Mikadi Beach Sio Salama Siku Za Sikukuu

Mikadi Beach Sio Salama Siku Za Sikukuu

Kingine ambacho hakijatajwa na mabinti kubakwa ndani ya maji. Wengine kwa kutaka wenyewe na wengine kwa kulazimishwa. Tena wasichana wanaopendwa ni wale wavaao vigauni au visketi. Wale wa Suruali au pensi mara nyingi huwa salama. Vijana wanaofanya upuuzi huo mtaji wao huwa ni Boya tu. Kwa yanayotendeka Mikadi naona vita dhidi ya UKIMWI ni ngumu sana
 
hawa wavuta unga wanavumiliwa hadi lini ?
 
Kingine ambacho hakijatajwa na mabinti kubakwa ndani ya maji. Wengine kwa kutaka wenyewe na wengine kwa kulazimishwa. Tena wasichana wanaopendwa ni wale wavaao vigauni au visketi. Wale wa Suruali au pensi mara nyingi huwa salama. Vijana wanaofanya upuuzi huo mtaji wao huwa ni Boya tu. Kwa yanayotendeka Mikadi naona vita dhidi ya UKIMWI ni ngumu sana

Hii balaa...lakini inakuwaje kwani wanaoga gizani?
 
nasema naiheshim fb kwa kutujali sina cha kusema Mungu akubariki mkuu ...seema tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom