Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Habari wakuu,

Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao.

Kutokana na mada nyingi kuwa na umuhimu na kuwa sticky, inalazimu kuweka links za mada hizi sehemu moja kwa urahisi wa kuzifikia na kupunguza idadi ya mada zilizo sticky kwenye ukurasa wa kwanza.

Pia kama una mada uliipenda na ungependa wengine wawe wanakutana nayo kirahisi waweza comment kwenye thread hii nami nitaiweka.

Shukrani.

========

MAWAZO YA BIASHARA(BUSINESS IDEAS)

Business ideas (Bure)

Baadhi ya Njia unazoweza kutumia kupata Wazo Bora la Biashara (Business Idea)

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mtaji wa milioni 1-5: Naweza kufanya Biashara gani?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya...?

Kwa mtaji wa 25/-m nifanye biashara gani?

List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

MAJADILIANO: Fursa za kibiashara

MICHANGANUO YA BIASHARA

Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Biashara ya Bakery: Mbinu, ushauri na changamoto zake

Biashara ya Hostel: Mbinu, Faida na changamoto zake

Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Msaada: Jinsi ya kuwa Wakala wa Tigo pesa, Mpesa na mitandao mingine

Biashara ya kuuza genge

Biashara ya chips na changamoto zake

Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Kwa uzalishaji, masoko ya biashara za madini njoo hapa uliza chochote

Biashara ya Samaki Wabichi

Biashara ya kununua na kuuza mazao (nafaka)

Kuanzisha Radio Station: Gharama halisi za Kuanzisha Radio kwa TZ.

China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

Msaada: Mtaji wa kiasi cha chini kuanzisha biashara ya mbao

Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Faida za Biashara za Dagaa

Biashara ya Uchawi Tanzania

Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

UCHUMI

Lijue soko la HISA

Utajiri uliopo kwenye dhamana za serikali: Sehemu ya II (bonds)

Nifanye nini nikiwa chuo ili nikimaliza nisitegemee ajira?

USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

Fixed account za benk na utajiri wa haraka haraka - welcome

Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

Project funding sources
Pamoja
 
Habari za mchana wana ndugu mimi nikijana nimemaliza degree mwaka huu ila kutokana na ugumu wa maisha pamoja na hajira, nataka kuanzisha biashara.

Nina kiasi cha laki 5 nataka kuanza biashara, sina tamaa sana ya kupata faida nyingi kwa mda mfupi kwa hyo naombenni ushauri wenu plz plz

Natumain mtanipa ushauri mzuri.

Vp ulifanya biashara gani? How did it go?
 
Naomba msaada wenu Kama kuna anaefahamu kuchenjua copper ore kwa njia ya kienyeji ili nipate SHABA au njia rahisi ya kuchenjua copper ore ili nipate SHABA Natanguliza shukran zangu
 
Kibanda cha mpesa, Airtel money,tigo pesa,halopesa, mbinu na changamoto zake zipoje
Habari Kiongozi pole na majukumu naomba msaada wenu Kama kuna anaefahamu kuchenjua copper ore kwa njia ya kienyeji ili nipate SHABA au njia rahisi ya kuchenjua copper ore ili nipate SHABA Natanguliza shukran zangu
 
Here some EcoActs plastic poles 3.3inch x feet 8 cost 24,500, which are suitable for farm fencing making, gardens making and road signs, our poles they do not rot, terminate free, long lasting, strong and durable, more info contact through 0757671874 email amtatina@ecoact.co.tz
IMG_20211102_094639_072.jpg
 
habari jamvini,

kwa wenye kuhitaji Kusajili

- Kampuni (limited)

- jina na la Biashara

-partneship

pia una kampuni na unahitaji kufanyiwa,

- HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

- TRA returns

- KUANDIKA MEMORANDUM


wasiliana nami ama kwa simu ama kwa watsup 0788104228

tumekuwa msaada kwa wengi; karibu kwa huduma
; hatuna gharama
TEAMSOLUTIONCONSULTATION

TEAM SOLUTION CONS.jpg
 
bridge and walks ways made out of recycled plastic timber. The projects has brought an amaizing and incredible look, free from several maintainance costs, free from termites, free from rusts and it is also environmental friendly.
For any inquiry please contact
Whatsapp: +255 757 671 874
Call& sms : +255 676 515 441
Email: amtatina@ecoact.co.tzView attachment 2075913View attachment 2075914View attachment 2075915View attachment 2075916View attachment 2075917
Kazi nzuri sana mkuu.
 
KWA WOTE WANAO MILIKI KAMPUNI NA BIASHARA,
31 MARCH NI SIKU YA MWISHO (DEADLINE) YA KFANYA MAKADIRIO YA KODI
KWA ATAKAYE CHELEWA BAADA YA HAPO - PEMATI 225,000 KWA MWEZI

ALARM.JPG
 
Habari wadau,

Napita tu wadau, nasambaza upendo huu kwa wafanya biashara tusiingie hasara;

31March ni deadline (siku ya mwisho) kufanya MAKADIRIO YA KODI. siku moja ya kuchelewa faini 225,000/=
KWA MSAADA ZAIDI NICHEKI 0788104228

ALARM.JPG
 
Umachinga unakuwa na meza ya kuuza bidhaa zako wazambia wengi ni wavivu na wengi wanategemea kuajiriwa na serikali
Samahani,hii ulizungumza zamani,vipi mpaka Sasa bado Ni wavivu?nikavamie nchi huko
 
Habarini wana jamvini.....
Nilikuwa naomba msaada wa soko la bidhaa za chaki...
Ni nyingi tunazalisha asanteni.....
No. 0628145529
20220619_140759.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom