kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,352
- 13,852
Yanga ilishuka lini? Wakati wa pre-season ilichukua ubingwa wa mashindano ya ToYOTA, kwenye Yanga day ilishinda, kwenye ngao ya jamii ilishinda, kwenye ligi imeshinda mechi zote bila kufungwa na kwenye mashindano ya CAF imeingia hatua ya makundi. Yanga ilishuka kiwango kuanzia lini?
Kilichotokea ni kwamba, timu zetu zoote kwenye ligi zimesajili, zinaendelea kusajili wachezaji na zinafundishwa na walimu wao kucheza ili kuepuka kufungwa goli 5 na Yanga baaasi. Timu zote na wachezaji wote wanacheza dhidi ya Yanga kwa namna ya kunusuru ajira zao na zile za walimu, viongozi na wafadhili wao.
Makocha, wachezaji na viongozi wa timu wanacheza ili kuepuka kufungwa magoli mengi na Yanga ili kulinda ajira zao.
Hii inasababisha wachezaji kukamia hata iibidi kuumia au kuwaumiza wachezaji wa Yanga, wachezaji wao wanacheza kwa tahadhari kubwa kupitiliza, viongozi wao wanafanya kila kitu kuzuia kufungwa.
Kila timu inaingia uwanjani kama timu ya pili mbele ya Yanga.
Hii ndiyo sababu Yanga haifungi magoli mengi kwenye ligi lakini inapata points. Anaesema Yanga imeshuka kiwango hayui alisemalo.