mfano igunga ndo dira ccmagamba.uwongo mbele ukwel nyuma,itoke ccmagamba madarakan waje waume wa kaziunaweza kuniambia chadema imeleta maendeleo gani kilimanjaro? Anza na kwa chair wao kule jimbo la hai
Endeleeni kupiga kelele,mikoa yenye wanaume na wanawake wa ukweli ni Kilimanjaro,MBEYA,arusha.mwanza kigoma,MARA,Mikoa mingine watu wanan'gaa sharubu tu!
Mara ina mbunge mmoja wa upinzani, sawa na Iringa, Singida lakini Lindi ina wabunge wawili wa upinzani.
chagua chadema, chagua maandamano. Nadhani hii ndio iwe kauli mbiu ya 2015.
Endeleeni kupiga kelele,mikoa yenye wanaume na wanawake wa ukweli ni Kilimanjaro,MBEYA,arusha.mwanza kigoma,MARA,Mikoa mingine watu wanan'gaa sharubu tu!
Nimefikiri sana na kugundua kua mikoa yote iliyopiga hatua hapo Tanzania,ni mikoa ya mageuzi na ambayo hukubali sera na sio chama.Mfano Mbeya, Kilimanjaro,Bukoba,Mwanza,Shinyanga,Iringa,Arusha,Kigoma inakuja kwa kasi,DSM kwa sasa,n.k.Lakini mikoa ambayo imeendelea kuikumbatia CCM kwa asilimia kubwa wako nyuma kimaendeleo kuliko mikoa tajwa hapo juu.Wakati umefika sasa kwa mikoa iliyo nyuma kujivua GAMBA na kusema CCM basi.Zaidi ya miaka 50 llakini umeme wa shida,maji safi shida,Reli iliyojengwa na mkolo ni hiyo hiyo na inakufa.