Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau nachambua mikeka ya kesho naona Plzen amepewa odd ya 4.09 wakati ndiyo anaongoza ligi. Inakuwaje hapa????
 


Mkuu nimeingia chimbo nimetoka na hiki kitu ...

upload_2016-5-6_17-8-46.png


Tukutane saa 5 na nusu usiku baada ya game zote kwenye huu mkeka kuisha
 
Back
Top Bottom