Mikadi Beach Sio Salama Siku Za Sikukuu

Mikadi Beach Sio Salama Siku Za Sikukuu

mikadi siyo kabisa,
nilikwenda pale na marafiki muda wa kutoka ilikua shughuli yaani visu nje nje, nilikimbia kama mwehu.. sitokwenda tena mikadi kamwe

Hii dizasta tusevu!! (Umenikumbusha Enzi hizo Mzee Kifimbocheza na vijana wake)
 
Kabari, uporaji na Kila aina Ya Uhuni unapatikana pale siku Ya Leo.

Dada Zangu mliopanga kwenda pale kuweni makini na Simu Zenu, Mikoba Yenu na Hata nguo Zenu.

Madada mnaokuja na Watoto Wadogo naomba sana tena sana muwe mnaondoka mapema kabla Ya giza kuingia na Hili ni Angalizo kwasababu Ya Usalama wa Watoto mlionao.

Msijiachie kwa Pozi mnapoongea na Simu kwa kuwa kitakachotokea kinaweza kuwapa ukilema iwapo utakuwa mbishi.

Vikundi vya wahundi kutoka Mbagala, tandika, manzese na kigamboni wanaweza kuwarudisha Nyumbani mkiwa hamna hata Nguo Mwilini...

Makaka ambao mtaambatana na Madada wakiwemo na watoto ni jukumu lenu kuwalinda na mkiwaacha na Nyie kukimbia kitakachotokea mtakibeba nyie.

Ukiona wewe ni muoga na mpenzi wako ni muoga Sikushauri Uende mikadi, chadibwa, ng'onda na Hata Beach Comber kwani kitakachotokea unaweza kumchukia mpenzi wako.

Pia unapotoka Mikadi ndani angalia Unapotaka kuvuka barabara kwa kuwa ni Sehemu ambayo ni Hatari sana na ajali huwa zinatokea mara kwa Mara.

MSIPOZINGATIA NILICHOSEMA MTATUFANYA WATU WAKIGAMBONI TUONEKANE HATUFAI....

Tambua thamani Yako na angalia thamani ya watoto wako.. X mass bila beach inawezakana

HERI YA SIKUKUU

CC Kamanda Kova
Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kigamboni
 
Nilipanga kupita hapo siku moja. Hivi kuna nini hasa cha kuvutia muda wa mchana na majira ya usiku? Anaepafaham pls.

kwa mchana hakuna kinachovutia kwa nje lakini ukiingia ndani watoto wazuri wamejaa.. Usiku kwa nje pana bar inaitwa Jointpub hapo panakuwa panavutia kwa kuwepo kwa muziki na kila aina ya kinywaji bila kusahau warembo
 
mikadi siyo kabisa,
nilikwenda pale na marafiki muda wa kutoka ilikua shughuli yaani visu nje nje, nilikimbia kama mwehu.. sitokwenda tena mikadi kamwe

hakika ulichokesema ni kweli ni sehemu hatari sana sana, watu wapo tayari kutoa roho za watu sababu ya simu.. Sikushauri uje huku mkwe. Wanachuo wanalia kila siku
 
hakika ulichokesema ni kweli ni sehemu hatari sana sana, watu wapo tayari kutoa roho za watu sababu ya simu.. Sikushauri uje huku mkwe. Wanachuo wanalia kila siku

kwa sasa sipawezi ukinikosa coco tuko kunduchi na mkeo,
huko ilikua enzi za usingle.
 
kama hali ndiyo hii, bora niende zangu Manji Beach (zamani COCO BEACH) kwa kuwa kule kuna usalama wa kutosha.
 
kwa sasa sipawezi ukinikosa coco tuko kunduchi na mkeo,
huko ilikua enzi za usingle.

ooooh! Siku moja ntakukaribisha twende south beach usalama kule upo vizuri
 
Ukweli sunrise ,southbeach na kipepeo ni pazuri zaidi ulizi Wa kutosha hasa ukiwa beach bar utaogea vzr na kurudi salama lkn mm ntakuwa karibu na home nikila vitu now
 
kwa mchana hakuna kinachovutia kwa nje lakini ukiingia ndani watoto wazuri wamejaa.. Usiku kwa nje pana bar inaitwa Jointpub hapo panakuwa panavutia kwa kuwepo kwa muziki na kila aina ya kinywaji bila kusahau warembo

Ntapita kuwasaminisha hao viumbe mpwa.
 
Hivi kwa nini Mbagala,Tandika,Temeke,Nyamala,Buguruni kuna wahuni sana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom