Mijitusi ya Lusinde Vs Sugu - Clouds FM

Mijitusi ya Lusinde Vs Sugu - Clouds FM

siyo kila sehemu wana fanya vibaya, hawa lishajipambanua kuwa ni radio uhuru B, uwezi kuwazuia, ila wajihadhali wasije wakageuka kama ka-radio ka rwanda kilikochochea mauaji (natema mate chooni!!)
 
narudia tena,
sipendi tbc
sipendi yanga
sipendi man u
sipendi sisiemu
simpendi k....te.

Napenda ndovu baridi.
 
Kama mnakumbukumbu ya mtangazaji mmoja wa Kenya anaitwa Arap Sang wa Redio Kass Fm alichochea mauaji yaliyomwaga damu za wakenya wasio na hatia kwenye uchaguzi hatimaye Ocampo ameshaMMind kesi iko The Hague! Next ni kina Hando na wenzake subirini.
 
Clouds ni redio feki wenye busara hawawezi kusikiliza.....maana inatumiwa na mafisadi.

Kama una busara fanya kama nasari ||| anza na mungu na kumaliza na mungu kila ukifanyacho utaona kama utakuwa hata na hamu ya kusikiliza clouds||||
 
Hata iweje hamuwezi kuacha kuisikiliza radio Clouds

Sijaona mtu yeyote hapa alietoa sababu ya msingi kwann tususie CLOUDS FM,au hawa ni washindani wa alieleta thread?kila redio ina pumba na mchele pamoja na hizo mnazoshauri watu wasikilize,ni juu ya msikilizaji kuacha pumba na kuchukua mchele.
 
waungwana subirini redio ya ukweli na TV ya ukweli kutoka Mwananchi corparation china ya mpiganaji wa ukweli Tido Mhando very sooon it is coming
 
oya hii langi yako sio. utafanya watu wasisome post zako.
Mkuu Dubu huyu unamsaida namna hii


Redio ni nzuri ila inaalibiwa na baadhi ya watangazaji wake wanajifanya kila kitu wanajua wangine tunajua wanajipendekeza kwa baadhi ya viongozi upande wa Magamba.

Mkuu NAPITA, tafadhali jari wasomaji wako
 
East africa ni mbadala wangu kwa clouds asubhi never miss kile kipindi cha zembwela no biases,majic fm pia ni wazuri asubuhi thus orest kawau na wenzie wazeee wa kianzio nawakubali bhana,mia
 
Redio ni nzuri ila inaalibiwa na baadhi ya watangazaji wake wanajifanya kila kitu wanajua wangine tunajua wanajipendekeza kwa baadhi ya viongozi upande wa Magamba.

wewe hii bange umenunua moscow kinondoni au daraja mbili arusha!?
 
wengine tushaacha kuisikiliza hii redio kama inawakeea si msikilize redio zingine
 
Maswal yako yote yanajijibu
Nimeona clip ya Lusinde akiporomosha kampeni za mijitusi huko Arumeru kupitia You Tube, lakini pia nilisikiliza nyimbo ya Sugu kupitia You Tube, ki ukweli hawa jamaa waliporomosha Mijitusi lakini wote wakiwa na sababu zao binafsi za kufanya hivyo!!!!
Nikabahatika pia kusikia siku zote mbili Clouds walivyochambua hizo clip na nyimbo;

Kiufupi wailaani sana na kuiponda sana nyimbo ya Sugu (hadi kuhusisha boss wao mkubwa pale kuiongelea na kudiriki kuiplay hiyo nyimbo kidogo),Lakini hii ya Lusinde jamaa kaishia kushangilia tu (japo kwa kejeli fulani) lakini hawakuchambua kama walivofanya kwa Sugu.

Hoja: Binafsi Clouds naipenda na vijana wengi najua huwa tunaisikiliza hasa wakati wa asubuhi tuendapo ktk mihangaiko na jioni tukiwa tunarudi, lakini sijaridhishwa na utendaji kazi wake hasa linapokuja suala la kisiasa, Je wanataka kuniaminisha kuwa Clouds ni mashabiki wa chama fulani?na mm kama kijana nahitaji habari za kisiasa ya kishabiki? au kuchambua ni nani na nani yupo sawa kimalengo na mtizamo?

Ushauri: Usawa na Haki katika Media ni muhimu sana ktk kukuza demokrasia na maendeleo, Clouds pls revisit this angle!
 
Kuna mtu anaitwa Kibonde, huyu nafikiri anawaangusha sana. Sijui shule yake vizuri ila naidoubt. Jamaa anajifanya anajua kilakitu wkt mi sioni cha maana zaidi ya comedy zake. Hando yuko nondo, actualy ni kwa vile vicheko vyake pale asubuhi vimemualert kila mtu na watu tumeingia u-tb na kuiona ile clip mitusi. Clouds wanatambua vijana wanataka nini sasa, alarm nyingi zimeshawagongea mfano Bushoke alipozomewa pale leaders nk. hata kupatanishwa na Sugu nafikiri ni mision. wajipange wanaweza kukosa suport ya serikali(CDM govt) like how they r enjoying now.

Kudadekiiiiiiii saa ya kifo cha Clouds ni sasa vijana acheni kusikiliza upuuzi wa vibaraka wa Magamba, Kibonde hujakoma tuuuu si Madaktari walishatoa siri na mapungufu yako kwa ufupi
 
Mkuu Dubu huyu unamsaida namna hii

Ni kweli hasa hao wenye vitambi vya bia wanao endesha kipindi cha jioni!Huyo mwingine mwenye kichwa km bufalo cjui magamba wanampaga nn mpk atuonyeshe wazi kuwa wako rt?Kiufupi ni mpumbafu kwa mwanaume kujipendekeza wazi kwenye media inayosikilizwa na wengi!
 
Walikiwa wanataka kuonyesha kwamba matusi hayajaanza leo, na wala Lusinde sio wa kwanza kuyaanzisha akiwa km mbunge. Sema kwa uvivu wao wa kufikiri wamesahau kuwa ile ni mixtape, ukitafuta mixtape ya mwanamuziki yoyote duniani km kina Rkelly utakutana na vitu km hivyo bt alichofanya Lusinde mbele ya kadamnasi oooh tht is unbelievable!!!!
 
Back
Top Bottom