Mijitusi ya Lusinde Vs Sugu - Clouds FM

popote ulipo kijana wa dar na vitongoji vyake jaribu kubadilisha matangazo yako kupitia redio nyingine totote na mjihadhari na clouds fm na tbc hawa ni mawakala wa mafisadi hivyo peleka ujumbe huu kwa mwanamageuzi yeyeote ili ikifika 2015 tutawahoji baada ya kuchukua majimbo yote ya dar.mungu walaani clouds kwani wana damu ya magamba.inshalah

dah, niache kumsikiliza DIVA?

nitawasikiliza. lakini hawana ubavu wa kunibadilisha kiitikadi.
 
Kwani imefanya nini na katika kipindi gani? Mtangazaji wa hicho kipindi ni nani? Mbona unasema isusiwe bila kutaja sababu?
 
Hawa jamaa nina wasiwasi nao sana, nahisi kuna mtu au syndicate ya money launderers nyuma yake.Taasisi husika ziwafanyie uchunguzi wa kina. Hii kampuni imekua sana kipindi cha utawala wa awamu hii. Sasa hv karibu Tz nzima wamecover. Hapana kuna kitu na wanavyonyanyua magorofa kama uyoga inatia shaka.
 
Vijana wa clouds wakiongozwa na kibonde ni wanafiki wakubwa na hawatakiwi na watz wa sasa.
 
ms...nge kibonde unayetafuta ukuu wa wilaya kwa kujikosha kwa magamba wana kutumia kama kondom alafu wamekutosa ku....ma
 
Hii radio ina
watangazaji
waajabu ajabu
nshaachaga kuwasi
kiliza, wanafiki
wambea kupindukia
. Tunawasihi waache
kupendelea ktk
kutangaza hasa ktk
mambo ya siasa
kama hawawezi
watangaze mambo
yao ya kuwaibia
wasanii tu. Maana
kwa kuwaibia
wasanii ni mabingwa.
 
popote ulipo kijana wa dar na vitongoji vyake jaribu kubadilisha matangazo yako kupitia redio nyingine totote na mjihadhari na clouds fm na tbc hawa ni mawakala wa mafisadi hivyo peleka ujumbe huu kwa mwanamageuzi yeyeote ili ikifika 2015 tutawahoji baada ya kuchukua majimbo yote ya dar.mungu walaani clouds kwani wana damu ya magamba.inshalah

Dah.. samahani mkuu lakini huwezi ukamchagulia mtu nini cha kusikiliza..! kusema ukweli mi na enjoy sana kusikiliza clouds! sansana kile kipindi cha michezo .... je unajua inapatikana hadi ughibuni kupitia mtandaoni ... kwa kibongo bongo clouds leval nyingine ...NUKTA.
 
Wamefanya nini? Ni vema mtu akitoa hoja aipe nyama kidogo ili ieleweke, vinginevyo jF inakuwa sehemu ngumu kujifunza na kuelewa mambo; Tuambieni ni kimejili?
 
Hawa jamaa nina wasiwasi nao sana, nahisi kuna mtu au syndicate ya money launderers nyuma yake.Taasisi husika ziwafanyie uchunguzi wa kina. Hii kampuni imekua sana kipindi cha utawala wa awamu hii. Sasa hv karibu Tz nzima wamecover. Hapana kuna kitu na wanavyonyanyua magorofa kama uyoga inatia shaka.

wanasambaza redio kila mkoa kama uyoga. it's a campaign trail already. but my BIG warning to them, it will backfire in 2015.

badala ya kuwasusia kuwasikiliza, bora tuhamasishane kuwasikiliza kila kona ya nchi wanaposikika. kwa sasa ni ngumu mtu wa kawaida kuelewa what's undercover. but there's something. for sure.
 
SIO CLOUDS TU HATA TBC TUISUSIE KWA BAADHI YA VIPINDI ESPECIALLY TAARIFA YA HABARI. tbc INATUMIWA NA MAGAMBA. KAMA WADAU MLIFATILIA UCHAGUZI WA ARUMERU MWANAWANE NI ITV NDIO ILIKUWA INAFANYA COVERAGE KUBWA! NA WALAU STAR TV, AFU KIDOGO MLIMANI TV ZILIKUWA LIVE AT LEAST BUT tbc!!!!! ILIKUWA HOVYO SANA. WAKATI WENZAO ITV NA STAR TV WANAONYESHA MATOKEO YA AWALI tbc ILIKUWA INAONYESHA TAMTHILIA NA MAIGIZO,COMEDY PLUS MUSIC AS IF HAKUKUA NA JAMBO LA MUHIMU LINAENDELEO NCHINI (ELECTION). KWA STAIL HII SASA KAMA NCHI IKIVAMIWA KWELI CAN ANY ONE RELY ON tbc??????
 
Hawa jamaa nina wasiwasi nao sana, nahisi kuna mtu au syndicate ya money launderers nyuma yake.Taasisi husika ziwafanyie uchunguzi wa kina. Hii kampuni imekua sana kipindi cha utawala wa awamu hii. Sasa hv karibu Tz nzima wamecover. Hapana kuna kitu na wanavyonyanyua magorofa kama uyoga inatia shaka.

tutajie basi hayo magholofa si wote tunajua yalipo ni njia nzuri kupunguza majungu
 
Waaaacheni muda wao utafika ..... Wawaulize wakenya ........ Tutaaanza na MuNGU na tutamaliza na MUNGU
 
clouds si chombo cha umma pengine kina mtazamo na msimamo wake kama ilivyo kwa vyombo vingine kama Jamiiforums, Tanzania Daima, Rai Mwema, Rai, Mtanzani na vyombo vingine vya habari binafsi.
 
Dah.. samahani mkuu lakini huwezi ukamchagulia mtu nini cha kusikiliza..! kusema ukweli mi na enjoy sana kusikiliza clouds! sansana kile kipindi cha michezo .... je unajua inapatikana hadi ughibuni kupitia mtandaoni ... kwa kibongo bongo clouds leval nyingine ...NUKTA.

pole bado unackilizd michezo cloudz ni kwa vile huna access ya intaneti kwan habari za majuu wanasoma magazet ya michezo ya uk eg.daily mirror wasikutishe.hawawez leta maendeleo ya soka bongo,pia kiuchu
 
Back
Top Bottom