Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,282
- 998
Vipi kuhusu kudeposit na kuwithdraw unachukua muda gani na je wanakata kodi?Betpawa
Nina bonge la fursa mkuu, linataka watu wenye mtaji mnene.Kivipi mkuu
Hawakati kodiVipi kuhusu kudeposit na kuwithdraw unachukua muda gani na je wanakata kodi?
Kama bei gani mkuu funguka
Haichukui muda kama sasa hivi nimewithdraw ndani ya sekunde kadhaa Pesa imesoma. Hawakati kodi wala ada za kuweka Na kutoa, unaweka free Na unatoa free.Vipi kuhusu kudeposit na kuwithdraw unachukua muda gani na je wanakata kodi?
Hata over 2.5 hajatoa
Thanks brooHaichukui muda kama sasa hivi nimewithdraw ndani ya sekunde kadhaa Pesa imesoma. Hawakati kodi wala ada za kuweka Na kutoa, unaweka free Na unatoa free.
PamojaThanks broo