GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,114
Sababu hizi GENTAMYCINE nimezipata kutoka kwa Mkongwe na Mchambuzi wa Masuala ya Siasa Bwana Hamduni Marcel aliyeko Mkoani Mwanza alipokuwa akizungumza na Kipindi cha Morning Magic cha Magic FM Asubuhi hii hii ya leo
1. Viongozi wengi Wakubwa (Waandamizi) Kuoa Kaskazini (Kilimanjaro na Arusha) hivyo kuamua kupeleka Maendeleo ya Kasi huko Ukweni Kwao
2. Uasi wa Kihistoria wa Mikoa ya Watu wenye Misimamo ya Mara (Kwetu GENTAMYCINE) na Kagera kwa Watawala wa nchi hii.
3. Kuwa na Vivutio muhimu vya Utalii hasa Mbuga mbalimbali za Wanyama.
4. Kuwa Jirani na nchi ya Kenya ambayo miaka ya nyuma ilipata Ushirikiano mkubwa na nchi za Magharibi hasa Kimaendeleo
5. Kuwa na Kumbi kubwa na nyingi za Mikutano ya Kimataifa.
6. Kutangulia kupata Elimu kutoka kwa Taifa Jirani la Kenya ambalo Kiuhalisia limetangulia kuipata.
7. Hulka ya Kiasili ya Watu wa Mikoa hiyo kupenda Kujituma katika Kuwajibika na Kuinuana Kimaisha tofauti na Mikoa mengine ambayo haipendi Kusaidiana bali inapenda Kuchekana pale Mmoja akiwa bado hajatusua Kimaisha.
Kwahiyo kuanzia leo hii ni matumaini yangu makibwa GENTAMYCINE kuwa sasa Wenye Chuki (Usununu) na Watu wa Mikoa ya Kaskazini (ya Kilimanjaro na Arusha) baada ya hizi Sababu Kuu Saba (7) tajwa hapa juu tutabadilika, tutawapenda, tutawaheshimu na ikibidi tutajenga nao Ukaribu (Urafiki) ili Watufundishe Maisha na Kufanikiwa ili nasi tuwe na Maendeleo kama Wao.