Mkuu, wewe ndo hujui unachoongelea. Madini ni short term. Nchi yoyote dunia hii cha muhimu ni Energy, Water, Food, you control this, you are safe. Madini ni ya kupita. Ndio maana hata balozi wa Uholanzi, sijui kutoka nchi ya Scandinavia anawaambia, anayetegemea Tanzania iendelee ghafla kwasababu ya madini ana ndoto. You are not thinking big!!
Sasa hapo madini yanaisha 2028, wazungu wanachange gemu 2020. Nimetafuta na nimeipata project, bofya hapa
TREC - Trans-Med Renewable Energy Cooperation
Makaa ya mawe yalikuwa yanatumika kwa kuchoma moja kwa moja, na ndio maana kuna miji imechoka huku ulaya kwa ajili ya uchafu wa makaa. Ikajulikana process inaitwa 'coal-gasification', hii inajulikana tangu zamani. Ila miaka ya 70s, wakaingia lab, wakaja na process inaitwa 'Integrated Gasification Combined Cycles' ambayo by-product yake ikawa Hydrogen, na ambayo inatumika kwenye magari. IGCC ni direct result ya matatizo ya mafuta in the 70s.
Kuhusu solar, ofcourse ni kazi ngumu, lakini ikiwa ngumu sio kwamba tusipange. Hayo madini yatakufikisha wapi wakati unachimba tu hata huendelezi nyanja zingine? Umeme ujanja wake ni ku-convert tu uweze ku-drive turbines, simple. Kuna solar plants California, Arizona (jangwani), we google utakutana nayo. Soma hiyo site ya TREC uone kiasi gani umeme watatengeza. California wanatumia technology tangu 70s/80s, direct result ya matatizo ya mafuta 70s ndugu yangu. 354MW of solar are added to the Southern California Grid, so what makes you think its not possible. Ishu ni kwamba teknolojia ipo tayari, ni expensive kwasababu oil is 'cheap'. Oil itapanda bei, na itaisha, eventually solar itakuwa cheaper!!
Sasa hayo madini unayolilia yamekusaidia nini? Yatakusaidia nini na hiyo 3% unayopata. Na Tanzania mafuta yanapatikana. In reality Wazungu wako desperate ndio maana hata kutafuta mafuta nchi kama Tanzania ni 'bei' rahisi sasa hivi. Mafuta/Gas ipo Tanzania na inajulikana for decades, only now its cheaper. And YES, the USA still has plenty of oil, lakini watazidi kununua sehemu nyingine, eventually they will have the last laugh. Watu wanaenda vitani kwa Energy, we kaa na madini unayoyalilia, hata hujui uyafanyie nini.
Unasema nikae hukuhuku, hujui mimi ninaweza kutoa mchango gani kwako na kwa nchi. Usilete ubishi wa kujifanya unajua nchi hata hamwezi kuongoza bila kua na mipango ya maana. Michango mingine mnataka, mawazo ya maendeleo hamtaki, we vipi wewe?
we kaa na kigari chako, weka kiyoyozi, ila subiri siku mafuta yaishe...sijui kama kutakuwa na vipanya wala nini, ndio utajua umuhimu wa transport. South Africa wenyewe, ni miji tu imeendelea, kwani walio vijijini vipi? Look at the bigger picture, sio unakaa tu Dar unafikiria ndio maisha yalivyo.