Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,810
- 623
Huyu mbwa Leipzig amechana mikeka ya hela ndefu
Boooom!!!!!Azam win
Man u win
Mechi mbili tu odds 5
Weka hela acha uoga
Ujinga wa live betting unakua huna mipango, Kila ukiona mechi ipo live unataka kuicheza, tofauti na bet ya kuweka tangu asubuhi, sasa ushakula laki 5 boss ila bado unairisk yote kutafta 140k???Sina ham acha nilale kesho pia siku
View attachment 2803800
Na bado mecho zinaemdelea na matumaini yapo makubwa sanna tena sana kwa mfano huo mkeka wa odd 17 kunamechi kama 5 bado ajazipa Kadi ya kijani ila tayari zimetick
Kwahyo hiyo ya odds 17 bado kama mechi 6 tu
Nimeisoma mkuu, ngoja nizime data kwanza siku ishakwisha
Si mlisema hawez kupata Goal 🤣🤣Bournemoth anapata goli, leipzig hata goli moja hatoi
🤣🤣 Polee sana mkuuNimeisoma mkuu, ngoja nizime data kwanza siku ishakwisha
Amepata goli daah aseeBrighton wanazingua
Wamepata goli la kizembe sanaSi mlisema hawez kupata Goal
hizi ata usi screenshot maana azichelewi kupungua moja moja . Poa nazo tu zina toa kimya kimya