Nimefikiri sana na kugundua kua mikoa yote iliyopiga hatua hapo Tanzania,ni mikoa ya mageuzi na ambayo hukubali sera na sio chama.Mfano Mbeya, Kilimanjaro,Bukoba,Mwanza,Shinyanga,Iringa,Arusha,Kigoma inakuja kwa kasi,DSM kwa sasa,n.k.Lakini mikoa ambayo imeendelea kuikumbatia CCM kwa asilimia kubwa wako nyuma kimaendeleo kuliko mikoa tajwa hapo juu.Wakati umefika sasa kwa mikoa iliyo nyuma kujivua GAMBA na kusema CCM basi.Zaidi ya miaka 50 llakini umeme wa shida,maji safi shida,Reli iliyojengwa na mkolo ni hiyo hiyo na inakufa.