🤣🤣🤣🤣
Umewaza mbaliii ila wazo lako limeishafanyiwa Kazi na Wakamrianmiaka 13 nyuma mpaka leo na halijafanikiwa.

BADO mchezo huu unabena Jina la Bahati Nasibu

Mwingine anasema ukiwa na mtaji mkubwa ndio unatoboa,ILA kila Mdau humu aliishawahi kushika laki moja, sasa au zaidi na ikapukutishwa yoote

Naungana na wewe,nyuma ya Pazia kunajambo

Jana kuna mshkaji kaweka 50,000 kala laki 300,000

Mwingine kaweka 300,0000 kala milioni Moja,huyu alicheza Mechi 3 tuuu ikiwemo ya kumpa Yanga direct Win dhidi ya Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…