ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,379
Kabari, uporaji na Kila aina Ya Uhuni unapatikana pale siku Ya Leo.
Dada Zangu mliopanga kwenda pale kuweni makini na Simu Zenu, Mikoba Yenu na Hata nguo Zenu.
Madada mnaokuja na Watoto Wadogo naomba sana tena sana muwe mnaondoka mapema kabla Ya giza kuingia na Hili ni Angalizo kwasababu Ya Usalama wa Watoto mlionao.
Msijiachie kwa Pozi mnapoongea na Simu kwa kuwa kitakachotokea kinaweza kuwapa ukilema iwapo utakuwa mbishi.
Vikundi vya wahundi kutoka Mbagala, tandika, manzese na kigamboni wanaweza kuwarudisha Nyumbani mkiwa hamna hata Nguo Mwilini...
Makaka ambao mtaambatana na Madada wakiwemo na watoto ni jukumu lenu kuwalinda na mkiwaacha na Nyie kukimbia kitakachotokea mtakibeba nyie.
Ukiona wewe ni muoga na mpenzi wako ni muoga Sikushauri Uende mikadi, chadibwa, ng'onda na Hata Beach Comber kwani kitakachotokea unaweza kumchukia mpenzi wako.
Pia unapotoka Mikadi ndani angalia Unapotaka kuvuka barabara kwa kuwa ni Sehemu ambayo ni Hatari sana na ajali huwa zinatokea mara kwa Mara.
MSIPOZINGATIA NILICHOSEMA MTATUFANYA WATU WAKIGAMBONI TUONEKANE HATUFAI....
Tambua thamani Yako na angalia thamani ya watoto wako.. X mass bila beach inawezakana
HERI YA SIKUKUU