Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 4,833
- 11,322
weekend hii twalal patel bungera anaondoka zake na magunia ya pesa huku akijamba mishuzi inayonuka biriani😂😂
aisseeLeo Madrid na Bayern tunawashkru sana
1500 imeondoka inalia....Tujipange tu na mechi za wikendi ijayo, hii imevaa bukta.
Umekuwa mshauri nasaha tena!?Hapa ndio tunatakiwa kujua umuhim wa ajira Rasmi.
Fanya Betting kama bonus, otherwise uzeee mapemaa na stroke juu
Hatari sana, hakuna sure oddsBayern na odds zake 1.09 afu anatokea mtu anakuambia odds 2 uhakika
Unanena kwa lugha?No wahala
Duh! Bado unataka tena maafisa waende kwa wakala kudeposit? Wapumzishe, jana na leo.bahari imechafuka.Wazee wa AFCON treni hili hapa
47E6901
Kampuni gani?Wazee wa AFCON treni hili hapa
47E6901
BP ila kuedit ruksaKampuni gani?