature hii.asikudanganyeni mtu yoyote.uchawi upo lakini hauna nguvu hizo.tusemeni ukweli
kaa kimya ndege JOHN UCHAWI UUSIKIE TU USIJE KUBAHATIKA UUONE NA MATATIZO YAKE
 
Mm hapa naomba nambari ya mganga wa kutengeneza RADI...Ctaki kusikia eeeh eti tumaini yesu kristu...ooo Mara damu ya yesu tena waachie mungu...kwan walionidhulumu awakujua kuna yesu, damu na mungu...nipeni namba naomba usaidizi mie...I'm Crious!
Kw utafiti wangu nikapata #ya mzee chimwaga ya Sintale S'wanga ama mzee Ntoro wa kalundi S' wanga...~ nisaidiwe tafadhali..🙁No jokers
 
Hapana lakini mimi najaribu kuwaza hivi kweli uchawi una nguvu kiasi hicho.mr naona kama ni stori tu
Na wewe ndio waweza kuta ndio mchawi mkubwa kwelikweli maana styles zenu ndio hizi za kujifanya hamjui kitu kuhusu uchawi, hahahaaaa mtu amechanjwa chale mwilin hadi ngozi halisi haionekani.
 
Kumbuka unatuma radio yako kwangu ikidunda inakurudilia mwenyew.
 
Usibishe bwana haya mambo yapo mbona radi inatumwa mchana kweupe jua linawaka hata bila uwepo wa mvua hapana chezea sumbawanga
Waafrika tunahitaji karne 2 zijazo ndipo tuondokane na mambo ya kufikirika. Wewe km mfuatiliaji ingia kwenye Google usome jinsi Ulaya walivyokuwa wanaamini mambo ya uchawi kuzidi hata sisi lakini ujio wa elimu ya darasani ikawatoa huko hasa mwanzoni mwa karne ya 16 mpaka katikati kwa karne ya 17. Wakati huo Ujerumani ilikuwa kinara wa imani za kishirikina. Wenzetu Vyuo Vikuu vilianza tangu karne nyingi zilizopita na maswala ya makosa ya uchawi yalikuwa yameingizwa hata kwenye Katiba na Sheria, hivyo walioshitakiwa 'kuroga' walikuwa wakifikishwa mahakamani na kuhukumiwa. Nchi nyingi hukumu zake ilikuwa kifo. Ukisoma utaona kwamba kuna baadhi ya Mapadri na Masista walikumbana na hukumu ya kunyongwa kwa kushitakiwa 'kuroga'. Kule Ujerumani Sista mmoja (jina nimelisahau) wa Kiskotish alinyongwa kwa kosa hilo. Kabla ya kunyongwa, aliacha Waraka/Wosia mrefu Wa kusikitisha kuhusu kunyongwa kwake bila ya yeye kutenda kosa hilo la kufikirika. Kutokana na waraka huo, liliundwa jopo la wanasheria na wanataaluma mbalimbali bara la Ulaya kufanya utafiti Wa kina ukihusisha hata walioshitaki kuwa walirogwa na Sista yule na baadaye ilibainika kuwa ni uongo na hata waliomshitaki Sista Hugo walikiri walidanganya. Ilibidi pia wafanye utafiti Wa kutosha kuhusu kesi na hukumu zilizotolewa kwenye mahakama za Ulaya na kubaini kesi na hukumu zote zilizotolewa zilikuwa batili. Kuanzia hapo bara lote la Ulaya wakafuta kwenye Katiba na Sheria zao maswala ya uchawi kwani waligundua ni maswala ya kufikirika yasiyokuwa ya kweli. Kuanzia hapo Ulaya wakajikita kwenye tafiti wakizingatia kanuni mbalimbali za kisayansi. Wakaweza kusafiri mabara mbalimbali kufanya tafiti, sasa hivi juhudi kubwa ziko kwenye tafiti za anga za juu na mifumo yake. Sisi kina Karumakenge bado tunashadidia maswala yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Waganga Wa kienyeji wanatudanganya wana dawa za kufaulisha watoto masomo na kweli mzazi wa kiafrika anatoa fedha wala hadadisi iwapo mganga huyo na watoto wake wamesoma kwa kiwango gani kupitia uganga huo. Waganga hawa pia wanakomba fedha zetu maskini Wa kiafrika kwamba watatupa dawa za utajiri. Kutokana na umaskini wetu na elimu duni tunakubali wakati hata mganga mwenyewe ni maskini! Kwa vile hatuna utamaduni Wa kutafiti, tunakubaliana na msemo Wa kipuuzi kuwa 'mganga hajigangi'! - logical na reasoning capacity zetu ziko chini!. Matokeo yake tunakata viungo vya ndugu zetu albino tukidanganywa tutatajirika. Tunaua vikongwe, tunadanganywa dawa za radi, dawa za mapenzi, dawa za biashara nk. Huwezi kuwalaumu watu wanaoamini yote haya kwani hawana elimu ya kutosha kuhusu mambo mbalimbali yenye majibu ya kisayansi. Hawana elimu kuhusu kwa nini jiografia ya maeneo kuanzia Rukwa kuelekea Kagera yana mvua zinazoambatana na radi kwa wingi ukilinganisha na maeneo ya pwani nk. Hata kule kujua radi ni nini hasa - wengi hawajui. Hali ya kuamini kutumia uchawi iwe kwenye mpira au kitu kingine chochote kile kitapungua kadri jamii itakapojikita kwenye elimu, full stop.
 
Kwajina la yesu akuna uchawi Wala uganga katika nyumba ya yakobo
 
Kuna jamaa pale Shinyanga anatengeneza Radi sijaonana nae miaka kama 7 Sijui kama yupo ile anasema nimaalum kwa Wazinzi
 
Back
Top Bottom