Emperor of the South
Senior Member
- Nov 4, 2019
- 138
- 151
Kanji hajawahi kuwa mwema kwetu, utashangaa unaenda vzr weee, ukifika mbelembele hapo anapita nayo akiba yako yooote."Safari ni hatua kuifika ni lazima uanze"
Leo nimeanza rasmi na na program maalum ya kubeti kwa odd ya 1.30
Yani kila siku nitakuwa natafuta odd 1.30 tu then natia mpunga
Mfami leo Nimeanza kwa kustake 1000 hapo nitakula 1300 kesho naweka tena hiyo 1300...yaan nitaenda mdogomdogo mpaka kieleweke,,,,Matarajio yangu mpaka kifika tarehe 20 mwezi wa 1 kama Mungu akipenda niwe nimeingiza sh.1m
Nilianza na 2000 tu, odds chini ya 2.3, ilipofika 60,000/= Kanji akapita nayo, Ajax alishindwa kupata goli 1 tu!! Mipango sio matumizi"Safari ni hatua kuifika ni lazima uanze"
Leo nimeanza rasmi na na program maalum ya kubeti kwa odd ya 1.30
Yani kila siku nitakuwa natafuta odd 1.30 tu then natia mpunga
Mfami leo Nimeanza kwa kustake 1000 hapo nitakula 1300 kesho naweka tena hiyo 1300...yaan nitaenda mdogomdogo mpaka kieleweke,,,,Matarajio yangu mpaka kifika tarehe 20 mwezi wa 1 kama Mungu akipenda niwe nimeingiza sh.1m
SIJUI KAMA NIMEKOSEA HII JIHESABU LANGU NISAMEHEE"Safari ni hatua kuifika ni lazima uanze"
Leo nimeanza rasmi na na program maalum ya kubeti kwa odd ya 1.30
Yani kila siku nitakuwa natafuta odd 1.30 tu then natia mpunga
Mfami leo Nimeanza kwa kustake 1000 hapo nitakula 1300 kesho naweka tena hiyo 1300...yaan nitaenda mdogomdogo mpaka kieleweke,,,,Matarajio yangu mpaka kifika tarehe 20 mwezi wa 1 kama Mungu akipenda niwe nimeingiza sh.1m
Kama roho yako inaweza kuvumilia LLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLWLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL karbu sana,Ushauri Weka mtaji mkubwa odds ndogo.At least una weza kuishi miaka mingi huku,Tren mara nying zinatushusha njian tena porini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Day 1: 1.3*1000=1300SIJUI KAMA NIMEKOSEA HII JIHESABU LANGU NISAMEHEE
NIMECHUKUA 20 DAYS +10DAYS
NAJARIBU KUGAWA KWA MILJON SIJPATIView attachment 1297202NGOJA NIMALIZIE HII KVANT NIPIGE TENA HESABU
Tafuta odds nzuri tu kuanzia 1.30 hadi 3 weka kuanzia 30k had 50k utapata faida ya 20 hadi 30 ila sio uhakika kuna siku unaweza kuchezea kichapo na mtaji wote.Nielekeze namna odds zinaplay ili upate mpunga ukishinda mkeka.
Mfano nikiweka 2000 kwa odds fulani nitapata kiasia gani nikipatia
Betting haina mipango ni mchezo wa Bahati...Kufupi Muhind hana rafk wa muda mrefu"Safari ni hatua kuifika ni lazima uanze"