Mikoa iliyoendelea Tanzania-Wanamageuzi

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Nimefikiri sana na kugundua kua mikoa yote iliyopiga hatua hapo Tanzania,ni mikoa ya mageuzi na ambayo hukubali sera na sio chama.Mfano Mbeya, Kilimanjaro,Bukoba,Mwanza,Shinyanga,Iringa,Arusha,Kigoma inakuja kwa kasi,DSM kwa sasa,n.k.Lakini mikoa ambayo imeendelea kuikumbatia CCM kwa asilimia kubwa wako nyuma kimaendeleo kuliko mikoa tajwa hapo juu.Wakati umefika sasa kwa mikoa iliyo nyuma kujivua GAMBA na kusema CCM basi.Zaidi ya miaka 50 llakini umeme wa shida,maji safi shida,Reli iliyojengwa na mkolo ni hiyo hiyo na inakufa.
 
Ni tathmini yenye makengeza na ya kufikirika. Ni ufinyu wa uelewa na kudhani kwamba kuchagua mpinzani peke yake kunatosha maana ingekuwa hivyo basi Pemba, ambayo toke uchaguzi wa vyama vingi wamekuwa wakichagua wapinzani, ingekuwa kama ulaya. Ni ufinyu kufikiria kwamba Iringa, ambao ni jimbo moja tu ndilo limepata kuchagua mpinzani una maendeleo kwa kuangalia jimbo la Iringa Mjini. What about wilaya nyingine. Na ni kweli kwamba Shinyanga ina maendeleo kuliko Tanga? Ni kweli kwambaKigoma ina maendeleo kuliko Morogoro? Acha upotoshaji wako na huo upembuzi uchwara.
 
Huu ni uongo.
Arusha una wabunge wangapi wa CCM/CDM.
Hivi Arusha mjini inaongozwa na CCM/CDM? nani ana wajumbe wengi kwenye halmashauri?
Acheni kuwaza kishabiki, plus hoja kama hizi hazitufikishi popote pale.
Hivi unawewza kufananisha Mara na Morogoro kiuchumi?.... Geez!!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Duh,

Kaazi kweli kweli, ni muhimu kutumia statistics zaidi kuliko maneno tu.
 
Nadhani mleta thread alikusudia kusema angalau chadema inaongoza majimbo ambayo yanamaendeleo Tanzania ukizingatia inambunge angalau kila jiji kasoro Tanga!.
 
Nimefikiri sana na kugundua kua mikoa yote iliyopiga hatua hapo Tanzania,

Mkombozi hakuna mkoa uliopiga hatua Tanzania, sijui labda neno kupiga hatua lina maana nyingine. Kama ni maendeleo basi mikoa yote wananchi wanazidi kumaskinika.
 
Nadhani mleta thread alikusudia kusema angalau chadema inaongoza majimbo ambayo yanamaendeleo Tanzania ukizingatia inambunge angalau kila jiji kasoro Tanga!.

Kwani hizo hadhi za majiji zimepandishwa na Chadema? Huu ni ufinyu unaotokana na kukurupuka.
 
Endeleeni kupiga kelele,mikoa yenye wanaume na wanawake wa ukweli ni Kilimanjaro,MBEYA,arusha.mwanza kigoma,MARA,Mikoa mingine watu wanan'gaa sharubu tu!
 
Ni tathmini yenye makengeza na ya kufikirika. Ni ufinyu wa uelewa na kudhani kwamba kuchagua mpinzani peke yake kunatosha maana ingekuwa hivyo basi Pemba, ambayo toke uchaguzi wa vyama vingi wamekuwa wakichagua wapinzani, ingekuwa kama ulaya. Ni ufinyu kufikiria kwamba Iringa, ambao ni jimbo moja tu ndilo limepata kuchagua mpinzani una maendeleo kwa kuangalia jimbo la Iringa Mjini. What about wilaya nyingine. Na ni kweli kwamba Shinyanga ina maendeleo kuliko Tanga? Ni kweli kwambaKigoma ina maendeleo kuliko Morogoro? Acha upotoshaji wako na huo upembuzi uchwara.

Ameifanya hoja imekuwa ya kisiasa. Ingekuwa viziri kama tungejadili objectively juu ya mikoa inayoelekea kundelea kwa speed kuliko mikoa mingine na kwa nini mingine ime staginate kabisa. Lakini mwanzisha thread is looking for something else.
 
Hasa majimbo yaliyo chini ya Chadema

umejenga hoja lkini unapoingiza ideology inafuta hata hoja zile za mwanzo!!!! Hahaha ahahah ahahaha - CCM ndio iliyotengeneza huo umaskini Tanzania nzima kwa sera zake mbovu.
 
Endeleeni kupiga kelele,mikoa yenye wanaume na wanawake wa ukweli ni Kilimanjaro,MBEYA,arusha.mwanza kigoma,MARA,Mikoa mingine watu wanan'gaa sharubu tu!
Kwa kutumia data zipi? Kimaendeleo au kujazana mikutanoni?
 
Back
Top Bottom