Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,409
- 7,614
Watusukie na ya shirikisho code ije hapa tuishi nayooo
Watusukie na ya shirikisho code ije hapa tuishi nayooo
Sasa hv hatuwezi kumuona mchawi..mpaka game zianze..ila wote wapo sawa mkuu, ila psv tupia 2.5+Wandugu hapa mchawi wa kumuwekea mashaka anaeza kua nani View attachment 2557478
Nimefanya bado ikagoma, na jamaa hawajaweka namba ya mawasilianoAnza na 06...
Kumbe kuna siku sporty 🏀 wanawekaga over ya chini kuliko 1xbet!.... Imenishangaza...
Risk taker🙌View attachment 2557592mimi ni yanga natambua bookies/Vegas hawajawahi kukosea ktk kupanga odds Ila najitoa kimasomaso naweka laki 2 nazifata odds 4.90 za monastir
View attachment 2557592mimi ni yanga natambua bookies/Vegas hawajawahi kukosea ktk kupanga odds Ila najitoa kimasomaso naweka laki 2 nazifata odds 4.90 za monastir
Tunapo beti matreni ya mechi zaidi ya 8 tusisahau kukuza mitaji kwa kuedit mikeka ya mechi 2 hadi 4 hivyo kumbukeni kukuza mitaji kwa kuvunja vunja matreni mimi bado nabetia hela ya kanji japo kwenye sportbet nimeshatia hela yangu zaidi kwa sababu ya kujifunza matreniOdds 10 mechi 8 mazoezi yanaendelea
DB566AF
Odds 20 mechi 10 mazoezi yanaendelea
1E57749
hawajawahi kukosea ktk kupanga odds Ila najitoa kimasomaso naweka laki 2 nazifata odds 4.90 za monastir
View attachment 2557592mimi ni yanga natambua bookies/Vegas hawajawahi kukosea ktk kupanga odds Ila najitoa kimasomaso naweka laki 2 nazifata odds 4.90 za monastir
UTALIWA uchanganyikiwe ukatamani kujiuzaView attachment 2557592mimi ni yanga natambua bookies/Vegas hawajawahi kukosea ktk kupanga odds Ila najitoa kimasomaso naweka laki 2 nazifata odds 4.90 za monastir
Lolote linaweza tokea na risktaker huwa hupongezwa baada ya ushindi na hutukanwa baada ya matokeo mabayaUTALIWA uchanganyikiwe ukatamani kujiuza bure
UTALIWA uchanganyikiwe ukatamani kujiuza
Nimeamua kutoka moyoni rasmi kuachana na kubet
Wote hao ni wachawiWandugu hapa mchawi wa kumuwekea mashaka anaeza kua nani View attachment 2557478
Leo subiri nijikalir zangu kimya bila kubet, hata hii siku ipite moyo udunde kawaida 70 times / one minute.
Nimechoka
Leo wenzako tumesha nawa kabisa na ndizi mfukoni tunasubiri ubwabwa wa kanji tuLeo subiri nijikalir zangu kimya bila kubet, hata hii siku ipite moyo udunde kawaida 70 times / one minute.
Nimechoka