blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,047
- 2,723
Yaani haya yote rb yumo,,,, kuna treni la win either half, kuna la win draw,,,, akitoka 0:1 ft hapo yoote ni chwaaa,,,,, kapokea kijiti cha Chelsea
Alafu ni kujichqnganya tu hawa Stuttgart waliwasumbua dotmond balaa kiduuchu iwe nyau nyau ,,, hapa rb kama hayajatoka hivi au kupigwa cha pili cjui
Alafu ni kujichqnganya tu hawa Stuttgart waliwasumbua dotmond balaa kiduuchu iwe nyau nyau ,,, hapa rb kama hayajatoka hivi au kupigwa cha pili cjui